shakur kimboka
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 275
- 364
We unadhani kuna umuhimu gani wa kuweka waziri wakilimo, afsa kilimo wa kijiji nk, wizara nzima kazi yao ni nini kama siyo kuhakikisha kuna efficiency and continuous utilization of resources thought a yearHuu ni msimu wa mvua mkuu, zao la nyanya halihimili mvua kwa hiyo ukuaji wake na uzalishaji ni changamoto hivyo kupelekea bei kuwa juu, sasa hapa serikali inaingiaje, ili nyanya zishuke bei inategemeana na uchache wa mvua.Halafu kuna binadamu wanafikiri kilimo ni rahisi kama kutema mate.
Nb. Lima zako uuze shilingi 10/- nyanya moja.
Usilete utoto hapa, kusindika hizo nyanya kipindi cha msimu wake ili kipindi cha scarcity hizo nyanya ziwepo stock ni jukumu la serikali,
Kulima nyanya kuna ugumu gani kukiwa and available fund?, watu wanalima nyanya jangwani huko na wanapata supplus ya kuuza hata nje ya nchi,
Tukubaliane hapa kwamba serikali inafeli kufanya mikakati ya muda mrefu, maana kipindi cha msimu wa nyanya watu waliletq nyuzi hapa kuwa mbuzi na ngombe ndio zinakula nyanya huko shambani zisiendelee kuharibika
Sent using Jamii Forums mobile app