Hatari, nyanya moja shilingi 500

Lipa kapike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Sasa tunapikia za kopo hatuna jinsi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la nyanya ni mvua nyingi, lakini pia kwa kila tatizo kuna fursa...what if tukaweka nguvu ktk ku process nyanya kwa kipindi zinapokuwa nyingi??
 
Unajadili na watu wasio na uelewa, miezi kama 3 tu nyanya hapo Moro dumila ilifika tenga 10K hakuandika uzi. Leo msimu una mvua kiasi cha kutohandle hili zao analilia akalime

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo conclusion ya kibabe
 
Je wanatusikia au bado watatukebehi hatufanyi kazi na tulikuwa wezi na wapigaji? Je wao wanalijuwa hili walivyo na kipato kikubwa kuliko sisi na bado wanahitaji kura zetu?
 
sasa ww unatakaje Mkuu
Lima ww upange bei ndogo
 
Na unasemaje kuhusu maharage ambapo huku Njombe debe moja ni sh 47000/= ambapo msimu wa mwisho debe tumenunua sh 27000/
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…