Hatari! Wezi kuweka Vyuma barabarani ili kufanikisha wizi, baada ya vyuma hivyo kupasua tairi za gari litakalopita

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Wizi barabaran umekuwa sana, hivyo tujihadhari sana watumia Barabara maana unakuta upo speed kubwa hii inaweza kusababisha hata ajali na ikapoza maisha ya waendesha vyombo vya magari..

Mamlaka husiaka iwe inakagua barabra zake kulingana na mikoa na kata na ukanda zilipo. Ili kuepusha haya

1000204936.jpg
1000204938.jpg

Kwahiyo ukipasua tire ukasimama wanakuibia ?

Barabara hazikaguliwi kabisa. Barabara ya Shinyanga to Mwanza pale kati kuna vijiji barabara mbovu sana the same to barabara ya Mwanza to musoma mpaka kuna muda unatoka upande wako kupisha mashimo
 
Kama mwenye Lori tire karibia zote zime bust na kuzi fix itamchukua muda mrefu, giza likiingia wahuni wanakuja na mapanga
 
Wizi barabaran umekuwa sana, hivyo tujihadhari sana watumia Barabara maana unakuta upo speed kubwa hii inaweza kusababisha hata ajali na ikapoza maisha ya waendesha vyombo vya magari..

Mamlaka husiaka iwe inakagua barabra zake kulingana na mikoa na kata na ukanda zilipo. Ili kuepusha haya

View attachment 3104744View attachment 3104745
View attachment 3104746
Suala la ulinzi na usalama wa miundombinu yetu, ni suala la kila mtu na ni jukumu la kila mtumia huduma hiyo mahususi kulizingatia vizuri sana, iwe ni barabara au huduma nyingine za kijamii..

wahalifu, maharamia na waporaji huja na mbinu mbalimbali mpya za kutekeleza mipango yao ya kiahalifu, kadiri ya uimara wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Ni jukumu letu sote kuchukua tahadhari na kuchukua hatua ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa za uharibifu lakini pia kuhusu mitego ya wahalifu dhidi ya wasamaria wema kwenye vyombo husika vya ulinzi 🐒
 
Hapana bhana, hiyo ni njia z mikoani 😅🤣🤣 acha ujinga ww
wewe ndio uache ujinga, jeshi lote la polisi akili yao ipo Dar kwenye maandamano ya chadema. Ni jukumu lao na intelijensia zao za usalama kujuana kuzuia hiyo kitu alioonyesha mleta mada iwe kwa njia za mikoani au mijini sio wanapopita chadema kwenye maandamano.
 
Suala la ulinzi na usalama wa miundombinu yetu, ni suala la kila mtu na ni jukumu la kila mtumia huduma hiyo mahususi kulizingatia vizuri sana, iwe ni barabara au huduma nyingine za kijamii..

wahalifu, maharamia na waporaji huja na mbinu mbalimbali mpya za kutekeleza mipango yao ya kiahalifu, kadiri ya uimara wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Ni jukumu letu sote kuchukua tahadhari na kuchukua hatua ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa za uharibifu lakini pia kuhusu mitego ya wahalifu dhidi ya wasamaria wema kwenye vyombo husika vya ulinzi 🐒
Hii pamoja na hoja nzuri ulizosema, serikali inawekeza nguvu kiasi gani kuzuia tatizo hili. Nikupe mfano awamu ya Magufuri ilijitahidi sana kuzuia vifo vya albino, awamu hii wakaanza kuzembea hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi, kinarihusu utekaji hii ni kujisahau pahala flani.
 
wewe ndio uache ujinga, jeshi lote la polisi akili yao ipo Dar kwenye maandamano ya chadema. Ni jukumu lao na intelijensia zao za usalama kujuana kuzuia hiyo kitu alioonyesha mleta mada iwe kwa njia za mikoani au mijini sio wanapopit chadema kwenye maandamano.
Katika akili yako unaona tuna polisi wakutosha kuwekwa barabrani kuzuia uharibifu wa kujinga kama huo. Sote tilinde barabara zetu.
 
katika akili yako unaona serikali inawekeza vya kutosha katika kulifanya polisi kutumia technolojia ya kisasa. Hii ni pamoja na kuajiri polisi wasomi watakao buni, tumia na kuiendeleza. Hii haiitaji kuwa na jeshi kubwa ni ufanisi.
je akili yako inakuaminisha sote bila technolojia wezeshi tunaweza kuzilinda hizi barabara, labda tupeane zamu za ulinzi shirikishi.
 
Wizi barabaran umekuwa sana, hivyo tujihadhari sana watumia Barabara maana unakuta upo speed kubwa hii inaweza kusababisha hata ajali na ikapoza maisha ya waendesha vyombo vya magari..

Mamlaka husiaka iwe inakagua barabra zake kulingana na mikoa na kata na ukanda zilipo. Ili kuepusha haya

Wapi huko mchaga wewe mbona hutaji? Hapana jina? Maneno meengi vipi mangi hapana jina hapo kama wewe sio muongo
 
Back
Top Bottom