Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Hama dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipa kapikenyanya moja kwa sasa inauzwa shilingi za kitanzania 500.
muuzaji hapepesi macho wala wamung’unyi maneno.huwezi amini ila bahari ndo hiyo.
sijajuwa bado kama nchi imewekewa vikwazo au serikali iliyopo imefeli kusimamia uchumi wa nchi. miradi mikubwa inayotafuna pesa za walipakodi nayo ujenzi wake kuna suasua. pita pale gold star dar es salaam uone. hakuna kitu mtu wangu kuna manondonondo tu na nyenzo nyenzo kama vile kuna kazi lakini kiuhalisia hakuna kazi inayofanyika.
madege yetu nayo ukipita pale karibu na airport yapo yamepaki tu kama ng’ombe wapo zizini.
magufuli nchi imemshinda?
View attachment 1351771
nyanya moja kwa sasa inauzwa shilingi za kitanzania 500.
muuzaji hapepesi macho wala wamung’unyi maneno.huwezi amini ila bahari ndo hiyo.
sijajuwa bado kama nchi imewekewa vikwazo au serikali iliyopo imefeli kusimamia uchumi wa nchi. miradi mikubwa inayotafuna pesa za walipakodi nayo ujenzi wake kuna suasua. pita pale gold star dar es salaam uone. hakuna kitu mtu wangu kuna manondonondo tu na nyenzo nyenzo kama vile kuna kazi lakini kiuhalisia hakuna kazi inayofanyika.
madege yetu nayo ukipita pale karibu na airport yapo yamepaki tu kama ng’ombe wapo zizini.
magufuli nchi imemshinda?
View attachment 1351771
Hyper inflation.Hivi serikali inaweza ikauza ndege kwa ajili ya kuwaletea nyanya wananchi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tomato paste bana.
Unajadili na watu wasio na uelewa, miezi kama 3 tu nyanya hapo Moro dumila ilifika tenga 10K hakuandika uzi. Leo msimu una mvua kiasi cha kutohandle hili zao analilia akalimeHuu ni msimu wa mvua mkuu, zao la nyanya halihimili mvua kwa hiyo ukuaji wake na uzalishaji ni changamoto hivyo kupelekea bei kuwa juu, sasa hapa serikali inaingiaje, ili nyanya zishuke bei inategemeana na uchache wa mvua.Halafu kuna binadamu wanafikiri kilimo ni rahisi kama kutema mate.
Nb. Lima zako uuze shilingi 10/- nyanya moja.
Khaaaa kwaiyo unanunua tembele la miatano unaliunga na nyanya za TSH ngapi vile[emoji2][emoji2]
Tembele 500Khaaaa kwaiyo unanunua tembele la miatano unaliunga na nyanya za TSH ngapi vile[emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo conclusion ya kibabenyanya moja kwa sasa inauzwa shilingi za kitanzania 500.
muuzaji hapepesi macho wala wamung’unyi maneno.huwezi amini ila bahari ndo hiyo.
sijajuwa bado kama nchi imewekewa vikwazo au serikali iliyopo imefeli kusimamia uchumi wa nchi. miradi mikubwa inayotafuna pesa za walipakodi nayo ujenzi wake kuna suasua. pita pale gold star dar es salaam uone. hakuna kitu mtu wangu kuna manondonondo tu na nyenzo nyenzo kama vile kuna kazi lakini kiuhalisia hakuna kazi inayofanyika.
madege yetu nayo ukipita pale karibu na airport yapo yamepaki tu kama ng’ombe wapo zizini.
magufuli nchi imemshinda?
View attachment 1351771
Je wanatusikia au bado watatukebehi hatufanyi kazi na tulikuwa wezi na wapigaji? Je wao wanalijuwa hili walivyo na kipato kikubwa kuliko sisi na bado wanahitaji kura zetu?nyanya moja kwa sasa inauzwa shilingi za kitanzania 500.
muuzaji hapepesi macho wala wamung’unyi maneno.huwezi amini ila bahari ndo hiyo.
sijajuwa bado kama nchi imewekewa vikwazo au serikali iliyopo imefeli kusimamia uchumi wa nchi. miradi mikubwa inayotafuna pesa za walipakodi nayo ujenzi wake kuna suasua. pita pale gold star dar es salaam uone. hakuna kitu mtu wangu kuna manondonondo tu na nyenzo nyenzo kama vile kuna kazi lakini kiuhalisia hakuna kazi inayofanyika.
madege yetu nayo ukipita pale karibu na airport yapo yamepaki tu kama ng’ombe wapo zizini.
magufuli nchi imemshinda?
View attachment 1351771
sasa ww unatakaje Mkuunyanya moja kwa sasa inauzwa shilingi za kitanzania 500.
muuzaji hapepesi macho wala wamung’unyi maneno.huwezi amini ila bahari ndo hiyo.
sijajuwa bado kama nchi imewekewa vikwazo au serikali iliyopo imefeli kusimamia uchumi wa nchi. miradi mikubwa inayotafuna pesa za walipakodi nayo ujenzi wake kuna suasua. pita pale gold star dar es salaam uone. hakuna kitu mtu wangu kuna manondonondo tu na nyenzo nyenzo kama vile kuna kazi lakini kiuhalisia hakuna kazi inayofanyika.
madege yetu nayo ukipita pale karibu na airport yapo yamepaki tu kama ng’ombe wapo zizini.
magufuli nchi imemshinda?
View attachment 1351771
Huu ni msimu wa mvua mkuu, zao la nyanya halihimili mvua kwa hiyo ukuaji wake na uzalishaji ni changamoto hivyo kupelekea bei kuwa juu, sasa hapa serikali inaingiaje, ili nyanya zishuke bei inategemeana na uchache wa mvua.Halafu kuna binadamu wanafikiri kilimo ni rahisi kama kutema mate.