Tetesi: Hatari ya North Korea

Tetesi: Hatari ya North Korea

Kwa Saddam Hussein watu wa dunia ya tatu walinukuu hata misahafu wakidai safari hii Marekani kaingia choo cha kike na kwamba vita ambavyo vingetokea ni mother of all battles. Wako askari wa Saddam waliojuliakana kama Republican Guards ambao ilidaiwa wangewaonesha cha mtema kuni wanajeshi wa Marekani na kwamba jangwa lingegeuka jehanamu na kutiririka damu!

080af26439d4cf3fe4579fa1864e0f1e.jpg

Saddam Hussein enzi zake akitamba!​

Wako walioenda mbali zaidi na kutabiri mwisho wa dunia wakinukuu aya kwenye misahafu iliyotabiri kutokea mvaa kilemba wa mashariki ya Kati ambaye angeifuta Marekani kwenye uso wa dunia. Bila shaka vijana ambao hivi sasa wanamshabikia huyo mnyoa kiduku wa NK walikuwa bado kuzaliwa. Kwa kufupisha hadithi ndefu ni kwamba operation desert storm ilipotangazwa dunia ilisimama.

images

Saddam Hussein na kilemba.​

Ghafla anga lote la Iraq likafunikwa kwa wingu jeusi la mawimbi ya redio na Warusi waliotabiriwa kumsaidia Sadam wakakunja mikia na kumuacha Saddam akicharazwa kama mtoto mdogo. Republican Guards wake wakasambaratika wakitafuta pa kujificha wasipaone. Marekani, kwa moyo wa huruma akasema imetosha, akamkanya na kumuonya asirudie na hivo kumuacha Saddam akikusanya vyake.

Miaka michache baadaye Saddam kwa ama utundu au ujinga akasahau akaanza tena chokochoko na safari hii Mmarekani akaapa kutomuonea tena huruma. Masikini Saddam, baada ya kukosa pa kukimbilia akaishia shimo la panya kujisetiri kuepuka vipondo. Lakini hata huko alitafutwa na siku anatolewa shimoni macho yalikuwa hayaoni baada ya kukaa gizani miaka yote hiyo.

%25D8%25A8%25D9%2587%25D8%25AA%25D8%25B1%25DB%258C%25D9%2586%2520%25D8%25B9%25DA%25A9%25D8%25B3%25D9%2587%25D8%25A7%25DB%258C%2520%25D8%25AF%25D9%2587%25D9%2587%2520%25D8%25A7%25D8%25B2%2520%25D9%2586%25DA%25AF%25D8%25A7%25D9%2587%2520%25D8%25B3%25D8%25A7%25DB%258C%25D8%25AA%2520%25D8%25AA%25D9%2584%25DA%25AF%25D8%25B1%25D8%25A7%25D9%258112.jpg

Saddam Hussein akitolewa shimoni alikojificha!
Endeleeni kukidanganya hicho kitoto cha NK! Historia hujirudia...nyie vita muisikie tu ila mkae mkijua kwamba Marekani wako mazoezini miaka yote toka vita vikuu vya dunia vya pili.
 
Kwa Saddam Hussein watu wa dunia
.​
Kim kashaongea kuwa yeye sio muarabu, usiifananishe north korea ya sasa na iraq ya kipindi kile ni vitu viwili tofauti. Sadaam alibugi kuwaruhusu wamarekani waje kukagua siraha zake na walipoona udhaifu wake hawakulemba na wakafanya mashambulizi ya mshangao.usifikili bwaba kim atayarudia matapishi aliyoyaacha sadaam husein.
 
Kwani kutengeneza silaha na kuisifia eti hii inaweza kufika texas,uk na france hii maana yake nin? Bila shaka ukiona mtu anakukandia jua anakuheshm ila anajikosha tuu...utumbo anaofanya NK ndo huo Moscow anafanya...Israel hafanyagi show lakn kilasiku Damascus wanalia hawa ndo wanaume
kwa hiyo na utumbo alioufanya marekani kupeleka aircraft cariers na mpaka sasa zimebweteka ras ya korea huuoni? Israel waoga tu. si wanamuonea syria kwa kuwa wanajua ubavu hana. Mbona hawajampiga Iran? mbona hawamsaidii US kumadhibu kiduku? hacha ushabiki mandazi mkuu.
 
Kama Russia ana tanks na anasita kustrike Washington, bas hizi ni sarakas za Pyongyang yaan mpaka wasubir wadevelop ndipo wastrike?
kwani nchi zingine hazinaga tanks? au unafikiri tanks ni makombora ya masafa marefu!!?
 
