Sawa mkuu, oa then ukose pesa uone.Pesa na ndoa haina mahusiano Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu, oa then ukose pesa uone.Pesa na ndoa haina mahusiano Mkuu
sawa mkuu, oa then ukose pesa uone.
Kuna mapungufu kadhaa mtoa mada ameyaonyesha:
Mosi, Kwa uelewa wake inaonekana kuoa single mother ni tatizo,kuna shida gani ya kumuoa mwanamke mwenye mtoto? Nani amepelekea kuwepo Kwa hao wanawake kama sio Sisi wanaume,VP kesho Mimi au wewe tumeaga duniani je wake zetu wasiolewe na kupata hifadhi ya ndoa?
Pili, umenasibisha ndoa na mwonekano WA mtu,kama ilivyosema mtu akiwa mtu mzima zaidi mamvi na kipara so mwanamke hawezi vutiwa na huyo mwanaume, hiyo sio Sawa hao ambao unadhani hawavutii basi ujue Kwa wengine wanapendwa Sana,mwanamke anahitaji security ya mapenzi na mahitaji katika familia,hayo yakifanywa vizuri ndoa huwa na Amani Sana.
Tatu,riziki ya mtu haina umri maalum,kuna wengine kufanikiwa mapema na wengine ktk utu uzima wao,kwahiyo usiwape presha vijana Kwa kujiona wamechelewa Sana na hivyo ndoa kwao kuwa mtihani,hapana unakosea.
Mwisho ambacho naona umefaulu ni kusisitiza vijana kuoa mapema na kuacha uzinifu,hapo naona umefanikiwa.
Naheshimu mawazo ya mwandishi ila si kweli aliyoyaandikaHATARI ZA KUCHELEWA KUOA!
Anaandika, Robert Heriel
Hakuna umri specific wa mwanaume kuoa lakini inashauri angalau umri kuanzia miaka 25-35 ni umri sahihi Kwa kijana kupata jiko. Lakini inapendekezwa zaidi umri mzuri zaidi ni 28-31.
Ndoa itaanza kukosa umuhimu ikiwa mtu atachelewa au kuwahi kuoa.
Yaani mtu aoe anamiaka 40+ Kwa kweli hapo ni kutafuta kisukari.
Mzee mmoja mwenye Busara ninayemheshimu na ambaye ameshawahi kushika Nyadhifa kubwa mbalimbali serikalini aliwahi kuniambia; Ukiona kijana amefikisha zaidi ya miaka 33 na hajaoa basi ujue anatafuta Kuolewa"
Nilipomuuliza maana ya maneno hayo akaniambia nisubiri nitakapofikisha umri huo nitamuelewa. Kauli hiyo nimeikumbuka hivi leo baada ya kukutana na tukio lililompata moja ya marafiki zangu,
Kutupisha andiko, zifuatazo ni hatari mbaya za mwanaume kuchelewa kuoa!
1. Kumpata mwenza mwenye watoto (single mother)
Ili Jambo hili lisitokee basi itakupasa uwe umechelewa kuoa Kwa sababu ya kutafuta pesa na umezipata. Hii itakufanya uoe hata binti kigoli mwenye Bikra
Lakini unamiaka sijui 37 sijui 40 alafu pesa huna alafu unatafuta kuoa. My friend hakuna atakayekuonea huruma, iwe ukweni au wanawake, zingatia wanawake hawanaga huruma na wanaume walioshiwa Step, walioishiwa mawazo, wasio na pesa.
2. Kuoa Wake za Watu, wapenzi wa watu
Hii itakufanya uwe na migogoro ya kila mara na Mkeo.
Mara nyingi wanaooa Kwa kuchelewa ndio husumbuliwa Kwa kiasi kikubwa na Wake zao, na hii ni kutokana na kuwa wameoa wake za watu.
Kikawaida, mwanaume akioa akiwa Kati ya umri ya miaka 25-33 yeye ndiye humsumbua Mke wake, lakini kama ataoa akiwa na umri kuanzia miaka 36-50+ wanawake ndio huwasumbua.
Angalia ndoa nyingi ndio zipo hivyo.
3. Kuwahi Kufa mapema.
Kuchelewa kuoa mara nyingi hukivuta kifo karibu zaidi.
Hii inatokana na Migogoro mipya utakayoipata Kwa Mke.
Sio ajabu mwanaume ameoa mwaka huu alafu ndani ya miaka kumi akafa.
Kwenye ndoa wanandoa wanaume waliooa muda sahihi wana-survive miaka mingi ukilinganisha na Wale wanaochelewa.
