Mwisho wa siku ni kuishi jehanum ya gereza la ndoa ama talaka na kuishia kusema ndoa ni mbaya! 🙏Kwa mtazamo na ufahamu wako uko sahihi sana.. Kwakuwq umeshajiandaa umeshajipanga na nia yako ni dhabiti na ni kamili
Tayari kichwani una picha ya ujumla ya umtakaye ambaye naye yuko kamili na nia yake ni kamili na ni thabiti kamq yako! Akitokea wa namna hii umelamba dume!
LAKINI wa namna hiyo (Mr/mrs right) ni wa kutafuta kwa darubini
Wanaoptikana kwa haraka ni hawa
1. Hana mapenzi bali ana vibe la sherehe na kuvaa shela na kupiga picha
2. Hana mapenzi nawe bali anatafuta mtu wa kumhudumia bila masharti wakati anajipanga
3. Hana mapenzi nawe ana stress na maumivu za kuachwa na X wake. Hivyo anataka amtambie
4. Hana mapenzi bali ameshachungulia fursa na kuona akiwa ndani ya ndoa atachuma akitosheka atasepa
Na sababu nyinginezo nyingi!
Kiuhalisia tafuta/tanga za kutafuta mpenzi bila kutangaza malengo.. Malengo humrahisishia mwindani kukunasa
Hii ni ndoa! A life time contract! Hakuna haja ya kuharakia.. Anzeni na mapenzi muone kama mnapendana kweli.. Na kama chemistry yenu Ina tally
Mitazamo yenu kwenye kila kitu
Maono yenu kwenye kila kitu
Matendo yenu kwenye kila kitu
Talanta na vipawa na vipaji
Madhaifu yenu na upande wa giza!
Kuna mchakato mrefu wa kupitia kabla ya kufikia kuwaza ndoa!
Ukitangaza malengo atatembea humohumo na mkishaanza maisha ya ndoa ndio utaanza kuona uhalisia wake!
Mwisho wa siku ni kuishi jehanum ya gereza la ndoa ama talaka na kuishia kusema ndoa ni mbaya!
Unaanza tena kulea mtu na kuwa kama mzazi wake ...Mimi nitaendelea kutafuta mchumba mpaka pale nitakapompata hata kama atakuwa mwenye sifa ulizozitaja mzee Mshana Jr, maana huku mtaani hali mbaya kila nipitako wanawake wanatema mate,why nisijimwaye mwaye humu jf kusearch mchumba mwenye uhai tu tabia nitambadilisha mimi
sasa kama mtaani siwapati unataka nisioe?Unaanza tena kulea mtu na kuwa kama mzazi wake ...
HUo muda mnaupatia wapi...
Tabia ni kama ngozi, na wengi wenu ndio mnakuja kulia baadae...
Ukishaona mtu ana tabia mbaya /tabia huipendi , just move on, atapata mwenzake wa kuendana na tabia yake... ukitaka kujitia mzee wa kurekebisha tabia, utalia baadae...
😀 nakuombea sana Mwenyezi Mungu akupe hitaji la moyo wako.. Ninaamini kwa dhati ya moyo utapataMimi nitaendelea kutafuta mchumba mpaka pale nitakapompata hata kama atakuwa mwenye sifa ulizozitaja mzee Mshana Jr, maana huku mtaani hali mbaya kila nipitako wanawake wanatema mate,why nisijimwaye mwaye humu jf kusearch mchumba mwenye uhai tu tabia nitambadilisha mimi
Sijakukataza mimi natoa ushauri tu..sasa kama mtaani siwapati unataka nisioe?
sawa mkuunakuombea sana Mwenyezi Mungu akupe hitaji la moyo wako.. Ninaamini kwa dhati ya moyo utapata
sawa mkuu!Sijakukataza mimi natoa ushauri tu..
Oa tu mkuu..
Wanaume.Hasa wanawake😀
Mbona unawafokea waowaji🤣Mimi atakayenioa sitaki anipande kichwani, sitaki anishike masikio. Akizingua nampiga sitaki utani na furaha yangu 😹😹😹
Haya waoaji njooni
😹😹😹 Wapumbavu lazima wajue mapema..!!Mb
Mbona unawafokea waowaji🤣
😅😅 wajue mapema wana approach kichomi😹😹😹 Wapumbavu lazima wajue mapema..!!
Na kweli maana wao ndio wanaumia sana mwanamke akiwa hana ndoa kuliko wahusika wenyewe.Wanaume.
Hapo sasa.Na kweli maana wao ndio wanaumia sana mwanamke akiwa hana ndoa kuliko wahusika wenyewe.
Tatizo watu wamechukulia Ndoa ni km jambo la lazima, kumbe ni la Hiyari,