Kwa Saddam Hussein watu wa dunia ya tatu walinukuu hata misahafu wakidai safari hii Marekani kaingia choo cha kike na kwamba vita ambavyo vingetokea ni mother of all battles. Wako askari wa Saddam waliojuliakana kama Republican Guards ambao ilidaiwa wangewaonesha cha mtema kuni wanajeshi wa Marekani na kwamba jangwa lingegeuka jehanamu na kutiririka damu!

080af26439d4cf3fe4579fa1864e0f1e.jpg

Saddam Hussein enzi zake akitamba!​

Wako walioenda mbali zaidi na kutabiri mwisho wa dunia wakinukuu aya kwenye misahafu iliyotabiri kutokea mvaa kilemba wa mashariki ya Kati ambaye angeifuta Marekani kwenye uso wa dunia. Bila shaka vijana ambao hivi sasa wanamshabikia huyo mnyoa kiduku wa NK walikuwa bado kuzaliwa. Kwa kufupisha hadithi ndefu ni kwamba operation desert storm ilipotangazwa dunia ilisimama.

images

Saddam Hussein na kilemba.​

Ghafla anga lote la Iraq likafunikwa kwa wingu jeusi la mawimbi ya redio na Warusi waliotabiriwa kumsaidia Sadam wakakunja mikia na kumuacha Saddam akicharazwa kama mtoto mdogo. Republican Guards wake wakasambaratika wakitafuta pa kujificha wasipaone. Marekani, kwa moyo wa huruma akasema imetosha, akamkanya na kumuonya asirudie na hivo kumuacha Saddam akikusanya vyake.

Miaka michache baadaye Saddam kwa ama utundu au ujinga akasahau akaanza tena chokochoko na safari hii Mmarekani akaapa kutomuonea tena huruma. Masikini Saddam, baada ya kukosa pa kukimbilia akaishia shimo la panya kujisetiri kuepuka vipondo. Lakini hata huko alitafutwa na siku anatolewa shimoni macho yalikuwa hayaoni baada ya kukaa gizani miaka yote hiyo.

%25D8%25A8%25D9%2587%25D8%25AA%25D8%25B1%25DB%258C%25D9%2586%2520%25D8%25B9%25DA%25A9%25D8%25B3%25D9%2587%25D8%25A7%25DB%258C%2520%25D8%25AF%25D9%2587%25D9%2587%2520%25D8%25A7%25D8%25B2%2520%25D9%2586%25DA%25AF%25D8%25A7%25D9%2587%2520%25D8%25B3%25D8%25A7%25DB%258C%25D8%25AA%2520%25D8%25AA%25D9%2584%25DA%25AF%25D8%25B1%25D8%25A7%25D9%258112.jpg

Saddam Hussein akitolewa shimoni alikojificha!
Endeleeni kukidanganya hicho kitoto cha NK! Historia hujirudia...nyie vita muisikie tu ila mkae mkijua kwamba Marekani wako mazoezini miaka yote toka vita vikuu vya dunia vya pili.

Kumbuka kila mbabe anambabe wake
Uwezi fananisha NK na nchi ulizo zieleza hazifanani kwa lolote
NK anaadvantage ya geographical location, technology anayo, na mambo yake had leo watu wanaishia kubashiri tuu ila hawana taarifa saiz.

Jaribu kuweka mahaba pemben na bak kwenye ukweli.
Marekan akiingia vitan ikaleta madhara kwake na kuonekana nchi yake sio salama pesa yake itapoteza confidence na pesa ya taifa lingine ikiwa kat ya japan au china au nchi nyinge yenye uchumi imara ikachukua nafas ya dura hapo US itakuwa imekufa kabisa kitu ambacho yeye anakijua na hatak kije kutokea na kikitokea litakuwa tukio la hasara kubwa kwa nchi zote ambazo rakiz zake zinazo pakana na NK ikiwa pamoja na Australia,

Kabla ujawaza hayo lazima uangalie cost na benefit ndio ufanye hivyo.
Tafuta nchi ambayo ina nuke ambayo US alitia mguuu ndio uwaze hili pia

Kumbuka NS ataitazama US kijografia pia
 
Huyo team Israel,,ye hata ikitokea Israel inataka kushambulia Taifa lake,basi ye atakuwa upande wa Israel ili akale ubwabwa na Yesu
Kuna watu wamelogwa na uchawi wa maabara mkuu ndio kama huyo ata watoto wake watakuwa hivyo hivyo!
Haswa wale wanao pewaga kale kamkate na kiongozi wao
 
Hata Kama US ni shemeji yako kaa ukijua kuwa hana ubav wa kuipiga NK kwakuwa kwanza hajui lolote kuhusu jeshi la NK na hana uwezo wa kufanya ESPIONAGE pia taka usitake NK anauwezo wa kitekno ktk nyanja zote mdo maana kiduku alimwambia trump kwamba wao wapo tayari kwa vita! US kapigwa mkwara na midude yake akaambiwa ole wake aguse pwan ya NK hakika US aliufyata!
 