4. Kufilisika
Wanaume wengi waliochelewa kuoa wakapata maisha Fulani wengi wao hufilisika au maisha Yao kuingia katika taabu mara baada ya kuoa. Hii ni tofauti na wanaooa Kwa Wakati ambao wengi huanza Kwa maisha ya kawaida au yachini lakini kadiri siku zinavyoenda ndivyo uchumi wao unapanda.
Wengi wenye maisha mazuri hivi sasa walioa katika umri sahihi Kati ya 28-33.
Sababu ya kufilisika ni kutokana na fikra za mke aliyemuoa
Kikawaida mwanamke akiolewa na Mwanaume wanaoendana kiumri katika umri wa kuoana/kuolewa, mwanamke umri wa miaka 18- 27 na Mwanaume umri wa miaka 28-33.
Mwanamke anamfikiria Mumewe Kama mwenzake, rafiki yake, na humuombea baraka Kwa Mungu.
Lakini mwanamke mwenye umri wa miaka 18-27 hawezi kuwa na fikra za kuwa Mwanaume mwenye miaka 40+ kuwa mwenzake, rafikiake, na ni ngumu kumuombea Kwa moyo wote mtu asiyemuona mwenza.
Hata mwanaume akioa mwanamke WA miaka 36 naye akiwa 40+ bado hakuna uhusiano wa kiroho hivyo masuala ya kiuchumi yataanza kuparangika.
5. Malezi ya watoto kuwa mabaya au Duni
Umri wa miaka arobaini sio wa Kulea watoto wachanga, hapo Firstborn anatakiwa awe na miaka 7-13.
Fikiria unamiaka 36 ndio unapata mtoto wa Kwanza, akili tayari imeanza kupinduka na kuwa ya utu uzima, mtoto anapaswa alelewa na Baba kijana, mtoto akishafika umri wa Balehe mzazi ndio anatakiwa awe kwenye 40+ hapo anatumia busara za utu uzima na sio ujana tena.
Baba kijana mtoto anakuwa amechangamka, bakora na ukali upo waziwazi, mtoto anajifunza Uanaume Kwa Baba kijana na sio Baba Mzee.
Wakati ambao Mkeo anakuheshimu zaidi kuliko wakati wote ni umri ukiwa kijana kuanzia miaka 28-40.
Na mtoto anatakiwa aone heshima hiyo ya mama yake kwako wewe Kama Baba katika umri huo.
Kumbuka umri wa utu uzima wanawake wanakuchukulia Kama Babu Yao😀😀
Anauwezo WA kukutingisha.
Unajua Kwa nini wanawake wanakuheshimu na kukuogopa katika umri huu miaka 27-40? Sababu ni hizi:
I/ Una nguvu ya kutafuta maisha na pesa.
Hivyo bado wanatumaini kuwa huenda siku moja ukawa na maisha mazuri. Huko Baadaye. Ndio maana wanakustahi na kusubiri. Lakini hawezi kukuheshimu Sana katika umri wa miaka 40+ ilhali kila kitu ni dhahiri, muelekeo wa maisha yako wameshaujua, yaani umeshafika nusu ya Safari. Nguvu za mwili na Akili zimepungua, yaani Kama ullishindwa kujenga Jumba kubwa ukiwa na miaka 35 utaweza ukiwa na miaka 45?
II/ Bado unavutia na akikuacha unaweza pata mwanamke mwingine.
Wivu wa mwanamke huwa mkali kipindi hiko, wakati ukivaa nguo inakukaa, ukinyoa nywele unapendeza,
Lakini umefikisha miaka 40+ upara umechachamaa kila siku kunyoa vipara, nywele zinamvi kazi kupaka Kokoto au kunyoa kipara nani akuonee wivu. Tujiulize wanaume?
Nguo hazikai mwilini kutokana na Mabadiliko ya miili yetu, iwe kitambi au nguvu za kiume alafu utegemee heshima itabaki palepale😀 embu Acha kujidanganya.
Ni lazima uoe mwanamke ukiwa katika Enzi yako, ukiwa na nguvu, ukiwa unavaa unapendeza, ukiwa unanyoa unapendeza, ukiwa unapiga show show! Sio uoe mwanamke wakati umri umeenda wakati ambao yeye ndiye yupo kwenye Enzi yake
Zingati, saikolojia ya mtoto wa umri chini ya miaka 10 inapaswa ijengwe na Baba kijana mwenye umri chini ya 40. Zaidi ya yote unatafuta kudharauliwa na watoto wako mwenyewe. Na Dharau ya mtoto ipo miaka 2-10, umri huo mtoto huwa very Sensitive na kuwatambua wazazi au walezi wake.
