Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Asiache kuiona KimbesaliMO29 imeharibu kabisa atmosphere ya Nchi yetu. Tanzania haitakuja kuwa kama zamani, although serikali Ina push tuwe kama zamani.
Mange Kimambi huwezi mdharau huyu dada,bila yeye kusingekuwepo na MO29.
Sasa Mange anasema kuwa Kuna msaada unakuja kutoka nje, hii kauli najua hata serikali imeshituka.
Je ni msaada Gani? Kuna Military internation au kuna kikundi Cha waasi kinakuja.
Aione
Samia
IGP
Nassoro Katuga
Mto wa Mbu
Illinois
Kes ya icc imeivaMO29 imeharibu kabisa atmosphere ya Nchi yetu. Tanzania haitakuja kuwa kama zamani, although serikali Ina push tuwe kama zamani.
Mange Kimambi huwezi mdharau huyu dada,bila yeye kusingekuwepo na MO29.
Sasa Mange anasema kuwa Kuna msaada unakuja kutoka nje, hii kauli najua hata serikali imeshituka.
Je ni msaada Gani? Kuna Military internation au kuna kikundi Cha waasi kinakuja.
Aione
Samia
IGP
Nassoro Katuga
Mto wa Mbu
Illinois
MO29Sikuwa online, ni nini kinaendelea huko daslamu?!
Mwigulu,kikwete,Samia wanadhani hakuna kitakachobadrikaKwamba mtu unaweza kuua watu wote hao na kisitokee chochoteš³
CoolHonestly hakuna msaada wa maana unakuja.
You can think of economic sanctions, but I don't see this coming.
Military intervention?(not now)
Labda kama ni serikali kupewa misaada kama mikopo na wahisani sawa(hii tunaishi nayo kila siku)
Anyway,time will tell.