Hatari, ni msada Gani anaosema Mange Kimambi kuwa unakuja?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
MO29 imeharibu kabisa atmosphere ya Nchi yetu. Tanzania haitakuja kuwa kama zamani, although serikali Ina push tuwe kama zamani.

Mange Kimambi huwezi mdharau huyu dada,bila yeye kusingekuwepo na MO29.

Sasa Mange anasema kuwa Kuna msaada unakuja kutoka nje, hii kauli najua hata serikali imeshituka.

Je ni msaada Gani? Kuna Military internation au kuna kikundi Cha waasi kinakuja.

Aione
Samia
IGP
Nassoro Katuga

Mto wa Mbu
Illinois
 
Asiache kuiona Kimbesali
 
Nyie Diaspora mmekuwa liabilities badala ya Assets.

Wewe Mtoni Ila unafanya siasa za kiswahili za UMBEA ili kushibisha tumbo.

WTF nigger!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Huyo mpuuz nasoro katuga unampa ujiko wa bure tu mtoe hapo juu
 
MO29 imeharibu kabisa atmosphere ya Nchi yetu. Tanzania haitakuja kuwa kama zamani, although serikali Ina push tuwe kama zamani.

Mange Kimambi huwezi mdharau huyu dada,bila yeye kusingekuwepo na MO29.

Sasa Mange anasema kuwa Kuna msaada unakuja kutoka nje, hii kauli najua hata serikali imeshituka.

Je ni msaada Gani? Kuna Military internation au kuna kikundi Cha waasi kinakuja.

Aione
Samia
IGP
Nassoro Katuga

Mto wa Mbu
Illinois
Kes ya icc imeiva
 
Mkuu nimesha Anza kuwa na wasiwasi baada ya heroshima kushushwa Nigeria maana juzi TU trump kaongea hakukuwa na viashiria vyovyote vya vilipuzi, huyu mange hii agenda ya wakristo tanzania mhhhh, mixer na maneno ya masheikh,
 
Honestly hakuna msaada wa maana unakuja.

You can think of economic sanctions, but I don't see this coming.

Military intervention?(not now)

Labda kama ni serikali kupewa misaada kama mikopo na wahisani sawa(hii tunaishi nayo kila siku)

Anyway,time will tell.
 
Cool
 
Back
Top Bottom