Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Changamoto kubwa inayokikumba Chama cha Mapinduzi kwa sasa ni kuwa na Viongozi wenye akili na upeo duni, Wasioweza kuchakata tension iliyopo kwenye jamii na kujua waseme nini na kwa wakati gani?
Suala hili limekuwa likiongeza sana hasira za wananchi dhidi yao. Nawapongeza wenye busara wachache hasa KM Nchimbi na Mwenezi Makala kwa kujitahidi sana kulainisha tension ya wananchi.
Changamoto nyingine inayokikumba chama hiki ni kuwa na mawazo mgando ambayo hayaendani na wakati tuliopo na hili ndo limesababisha nchi kupiga hatua ndogo katika maendeleo.
Jana Makonda katoa maneno kuwasema Viongozi wa dini waliokemea masuala ya Mauaji na Utekaji. Anasema viongozi wa dini hawatoi waraka kukemea wanasali.
Tuseme Makonda hajui kuwa Yohana Mbatizaji alimlaumu waziwazi na kumkemea Herode baada ya Herode kuoa Mke wa nduguye? Kwa hiyo Makonda anataka kusema Yohana Mbatizaji hakuwa kiongozi wa Dini?
Leo nimejiuliza. Hivi Makonda anajua Viongozi wa Dini wakisema wamjibu kutakuwa na matokeo gani?
Mfano kesho TEC wakitoa tamko kuunga mkono maandamano ya Chadema ili kumuonesha tu Makonda na Serikali kuwa wako serious kupinga mauaji na utekaji matokeo yake yatakuwaje?
Makonda hajui kuwa Viongozi wa TEC na hata Maaskofu wengine na viongozi wa dini ya kiislam wanaweza wakatoa tamko kesho kuwa watashiriki maandamano ya Chadema?? Je wakisema hivyo anajua matokeo yake yatakuwaje??
Napenda kumshauri Samia, aachane na hili genge la kina Makonda lililomteka akili sasaivi. Hili genge litamharibia big time. Na kama anataka kukumbukwa daima na Watanzania sio Chama cha Mapinduzi tu aachane na hawa watu wanaompotosha na haraka aanzishe mchakato wa Katiba Mpya.
Tanzania tunahitahi Katiba Mpya. Tusiombe ufike mahala viongozi wa dini waseme tunaunga mkono maandamano ya kupinga ukatili na tutashiriki. Maana hili likitokea nina uhakika hata hao TISS watawanawa CCM.
Tusiwaone Viongozi wa dini ni Wajinga. Wakiingia front CCM ndo bye bye mchana kweupe.