Hatari ya mtandao wa Tinder Tanzania

Hatari ya mtandao wa Tinder Tanzania

Hahah… ingia SUA au Mzumbe pale Ijumaa simamisha na chat na warembo utaokutana nao, omba kuwapeleka cafeteria chukua namba zao then jioni waambie uwapeleke Samaki au Starpark hawakatai.
Ah sasa mie domo zege ndio maana nataka hi,i apps huko unachapa tuu marimba ya mzungu mambo yameisha. Mambo ya kuanza kujianika hadhari kuongea na demu mie siwezi
 
Kweli hasara roho pesa yatafutwa
😅😅😅 Kama hivi ndio vitoto vya chuo.. mwanawaneee usichelewe nipa connection
Screenshot_20250114-124713.png
 
Pisi za maana zipo ni wewe kuwa selective kuanzia unapochat nae.

Huko huko niliotea lishangazi lizuri sana japo kwangu mie siyo lishangazi tumegongana umri!!

Tunapendana kinyama, mwaka wa tatu sasa!! Nataka nilirasimishe kama mke mdogo.
Mkuu watu wanadhania mademu walioko huko wanatoka sayari nyingine kumbe ndio hawa hawa tunaoishi nao mitaani

Mi nilipo rudi Dar nimewahi kukatumia nauli kama mara 4 hivi kanakuja Dar ijumaa nakamu hadi Jpili kanarudi Dom

Demu “jambazi” utalijua tu mnapo anza tu kuchat nalo kabla hamjakutana
 
Back
Top Bottom