Mkuu tanks zitaendaje Marekani?

Kupitia Alaska kwa kuvuka Bering Strait yenye umbali wa maili 55 tu, na kina chake si kirefu sana ni 30 - 50 metres - umbali na kina cha Bahari ni rahisi kupitisha vifaru ambavyo vimehundwa mahususi kuvuka vikwazo vinavyo sababishwa na maji - wanaweza vile vile kuchimba underground tunnels - ingawa hawasemi lakini sina shaka mahandaki hayo yapo just in case.
 
Kwa Saddam Hussein watu wa dunia ya tatu walinukuu hata misahafu wakidai safari hii Marekani kaingia choo cha kike na kwamba vita ambavyo vingetokea ni mother of all battles. Wako askari wa Saddam waliojuliakana kama Republican Guards ambao ilidaiwa wangewaonesha cha mtema kuni wanajeshi wa Marekani na kwamba jangwa lingegeuka jehanamu na kutiririka damu!

080af26439d4cf3fe4579fa1864e0f1e.jpg

Saddam Hussein enzi zake akitamba!​

Wako walioenda mbali zaidi na kutabiri mwisho wa dunia wakinukuu aya kwenye misahafu iliyotabiri kutokea mvaa kilemba wa mashariki ya Kati ambaye angeifuta Marekani kwenye uso wa dunia. Bila shaka vijana ambao hivi sasa wanamshabikia huyo mnyoa kiduku wa NK walikuwa bado kuzaliwa. Kwa kufupisha hadithi ndefu ni kwamba operation desert storm ilipotangazwa dunia ilisimama.

images

Saddam Hussein na kilemba.​

Ghafla anga lote la Iraq likafunikwa kwa wingu jeusi la mawimbi ya redio na Warusi waliotabiriwa kumsaidia Sadam wakakunja mikia na kumuacha Saddam akicharazwa kama mtoto mdogo. Republican Guards wake wakasambaratika wakitafuta pa kujificha wasipaone. Marekani, kwa moyo wa huruma akasema imetosha, akamkanya na kumuonya asirudie na hivo kumuacha Saddam akikusanya vyake.

Miaka michache baadaye Saddam kwa ama utundu au ujinga akasahau akaanza tena chokochoko na safari hii Mmarekani akaapa kutomuonea tena huruma. Masikini Saddam, baada ya kukosa pa kukimbilia akaishia shimo la panya kujisetiri kuepuka vipondo. Lakini hata huko alitafutwa na siku anatolewa shimoni macho yalikuwa hayaoni baada ya kukaa gizani miaka yote hiyo.

%25D8%25A8%25D9%2587%25D8%25AA%25D8%25B1%25DB%258C%25D9%2586%2520%25D8%25B9%25DA%25A9%25D8%25B3%25D9%2587%25D8%25A7%25DB%258C%2520%25D8%25AF%25D9%2587%25D9%2587%2520%25D8%25A7%25D8%25B2%2520%25D9%2586%25DA%25AF%25D8%25A7%25D9%2587%2520%25D8%25B3%25D8%25A7%25DB%258C%25D8%25AA%2520%25D8%25AA%25D9%2584%25DA%25AF%25D8%25B1%25D8%25A7%25D9%258112.jpg

Saddam Hussein akitolewa shimoni alikojificha!
Endeleeni kukidanganya hicho kitoto cha NK! Historia hujirudia...nyie vita muisikie tu ila mkae mkijua kwamba Marekani wako mazoezini miaka yote toka vita vikuu vya dunia vya pili.
Umetumia kigezo gani kilicho kufanya North Korea uifananishe na Iraq...?

Na huyu kiduku anapo mwambia Marekani kuwa wao sio waarabu, unajua haya maneno yana uzito Wa namna gani..?
 
Kim kashaongea kuwa yeye sio muarabu, usiifananishe north korea ya sasa na iraq ya kipindi kile ni vitu viwili tofauti. Sadaam alibugi kuwaruhusu wamarekani waje kukagua siraha zake na walipoona udhaifu wake hawakulemba na wakafanya mashambulizi ya mshangao.usifikili bwaba kim atayarudia matapishi aliyoyaacha sadaam husein.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Yani Mkuu nawashangaa,

Hivi watu bado tuu wanaifananisha Iraq ya Saddam Hossein na North Korea ya huyu mapanki.
 
Kuna watu wamelogwa na uchawi wa maabara mkuu ndio kama huyo ata watoto wake watakuwa hivyo hivyo!
Haswa wale wanao pewaga kale kamkate na kiongozi wao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivi Mkuu hako kamkate wanakatia Blue band ...?
 
Back
Top Bottom