Mtoto akikuheshimu katika umri huo kamwe hatakuja kukudharau akiwa mtu mzima,
Ipo heshima ya Baba na heshima ya Babu. Na hii yote huamuliwa na vile utakavyokuwa unaonekana na unavyo-act ukiwa nyumbani. Action za Baba kijana ni tofauti na Action za Baba mtu mzima. Sijui Kama naeleweka.
Zingatia, Malezi ya mtoto hutegemea zaidi vile Mkeo anavyokuchukulia,
Na heshima ya Mkeo kwako Inategemea na Umri na Hali yako ya kiuchumi.
Wito, Vijana mkifika umri wa kuoa Oeni, msiogope kesho msioijua, na kamwe msiisubiri na kuitumainia kesho.
Muhimu hakikisha unapata mwenza sahihi, msisubiri uchumi au kipato sahihi mungali tayari mnamwenza sahihi.
Nipumzike sasa!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Yeah n kweli kuoa n muhimu sema hawa vijana sijui hata km wamekusikia.!HATARI ZA KUCHELEWA KUOA!

Kumbuka umri wa utu uzima wanawake wanakuchukulia Kama Babu Yao[emoji3][emoji3]
Anauwezo WA kukutingisha.
Unajua Kwa nini wanawake wanakuheshimu na kukuogopa katika umri huu miaka 27-40? Sababu ni hizi:
I/ Una nguvu ya kutafuta maisha na pesa.
Hivyo bado wanatumaini kuwa huenda siku moja ukawa na maisha mazuri. Huko Baadaye. Ndio maana wanakustahi na kusubiri. Lakini hawezi kukuheshimu Sana katika umri wa miaka 40+ ilhali kila kitu ni dhahiri, muelekeo wa maisha yako wameshaujua, yaani umeshafika nusu ya Safari. Nguvu za mwili na Akili zimepungua, yaani Kama ullishindwa kujenga Jumba kubwa ukiwa na miaka 35 utaweza ukiwa na miaka 45?
II/ Bado unavutia na akikuacha unaweza pata mwanamke mwingine.
Wivu wa mwanamke huwa mkali kipindi hiko, wakati ukivaa nguo inakukaa, ukinyoa nywele unapendeza,
Lakini umefikisha miaka 40+ upara umechachamaa kila siku kunyoa vipara, nywele zinamvi kazi kupaka Kokoto au kunyoa kipara nani akuonee wivu. Tujiulize wanaume?
Nguo hazikai mwilini kutokana na Mabadiliko ya miili yetu, iwe kitambi au nguvu za kiume alafu utegemee heshima itabaki palepale[emoji3] embu Acha kujidanganya.
Ni lazima uoe mwanamke ukiwa katika Enzi yako, ukiwa na nguvu, ukiwa unavaa unapendeza, ukiwa unanyoa unapendeza, ukiwa unapiga show show! Sio uoe mwanamke wakati umri umeenda wakati ambao yeye ndiye yupo kwenye Enzi yake
Zingati, saikolojia ya mtoto wa umri chini ya miaka 10 inapaswa ijengwe na Baba kijana mwenye umri chini ya 40. Zaidi ya yote unatafuta kudharauliwa na watoto wako mwenyewe. Na Dharau ya mtoto ipo miaka 2-10, umri huo mtoto huwa very Sensitive na kuwatambua wazazi au walezi wake.
Mtoto akikuheshimu katika umri huo kamwe hatakuja kukudharau akiwa mtu mzima,
Ipo heshima ya Baba na heshima ya Babu. Na hii yote huamuliwa na vile utakavyokuwa unaonekana na unavyo-act ukiwa nyumbani. Action za Baba kijana ni tofauti na Action za Baba mtu mzima. Sijui Kama naeleweka.
Zingatia, Malezi ya mtoto hutegemea zaidi vile Mkeo anavyokuchukulia,
Na heshima ya Mkeo kwako Inategemea na Umri na Hali yako ya kiuchumi.
Wito, Vijana mkifika umri wa kuoa Oeni, msiogope kesho msioijua, na kamwe msiisubiri na kuitumainia kesho.
Muhimu hakikisha unapata mwenza sahihi, msisubiri uchumi au kipato sahihi mungali tayari mnamwenza sahihi.
Nipumzike sasa!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Sio kweli, labda kwa wewe anayeishi eneo moja kuanzia chekechea Hadi leo. Lakin kwa wanaozunguka duniani nje ya maeneo Yao ya asili' wanakutana na vitu tofauti hivyo ni rahisi kuwa na chaguo huru!Umesema Vyema.
