Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Sijui kama wataepuka kushitakiwa ICC wakirudia hilo kosaKete lazima zitembee kama kawa kudhibiti magenge ya Wahuni
Jela ya ICC iko sehemu gani? Police wa ICC wako sehemu gani?Sijui kama wataepuka kushitakiwa ICC wakirudia hilo kosa
Kuna kisa kimojq kilitokea siku chache zilizopita pale Brazil ktk mkutano mkubwa wa viongozi wa kiduniaHivi kwa mfano ;
watu wakatoka na wasifanye vurugu! Wakandamana kwa amani na polisi wakawalinda!
Hayo maandamano yatakua na destination?
-Je ikifika saa 12 waandamanaji watarejea majumbani au watalala hapo mpaka siku watayosikilizwa kwa uvumilivu hata ikawa wiki2?
- ama ndio wataaanza vurugu mpya
kwa hiyo unamaanisha na huku watafanya hivyo hivyo!? Uzuri wanaozika ndugu wamo wana CCM, Waislamu! na wapo ndugu wa waliopo Serikalini!Kuna kisa kimojq kilitokea siku chache zilizopita pale Brazil ktk mkutano mkubwa wa viongozi wa kidunia
Watu wengi walipoteza maisha ktk maandamano yale ya amani.
Maandamano yalikuwa ya amani lakini watu waliuliwa pale pale na hakukuwa na kuzimwa kwa mtandao. Dunia iliona na ilikaa kimya na hakuna tamko lolote la maana.
Kwamba sasa hivi ICC haiwezi kuwashtaki mpaka warudie kosa?Sijui kama wataepuka kushitakiwa ICC wakirudia hilo kosa
Kila mtu atawajibika kwa makosa yake bila kujali upande, rangi, dini, umri, kimo, chama nk.kwa hiyo unamaanisha na huku watafanya hivyo hivyo!? Uzuri wanaozika ndugu wamo wana CCM, Waislamu! na wapo ndugu wa waliopo Serikalini!
Nchi hasara sana hii kwa kweli Mungu arande woote waliotusababisha shida hii
Ni vizuri zaidi, huku vijijini tutaendelea kutenga maeneo makubwa zaidi kwa ajili ya kupanda miili ya watu na sio mbegu kipindi hiki cha kilimoHata wakirudia jambo la msingi hakuna wa kurudi nyuma!
Fanya tafiti vizuri kutokea ktk hiyo ofisi ya serikali uliopo.Sijui kama wataepuka kushitakiwa ICC wakirudia hilo kosa
Serekali ya dunia huwa ina maslahi yake na ukionyesha kutishia maslahi yao wanafanya chochote na wanakaa kimya. Hizi kesi za nyani ngumu kumpelekea ngedere labda wawe hawana maslahi naeKuna kisa kimojq kilitokea siku chache zilizopita pale Brazil ktk mkutano mkubwa wa viongozi wa kidunia
Watu wengi walipoteza maisha ktk maandamano yale ya amani.
Maandamano yalikuwa ya amani lakini watu waliuliwa pale pale na hakukuwa na kuzimwa kwa mtandao. Dunia iliona na ilikaa kimya na hakuna tamko lolote la maana.
Bongo watu wanaangamia kwa kukosa maarifa na utafiti😅😅😅🤣🤣Kwamba sasa hivi ICC haiwezi kuwashtaki mpaka warudie kosa?
Na kwanini huwa tunadhani ICC ua wazungu wanajali sana tukiumia, ukweli hawajali tena wakati mwingine wanachochea kusiwe na utulivu ili wavune vya kutosha, mifano ipo.
Uko sahihi, mantiki inawekwa pembeni, hisia zinaongoza akili, matokeo yake ni kulia na kulalamika kwenye mambo ambayo yako wazi.Bongo watu wanaangamia kwa kukosa maarifa na utafiti😅😅😅🤣🤣
Kwa haya yanayoendelea nmegundua maarifa ni tunu na elimu haijamsaidia mtu.