Hatari kuu inakuja. Wanaume wanatoweka, Wavulana wanaibuka kwa kasi

Sorry, naona utetezi wako wa hoja husika umeuweka kishabiki zaidi huku ukijua uhalisia wake ni mwingine kabisa. I agree to disagree with your submission.
 
Unajua hawa wanataka kuhalalisha uchafu wao hapa...utakuta lijamaa meno ya njano balaa,ukiliambia utasikia "mimi ni mwanaume"..sasa mwanaume ndo uwe mchafu???..mbona sisi wasafii na tuna mademu wazuri na watoto..
 
We mbona uko hapa jf..mtu anayepost instagram hana utofauti na anayeposti jf..

Tumia akili mzee
Hii reply sikukujibu wewe....tuliza mshono..
Nilimjibu yule mvulana mwenzako kama ameshapost uso uliopakwa poda Instagram..
 
Kuna mwengine anasema eti mwanaume hali Chipsi yai,au Chipsi kuku..hahaaaa sasa hivyo si vyakula vya kawaida!!..sema tu hela huna ya kula Chipsi kuku sisi tutakuelewa..
Utakuta mtu anafanya kazi kiwandani analipwa 5000tsh kwa siku yaani kuanzia saa 12 as hadi saa 12 jioni,sasa mtu kama huyu akila chipsi-kuku ambayo ni sh 5000 ,si anafirisika!!😁😁😁
Usiseme huwezi kuweka scrub,sema huna hela ya kufanya scrub,hakuna mtu asiyependa kupendeza...
 
Hii reply sikukujibu wewe....tuliza mshono..
Nilimjibu yule mvulana mwenzako kama ameshapost uso uliopakwa poda Instagram..
We akili huna ndo maana nasema..
Huwezi kumponda mtu anayeposti instagram,wakati na wewe kutwa nzima upo jf...
Huku mtuachie sisi wavulana,mzee gani unashinda jf, sasa si yaleyale..
 
Sorry, naona utetezi wako wa hoja husika umeuweka kishabiki zaidi huku ukijua uhalisia wake ni mwingine kabisa. I agree to disagree with your submission.
Si ivyo brother... Tatizo nyie mnataka kurudisha maisha ya zamani... Sasaiv haiwezekani braza...huwezi ukamforce mtu aanze kununua li muwa aanze kutafuna, eti akinunua juisi iliyokamuliwa mnamuita mwanaume wa dar!..mambo mengi yamebadilika ndugu zangu...
 
Binafsi nimekuelewa sana mno.................. mwanaume hawezi badilisha bulb wala kuconnect gas? mwanaume hawezi hata kusaidia kifedha anathubutu kuuliza sasa fanya basi niende mjini
 
Kuvaa begi siyo tatizo kiongozi, hujui wengine wapo marketing kunadi perfumes nk?
 
Huko kwenye begi usishange kukuta deck na rimoti yake---kenge kabisa
 
Sasa unakuta na wanaume kama hao nao wanalalamika kuwa eti wanawake wa siku hizi hawafai kuolewa ni kuwapiga na kusepa au kuwazalisha na kuwaacha tu!

Yaani nao wanataka waoe wake wema aka wife material tena utawasikia kutwa kuwatukana na kuwakejeli wanawake sasa hebu labda mtusaidie ninyi wanaume wenzao hivi hao nao wana haki ya kuongea hayo kweli?
 
Hawa wa namna hii siyo wanaume..ni wavulana..haijalishi ana umri gani..Watoto laini laini hata kupiga jeki ya gari hawezi...Ndiyo wakina baba wa kesho hawa...hasara sana...
 
Kabisa
Hawa wa namna hii siyo wanaume..ni wavulana..haijalishi ana umri gani..Watoto laini laini hata kupiga jeki ya gari hawezi...Ndiyo wakina baba wa kesho hawa...hasara sana...
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…