Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kufa mwenyewe. Wengine tunaenda kwa step huku tukifurahiaMbususu tamu nyie wacha tuu tufe na ukimwiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa mwenyewe. Wengine tunaenda kwa step huku tukifurahiaMbususu tamu nyie wacha tuu tufe na ukimwiiii
Nilishawahi kutumia𝗛𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝘁𝗶𝗻𝗱𝗲𝗿 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮
View attachment 3200971
Wimbi la watumiaji wa mtandao wanawake kwa wanaume wanatafuta wapenzi inazidi kushika Kasi nchini Tanzania 🤔
Imekuwaje???👋
Kuna tabia kubwa inazidi kushika Kasi nchini Tanzania ya wadada lika mbalimbali kujirahisisha kwa kutaka maisha mepesi ni hatari Sana.
Kuna program inaitwa tinder kazi yake kutafuta mchumba online ukimpata basi mnakua wapenzi.
View attachment 3200972
Ni app ambayo wengi wanaamini zinaweza kuwasaidia kupata upendo Toka kwa watu wengine lakini ni hatari maana inasababisha tatizo la afya ya akili ukiendekeza sana.
Kumekua na wimbi kubwa la wadada wa kitanzania kuweka picha zao na maelezo kadhaa kujihusu wao kuwa wanatafuta wapenzi kwenye mitandao ya kutafuta wapenzi jambo hii sio nzuri kabisa.
View attachment 3200973
Njia wanayotumia sio ya kujiheshimu na wajichukulia poa kabisa utakuta mdada anaandika kwenye mtandao jina lake, mahali anapoishi , anatafuta mwanaume wa aina Gani nk unafikiri ni salama.
Unajua kwanini Acha kabisa kutumia mtandao wa tinder 👇
• inasababisha wasiwasi pamoja na stress mfadhaiko haswa inapotokea Kila ukiweka taarifa zako ujampata mtu sahihi.
View attachment 3200974
• pia Kuna matapeli wengi wanatumia picha za sura za watu wengine kujiunga na kutapeli watu View attachment 3200980
• Kuna magonjwa unaweza kuyapata bila kutarajia.
• pia inahusisha masuala ya picha ya mwili ila kiuwalisia hujui chochote nyuma ya Huyo mtu unayetaka kuanzisha uhusiano naye jihadhari.
• unaweza tekwa bila kujijua na kutumika kingono
• thamani, hadhi yako kama mwanamke au mwanaume inapungua maana taarifa zako zote mtandaoni zipo kukuhusu wewe nk.
Wadada wakaka Acheni kutumia mtandao kutafuta wachumba mjiheshimu 🖐️
Vipi umeshawahi kutumia mtandao wa kutafuta mchumba online ulifanikiwa kufunga naye ndoa tuachie maoni yako ?
Na bill ya usafiri!😅😅Baadae wanatuma commercial invoice, packing list na original document 😂😂 that joke mzee
Acha kabisa mzee..... Bado hela ya kushusha mzigoNa bill ya usafiri!😅😅
Huwa tunashindwana wanapotaka ni upload picha zanguTinder ni sokoni kama River side
Enzi zangu nilianzia Tagged, kulikua soko zuri sana. Kuna siku nilimkimbia dem mlimani city, alikua wafoo balaaHuwa tunashindwana wanapotaka ni upload picha zangu