Nami natafuta wangu wa maisha online, tuwe mfano basi tuje kutoa ushuhuda hapa siku mojamliopata wachumba online mje basi mtupe uzoefu 😅nawasubiri kwa hamu na mimi nitafute wangu wa Maisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami natafuta wangu wa maisha online, tuwe mfano basi tuje kutoa ushuhuda hapa siku mojamliopata wachumba online mje basi mtupe uzoefu 😅nawasubiri kwa hamu na mimi nitafute wangu wa Maisha.
Baadae wanatuma commercial invoice, packing list na original document 😂😂 that joke mzeeWanawake wa huko wote husema wanaume hawana huruma!
Ukiuliza short time kiasi gani unaletewa proforma invoice! Ni wewe tu ku- negotiate. Ki ukweli kabisa sidhani mwanamke mwenye staha anaweza kujiunga huko unless otherwise awe hafahamu kinachoendelea
Sawa Mkuu 😜upload picha yako watakuja tu
Na pingu tuzifunge 😝nakubaliana na weweNami natafuta wangu wa maisha online, tuwe mfano basi tuje kutoa ushuhuda hapa siku moja
Sio ungo tu hadi kisinia 😜Umesha balee au kuvunja ungo kwan? Upewe uzoefu waharaka
Najaaa 😜We njoo tu tufanye maisha na mimi
Elewa tofauti ya kutafuta wapenzi na utamu ...ya pili ni sahihi kwa Tanzania𝗛𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝘁𝗶𝗻𝗱𝗲𝗿 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮
View attachment 3200971
Wimbi la watumiaji wa mtandao wanawake kwa wanaume wanatafuta wapenzi inazidi kushika Kasi nchini Tanzania 🤔
Imekuwaje???👋
Kuna tabia kubwa inazidi kushika Kasi nchini Tanzania ya wadada lika mbalimbali kujirahisisha kwa kutaka maisha mepesi ni hatari Sana.
Kuna program inaitwa tinder kazi yake kutafuta mchumba online ukimpata basi mnakua wapenzi.
View attachment 3200972
Ni app ambayo wengi wanaamini zinaweza kuwasaidia kupata upendo Toka kwa watu wengine lakini ni hatari maana inasababisha tatizo la afya ya akili ukiendekeza sana.
Kumekua na wimbi kubwa la wadada wa kitanzania kuweka picha zao na maelezo kadhaa kujihusu wao kuwa wanatafuta wapenzi kwenye mitandao ya kutafuta wapenzi jambo hii sio nzuri kabisa.
View attachment 3200973
Njia wanayotumia sio ya kujiheshimu na wajichukulia poa kabisa utakuta mdada anaandika kwenye mtandao jina lake, mahali anapoishi , anatafuta mwanaume wa aina Gani nk unafikiri ni salama.
Unajua kwanini Acha kabisa kutumia mtandao wa tinder 👇
• inasababisha wasiwasi pamoja na stress mfadhaiko haswa inapotokea Kila ukiweka taarifa zako ujampata mtu sahihi.
View attachment 3200974
• pia Kuna matapeli wengi wanatumia picha za sura za watu wengine kujiunga na kutapeli watu View attachment 3200980
• Kuna magonjwa unaweza kuyapata bila kutarajia.
• pia inahusisha masuala ya picha ya mwili ila kiuwalisia hujui chochote nyuma ya Huyo mtu unayetaka kuanzisha uhusiano naye jihadhari.
• unaweza tekwa bila kujijua na kutumika kingono
• thamani, hadhi yako kama mwanamke au mwanaume inapungua maana taarifa zako zote mtandaoni zipo kukuhusu wewe nk.
Wadada wakaka Acheni kutumia mtandao kutafuta wachumba mjiheshimu 🖐️
Vipi umeshawahi kutumia mtandao wa kutafuta mchumba online ulifanikiwa kufunga naye ndoa tuachie maoni yako ?
Njoo Mamie, mi najua tunaendana, tawezana tuNajaaa 😜
Umeniita vile napenda kuitwa 😜😜😜😜Njoo Mamie, mi najua tunaendana, tawezana tu
😊 i told you. Acha nije mwenyeweUmeniita vile napenda kuitwa 😜😜😜😜
Nikiwa Dom niliwahi kupata pisi mmoja kali sana kupitia BADOO
🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️ bas na w nijambaz kuu utakuwa unajua uzoefuSio ungo tu hadi kisinia 😜
Acha u wege wewe tinder badoo tagged zinatusaidia sie madomo zege kunua mbususu zinafananaje. Tunawashukuru wabunifu wote wa tinder badoo na tagged...wabarikiwe sana.𝗛𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝘁𝗶𝗻𝗱𝗲𝗿 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮
View attachment 3200971
Wimbi la watumiaji wa mtandao wanawake kwa wanaume wanatafuta wapenzi inazidi kushika Kasi nchini Tanzania 🤔
Imekuwaje???👋
Kuna tabia kubwa inazidi kushika Kasi nchini Tanzania ya wadada lika mbalimbali kujirahisisha kwa kutaka maisha mepesi ni hatari Sana.
Kuna program inaitwa tinder kazi yake kutafuta mchumba online ukimpata basi mnakua wapenzi.
View attachment 3200972
Ni app ambayo wengi wanaamini zinaweza kuwasaidia kupata upendo Toka kwa watu wengine lakini ni hatari maana inasababisha tatizo la afya ya akili ukiendekeza sana.
Kumekua na wimbi kubwa la wadada wa kitanzania kuweka picha zao na maelezo kadhaa kujihusu wao kuwa wanatafuta wapenzi kwenye mitandao ya kutafuta wapenzi jambo hii sio nzuri kabisa.
View attachment 3200973
Njia wanayotumia sio ya kujiheshimu na wajichukulia poa kabisa utakuta mdada anaandika kwenye mtandao jina lake, mahali anapoishi , anatafuta mwanaume wa aina Gani nk unafikiri ni salama.
Unajua kwanini Acha kabisa kutumia mtandao wa tinder 👇
• inasababisha wasiwasi pamoja na stress mfadhaiko haswa inapotokea Kila ukiweka taarifa zako ujampata mtu sahihi.
View attachment 3200974
• pia Kuna matapeli wengi wanatumia picha za sura za watu wengine kujiunga na kutapeli watu View attachment 3200980
• Kuna magonjwa unaweza kuyapata bila kutarajia.
• pia inahusisha masuala ya picha ya mwili ila kiuwalisia hujui chochote nyuma ya Huyo mtu unayetaka kuanzisha uhusiano naye jihadhari.
• unaweza tekwa bila kujijua na kutumika kingono
• thamani, hadhi yako kama mwanamke au mwanaume inapungua maana taarifa zako zote mtandaoni zipo kukuhusu wewe nk.
Wadada wakaka Acheni kutumia mtandao kutafuta wachumba mjiheshimu 🖐️
Vipi umeshawahi kutumia mtandao wa kutafuta mchumba online ulifanikiwa kufunga naye ndoa tuachie maoni yako ?
Unakuta demu anakwambi mie kunigegeda goli moja laki!Afu wanabei sana
Tuendelee kusambaziana ukimwi tuuNa hii ndo nia ya mtoa mada. Wasioijua Tinder wakajiunge!
Ngoja na mie niijaribu hiiWapi hili mkuu, tugawane utajiri