Hatari ya mtandao wa Tinder Tanzania

Hatari ya mtandao wa Tinder Tanzania

𝗛𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝘁𝗶𝗻𝗱𝗲𝗿 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮

View attachment 3200971

Wimbi la watumiaji wa mtandao wanawake kwa wanaume wanatafuta wapenzi inazidi kushika Kasi nchini Tanzania 🤔

Imekuwaje???👋

Kuna tabia kubwa inazidi kushika Kasi nchini Tanzania ya wadada lika mbalimbali kujirahisisha kwa kutaka maisha mepesi ni hatari Sana.

Kuna program inaitwa tinder kazi yake kutafuta mchumba online ukimpata basi mnakua wapenzi.

View attachment 3200972

Ni app ambayo wengi wanaamini zinaweza kuwasaidia kupata upendo Toka kwa watu wengine lakini ni hatari maana inasababisha tatizo la afya ya akili ukiendekeza sana.

Kumekua na wimbi kubwa la wadada wa kitanzania kuweka picha zao na maelezo kadhaa kujihusu wao kuwa wanatafuta wapenzi kwenye mitandao ya kutafuta wapenzi jambo hii sio nzuri kabisa.

View attachment 3200973

Njia wanayotumia sio ya kujiheshimu na wajichukulia poa kabisa utakuta mdada anaandika kwenye mtandao jina lake, mahali anapoishi , anatafuta mwanaume wa aina Gani nk unafikiri ni salama.

Unajua kwanini Acha kabisa kutumia mtandao wa tinder 👇

• inasababisha wasiwasi pamoja na stress mfadhaiko haswa inapotokea Kila ukiweka taarifa zako ujampata mtu sahihi.

View attachment 3200974

• pia Kuna matapeli wengi wanatumia picha za sura za watu wengine kujiunga na kutapeli watu View attachment 3200980

• Kuna magonjwa unaweza kuyapata bila kutarajia.

• pia inahusisha masuala ya picha ya mwili ila kiuwalisia hujui chochote nyuma ya Huyo mtu unayetaka kuanzisha uhusiano naye jihadhari.

• unaweza tekwa bila kujijua na kutumika kingono
• thamani, hadhi yako kama mwanamke au mwanaume inapungua maana taarifa zako zote mtandaoni zipo kukuhusu wewe nk.

Wadada wakaka Acheni kutumia mtandao kutafuta wachumba mjiheshimu 🖐️

Vipi umeshawahi kutumia mtandao wa kutafuta mchumba online ulifanikiwa kufunga naye ndoa tuachie maoni yako ?
Utinder utakufa but Umalaya utadumu. Zimekufa lugha, yamekufa makabila, vimezama visiwa, imefutika miji, wameenda wakoloni Afrika hadi wameondoka, wamedondoka wafalme wakazikwa, zimeibuka tabia mpya, ikaja Sayansi na teknolojia, zimechomwa Sodoma na Gomora...lakini Umalaya na Ukahaba vime survive na kudumu.

Umalaya na ukahaba vitapotea duniani siku ambayo binaadamu watabaki wawiili tu.
 
𝗛𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝘁𝗶𝗻𝗱𝗲𝗿 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮

View attachment 3200971

Wimbi la watumiaji wa mtandao wanawake kwa wanaume wanatafuta wapenzi inazidi kushika Kasi nchini Tanzania 🤔

Imekuwaje???👋

Kuna tabia kubwa inazidi kushika Kasi nchini Tanzania ya wadada lika mbalimbali kujirahisisha kwa kutaka maisha mepesi ni hatari Sana.

Kuna program inaitwa tinder kazi yake kutafuta mchumba online ukimpata basi mnakua wapenzi.

View attachment 3200972

Ni app ambayo wengi wanaamini zinaweza kuwasaidia kupata upendo Toka kwa watu wengine lakini ni hatari maana inasababisha tatizo la afya ya akili ukiendekeza sana.

Kumekua na wimbi kubwa la wadada wa kitanzania kuweka picha zao na maelezo kadhaa kujihusu wao kuwa wanatafuta wapenzi kwenye mitandao ya kutafuta wapenzi jambo hii sio nzuri kabisa.

View attachment 3200973

Njia wanayotumia sio ya kujiheshimu na wajichukulia poa kabisa utakuta mdada anaandika kwenye mtandao jina lake, mahali anapoishi , anatafuta mwanaume wa aina Gani nk unafikiri ni salama.

Unajua kwanini Acha kabisa kutumia mtandao wa tinder 👇

• inasababisha wasiwasi pamoja na stress mfadhaiko haswa inapotokea Kila ukiweka taarifa zako ujampata mtu sahihi.

View attachment 3200974

• pia Kuna matapeli wengi wanatumia picha za sura za watu wengine kujiunga na kutapeli watu View attachment 3200980

• Kuna magonjwa unaweza kuyapata bila kutarajia.

• pia inahusisha masuala ya picha ya mwili ila kiuwalisia hujui chochote nyuma ya Huyo mtu unayetaka kuanzisha uhusiano naye jihadhari.

• unaweza tekwa bila kujijua na kutumika kingono
• thamani, hadhi yako kama mwanamke au mwanaume inapungua maana taarifa zako zote mtandaoni zipo kukuhusu wewe nk.

Wadada wakaka Acheni kutumia mtandao kutafuta wachumba mjiheshimu 🖐️

Vipi umeshawahi kutumia mtandao wa kutafuta mchumba online ulifanikiwa kufunga naye ndoa tuachie maoni yako ?
Ulienda huko kufanya nini watu wako kwenye biashara mkuu.
 
Wabongo huwa ni waharibifu wa vitu vyenye maana.

Lengo la tinder lilikuwa kuunganisha watu, wenye lengo la kutengeneza uhusiano.
Kilicho fata uka geuka mtandao wa makulumbembe kukutana.

angalia Kama kampuni ya mikopo Kama Tala, watz wali ifanyia uhuni WA ajabu.
Tala hawana hamu
 
Back
Top Bottom