Noted @hakuomba kuzaliwa umemaliza kila kituwatoto kumsaidia mzazi sio lazima ni uamuzi wao ila wazazi wachache wakitanzania wanafahamu hilo, na watoto wanasaidia mzazi wakikumbuka kipindi mzazi alivyokuwa ana sacrifice kwa ajili yao wanalipa fadhila... sasa mtu katelekeza watoto halafu analia watoto hawamjali
Ndio maana ni muhimu kuwa vizuri kiuchumi ili ukizeeka usiwe tegemezi ukawasumbua watoto
Elon Musk aliwahi sema mtoto wake ni jukumu lake maana yeye ndio kachagua kuwa na mtoto, na dogo hakuomba kuzaliwa