Hatari za kuchelewa kuoa


Nimezungumzia uhalisia sio assumption Mkuu
 
Naheshimu mawazo ya mwandishi ila si kweli aliyoyaandika
 
Yeah n kweli kuoa n muhimu sema hawa vijana sijui hata km wamekusikia.!
 
Umesema Vyema.
Ila ni vizuri kumuoa mwanamke ambaye upo naye tangu ukiwa kijana
Sio kweli, labda kwa wewe anayeishi eneo moja kuanzia chekechea Hadi leo. Lakin kwa wanaozunguka duniani nje ya maeneo Yao ya asili' wanakutana na vitu tofauti hivyo ni rahisi kuwa na chaguo huru!
 
Dini zote unazijua? Au unadhani ukristo na uislam ndio umemaliza? Kuna wasio na dini. Kuishi na mwanamke sio lazima iwe kuoa, unaweza ikawa temporary, na yakaisha. Mating ni process ya kibinadamu na sio lazima kuoa.
 
Ukichelewa utawaachia watu mjane na atateseka kulea Watoto maana umewazaa ukiwa mzee.

Ukioa above 30 umechelewesh watoto kusoma Kwa Msaada wako
 
Umenena vyema mkuu!
 
Mungu ndiye atakutunzia Mkeo.
Wewe fanya kazi, OA hichohicho kidogo OA mke kuliko kuwa mhuni
Mungu atamtunzia mkewe 😳😳😳 yeye afanye kazi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ ndio walivyokubaliana hivyo
 
Nitajie sababu moja tu muhimu ya kuoa ambayo asiyeoa akiikosa anakuwa si mkamilifu katika maisha.
 
Nimesoma uzi wako nikiamini wewe ni intelligent kweli, lakini kwa haya uliyomjibu jamaa, napata mashaka na uhalisia wa busara zako. Kila la heri.
 
Acha vitisho mkuu!!

Ndoa ni ndoa na watoto ni watoto hivi ulishajiuliza wewe binafsi una umuhimu gani kwenye ndoa ya wazazi wako tofauti ya kuwamalizia pesa za kukulea na kukusomesha..

Ningekuona una akili ungesema watu watafute hela ziwasaidie uzeeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…