Ila ni vizuri kumuoa mwanamke ambaye upo naye tangu ukiwa kijana
Dini zote unazijua? Au unadhani ukristo na uislam ndio umemaliza? Kuna wasio na dini. Kuishi na mwanamke sio lazima iwe kuoa, unaweza ikawa temporary, na yakaisha. Mating ni process ya kibinadamu na sio lazima kuoa.Ungekuwa umesoma ungejua hata maana ya hiyo Serikali lakini Kwa vile Akili yako ni ndogo Nina uhakika hujui hata mambo ya kijamii ni sehemu ya serikali.
Serikali kutokukulazimisha Jambo Fulani haimaanishi Jambo Hilo halipo under control yake.
Nina uhakika Kwa akili yako hata ukasome PhD huwezi kuwa na akili hata ya Kijana wa Kidato cha nne mwenye Uelewa wa Dunia.
Unasema wapo wanaoishi bila ndoa, kwani ni wapi nimesema kuwa mtu hawezi kuishi bila ndoa?
Kwa kukutoa tongotongo tuu kukushauri; Ukiona Jambo lolote limetajwa karibu Dini zote, na lipo katika Mila zote, na karibu sheria za serikali karibu zote duniani, basi jua Jambo hilo ni nyeti na muhimu.
Ndoa ni sehemu ya mambo HAO nyeti.
Na ukiona mtu anabisha Jambo ambalo ni nyeti basi jua Ni mwendawazimu au Mpumbavu.
Umenena vyema mkuu!Kuna mapungufu kadhaa mtoa mada ameyaonyesha:
Mosi, Kwa uelewa wake inaonekana kuoa single mother ni tatizo,kuna shida gani ya kumuoa mwanamke mwenye mtoto? Nani amepelekea kuwepo Kwa hao wanawake kama sio Sisi wanaume,VP kesho Mimi au wewe tumeaga duniani je wake zetu wasiolewe na kupata hifadhi ya ndoa?
Pili, umenasibisha ndoa na mwonekano WA mtu,kama ilivyosema mtu akiwa mtu mzima zaidi mamvi na kipara so mwanamke hawezi vutiwa na huyo mwanaume, hiyo sio Sawa hao ambao unadhani hawavutii basi ujue Kwa wengine wanapendwa Sana,mwanamke anahitaji security ya mapenzi na mahitaji katika familia,hayo yakifanywa vizuri ndoa huwa na Amani Sana.
Tatu,riziki ya mtu haina umri maalum,kuna wengine kufanikiwa mapema na wengine ktk utu uzima wao,kwahiyo usiwape presha vijana Kwa kujiona wamechelewa Sana na hivyo ndoa kwao kuwa mtihani,hapana unakosea.
Mwisho ambacho naona umefaulu ni kusisitiza vijana kuoa mapema na kuacha uzinifu,hapo naona umefanikiwa.
Yap! Kuna mapungufu mengiNaheshimu mawazo ya mwandishi ila si kweli aliyoyaandika
[emoji1787][emoji1787]sawa mkuu, oa then ukose pesa uone.
Mungu atamtunzia mkewe 😳😳😳 yeye afanye kazi 😃😃😃 ndio walivyokubaliana hivyoMungu ndiye atakutunzia Mkeo.
Wewe fanya kazi, OA hichohicho kidogo OA mke kuliko kuwa mhuni
Vumilia sindano iingie vema.Hii thread ni ya kutiana stress. Sijui kwanini nimeifungua
Nimesoma uzi wako nikiamini wewe ni intelligent kweli, lakini kwa haya uliyomjibu jamaa, napata mashaka na uhalisia wa busara zako. Kila la heri.Ungekuwa umesoma ungejua hata maana ya hiyo Serikali lakini Kwa vile Akili yako ni ndogo Nina uhakika hujui hata mambo ya kijamii ni sehemu ya serikali.
Serikali kutokukulazimisha Jambo Fulani haimaanishi Jambo Hilo halipo under control yake.
Nina uhakika Kwa akili yako hata ukasome PhD huwezi kuwa na akili hata ya Kijana wa Kidato cha nne mwenye Uelewa wa Dunia.
Unasema wapo wanaoishi bila ndoa, kwani ni wapi nimesema kuwa mtu hawezi kuishi bila ndoa?
Kwa kukutoa tongotongo tuu kukushauri; Ukiona Jambo lolote limetajwa karibu Dini zote, na lipo katika Mila zote, na karibu sheria za serikali karibu zote duniani, basi jua Jambo hilo ni nyeti na muhimu.
Ndoa ni sehemu ya mambo HAO nyeti.
Na ukiona mtu anabisha Jambo ambalo ni nyeti basi jua Ni mwendawazimu au Mpumbavu.
Unatakiwa uwe navyo vitatu hapo una betKademu kangu ndo kamemaliza form 6, nakachunga kidogo na kukapa Muongozo, kakimaliza chuo naowa, kakibebwa na wana basi natafuta kengine ninakokajua vizuri