Hatari ya mtandao wa Tinder Tanzania

Hatari ya mtandao wa Tinder Tanzania

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—›๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ฟ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ

1_20250113_183453_0000.png


Wimbi la watumiaji wa mtandao wanawake kwa wanaume wanatafuta wapenzi inazidi kushika Kasi nchini Tanzania ๐Ÿค”

Imekuwaje???๐Ÿ‘‹

Kuna tabia kubwa inazidi kushika Kasi nchini Tanzania ya wadada lika mbalimbali kujirahisisha kwa kutaka maisha mepesi ni hatari Sana.

Kuna program inaitwa tinder kazi yake kutafuta mchumba online ukimpata basi mnakua wapenzi.

-h5w1d9.jpg


Ni app ambayo wengi wanaamini zinaweza kuwasaidia kupata upendo Toka kwa watu wengine lakini ni hatari maana inasababisha tatizo la afya ya akili ukiendekeza sana.

Kumekua na wimbi kubwa la wadada wa kitanzania kuweka picha zao na maelezo kadhaa kujihusu wao kuwa wanatafuta wapenzi kwenye mitandao ya kutafuta wapenzi jambo hii sio nzuri kabisa.

jy2xz7.jpg


Njia wanayotumia sio ya kujiheshimu na wajichukulia poa kabisa utakuta mdada anaandika kwenye mtandao jina lake, mahali anapoishi , anatafuta mwanaume wa aina Gani nk unafikiri ni salama.

Unajua kwanini Acha kabisa kutumia mtandao wa tinder ๐Ÿ‘‡

โ€ข inasababisha wasiwasi pamoja na stress mfadhaiko haswa inapotokea Kila ukiweka taarifa zako ujampata mtu sahihi.

-y1exg4.jpg


โ€ข pia Kuna matapeli wengi wanatumia picha za sura za watu wengine kujiunga na kutapeli watu
-h5w1d9.jpg


โ€ข Kuna magonjwa unaweza kuyapata bila kutarajia.




โ€ข pia inahusisha masuala ya picha ya mwili ila kiuwalisia hujui chochote nyuma ya Huyo mtu unayetaka kuanzisha uhusiano naye jihadhari.

โ€ข unaweza tekwa bila kujijua na kutumika kingono
โ€ข thamani, hadhi yako kama mwanamke au mwanaume inapungua maana taarifa zako zote mtandaoni zipo kukuhusu wewe nk.

Wadada wakaka Acheni kutumia mtandao kutafuta wachumba mjiheshimu ๐Ÿ–๏ธ

Vipi umeshawahi kutumia mtandao wa kutafuta mchumba online ulifanikiwa kufunga naye ndoa tuachie maoni yako ?
 
Wabongo huwa ni waharibifu wa vitu vyenye maana.

Lengo la tinder lilikuwa kuunganisha watu, wenye lengo la kutengeneza uhusiano.
Kilicho fata uka geuka mtandao wa makulumbembe kukutana.

angalia Kama kampuni ya mikopo Kama Tala, watz wali ifanyia uhuni WA ajabu.
 
Wanawake wa huko wote husema wanaume hawana huruma!
Ukiuliza short time kiasi gani unaletewa proforma invoice! Ni wewe tu ku- negotiate. Ki ukweli kabisa sidhani mwanamke mwenye staha anaweza kujiunga huko unless otherwise awe hafahamu kinachoendelea
 
Wabongo huwa ni waharibifu wa vitu vyenye maana.

Lengo la tinder lilikuwa kuunganisha watu, wenye lengo la kutengeneza uhusiano.
Kilicho fata uka geuka mtandao wa makulumbembe kukutana.

angalia Kama kampuni ya mikopo Kama Tala, watz wali ifanyia uhuni WA ajabu.
Uko sahihi, lengo lilikua zuri ila mabinti wamefanya ndio sehemu yao ya kujiuzia.
 
Back
Top Bottom