Hatari za kuchelewa kuoa

Noted @hakuomba kuzaliwa umemaliza kila kitu
 
Kuoa ni option ya mtu. Sio kitu cha lazima. Haupungui chochote usipooa. Mjomba acha akili za kijijini huko mashambani. Kuoa ni personal sio societal.
Nikitu cha lazima kwa sababu utakuwa msumbufu kwa wake za watu na wachumba za watu
 
Kademu kangu ndo kamemaliza form 6, nakachunga kidogo na kukapa Muongozo, kakimaliza chuo naowa, kakibebwa na wana basi natafuta kengine ninakokajua vizuri
Anza kutafuta katoto kengine hako kanaliwa na wakulungwa[emoji23]
 
Naweza kuoa na kuwasumbua vilevile. Hiyo sio hoja kabisa.
Ila ukifumaniwa unakuwa na title fulani mume wa mtu fulani kafumaniwa sasa wewe ukifumaniwa na mke wamtu hujaoa watu wanasema yule kaka ni limaya lione kazi kumendea wake zawatu si atafute wake umeona eh
 
Fikra za waandishi kama wewe ni nyingi kuhusu hilo. Lakini wengi wenu huwa mnapata "muwasho" wa kuwatwika wenzenu fikra finyu na invalid. Miaka 40 ni mingi kwa upeo wa fasihi zako na ujunki wa chipsi mayai na juice za moo!
 
Mungu mwenyewe kwa sasa waamini...ameona mfumo mzuri ni ke na me waishi kwenye ndoa...ww na madesa yako huko unatuambia ndoa sio kitu muhimu[emoji15][emoji15]
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…