Hatari za kuchelewa kuoa

kama upo seriousinabid uwe nao kama hao watano au zaidi upate wigo mpana wa machaguo mkuu bila hivyo andika maumivu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake ni wengi sana na wazuri wengi sana, ukiweza kumpa chakula na mavazi tu unaruka nao.
Kuna vitu vya kusumbua kichwa kama pesa ila sio nitapata vip demu.
 
Mkuu ni kweli umri umekwenda na sina hata mwana wa maji ya moto.....je? Nioe hata mwanamke yeyote (mataputapu) eti kisa nimemtafuta mwenye sifa nizipendazo nimemkosa.....
Sijawahi kusikia MTU amekufa eti kisa hajaoa au hajaolewa au hajazaa. Tafuta pesa ujinga uishe
 
Ukweli mtupu ila uhalisia tutafanyaje wacha mambo yaendelee
 
Hela haijawahi kumsaidia mtu uzeeni, masikini ndio wanamtazamo Kama wako.

Uzeeni kitakachokusaidia ni namna ulivyoijenga familia Bora Enzi za ujana wako.
100% correct MR. ROBBY HERIEL.....

Mi nimeoa nikiwa na 29yrs wife 25...bila kuzingatia sana hali yang ya kiuchumi....nilipngwa na familia nzima kasoro dada mmoja tu katk watoto 9 +ndugu baadhi...ila kwa kuwa niliiona kwel na uhalisia wa maisha ndani ya mke wng (anafaa kwel kuwa msaidiz, rafik, mama n.k) tulikomaa had tukafunga ndoa. Hapo tulianza mahusiano tang nikiwa chuon (4yrs ya mahusino + miez 6 uchumba) na tulishrkiana almost kila ktu kinachohusu future yetu, mfano kupanga wakt wa kufunga ndoa, kuanzisha familia, kuanzisha miradi ya maendeleo, n.k. mwsho wa siku licha ya kupngwa na vikwazo vingi vikiwamo ya kwamba tungoje hadi mm niwe na ukwasi ili hali mm niliwaza sana umri wang na muda wa kuwa na familia ...tukaamua kufunga ndoa...ss tuko 4th year of our marriage, happy, still cooperative, 1 handsome boy, expctin another), good house, a ride + drive.....an much more.....

Niwasihii vijana wenzang kuzngatia suala la muda wa kufanya kila jambo, kuzingatia sifa sahihi kwa mtu sahihi.....Time is the an SI UNIT of life........

Naadhan wanaobeza alichoandka mwnye Uzi, watakuwa wameenda tofaut lakin pia wanaptia matokeo ya njia walochagua.
 
Yesu hakuoa, kwa hyo naye hakuwa civilized?

Wagunduzi wengi kama akina newton na hawakuoa kwa hyo nao hawakua civilized??

Mapadri hawaoi, kwa hyo nao sio civilized?

Mzee, what is civilization kwako? Unadefine vp civilization?
 
Hii thread ni ya kutiana stress. Sijui kwanini nimeifungua
Kabisa Baby yaani hiki kijamaa naonaga km hakina akili nzuri vile vi theory vya kuokoteza chocho/bin ukilaza mtupu!! ndo analeta humu!! Wajanja wanasema ''wise Man marry late!! yeye analeta eary marriage?? kweli?

hata demu mnae lingana umri anaweza kukupelekesha mpaka ukayamba kifukuto!! hata kifo kwani tumeona wangapi bana?? kuna kina dada waliochelewa kuolewa wengi tu kwa sababu mbali mbali!!

mtu unaruhusiwa kuoa pia!!...hata km utaoa mapema kuchapiwa kuko palepale utatunza watoto wa wenzio nusu kwa nusu!!... Dunia leo imevaa Bukta ukiendekeza ya huyu mwenda wazimu utaondoka na ukimwi!

Kaa na mke au mme mwenye kujua thamani ya maisha yenu ajue kuna magonjwa, sasa km ke/me hajali afya yako na yake!! sasa kwa nini uvumilie ukicheche wkt unajua anachezea na afya maisha yako???

tena basi Baba/wazazi kiujumla yako ametumia gharama kubwa sana kukupeleka shule ili uwasaidie wao na familia yako!! wanajali na kupenda uwepo wako....lkn eti uoe kicheche mapema ili ufe mapema ..

tena na ukimwi juu. kabla ya wazazi wako kufariki wazazi wanazika litoto lisomi limapepe!...kisa eti nilee mitoto ya kubambikwa tena basi mivuta bangi tupu!

sikieni waungwana humu ndani usikimbilie kuoa mapema kwa sababu za ukilaza km hizi!!....Oa/olewa pale unapo thaminika na kujaliwa kwa heshima ni raha sana!! ajue thamani ya maisha yenu!! akutunze umtunze baaasi!

Maisha ni wewe binafsi wala si kipepe yeyote msijidanganye kufakamia maku/lombo!...kichwa kichwa pima upepo!! wasomi wanathamini maisha yao sana ndg zangu! na usomi wao siyo kwao tu ni kwa watu wa Dunia nzima!

Jua kabisa waweza oa Mapema kwa kulazimisha na ukauawa Mapema na huyo huyo ke/me ajili ya mali zako ulizo tafuta kwa jasho la damu na wazazi wako wasifaidi!!

hata km usipo kufa kwa ukimwi mke/me, Mapepe anaweza kukuua kwa pressure tu! tulia hao watoto ukizaa umezeeka utawaandalia BIma ya shule zipo mara kibao! hela yako tu!! atakulia shuleni!

huyu mleta mada ana theory za vijijini mwaka 1912 hukooooooo! walioa wakiwa na miaka 12!
 
Sio watu wote wanaoamini Biblia.
 
Yote uliyoandika hapa ni pumba tupu.

Watanzania wengi wanaoa mapema na bado wengi wao wanapitia matatizo yote ulioyoandika hapa.
 
Ndoa zilikuwa zamani kwa baba zetu na mababu zetu Sasa ivi ni kichefuchefu na ndio maana Kila kukicha tunasukia mauaji mara mke kamuua mume mara mume kampiga jembe mke ni shida mkuu
 
Jamaa kaandika upupu mtupu
Anaonekana bado mshamba sana
 
Dini kuu ndo zipi hzo?
 
Tofauti miaka 4, Ukifika miaka 45 yeye ataonekana ni Mama mtu mzima kwako!!..kiuanaume/binadamu lazima utamchoka ki hisia wadada hatukawii kuchakaa!!....

akilijua hili linaanza mtokea hakuna rangi utaacha kuiona! ndo utajua hujui!! make kwa sheria za Bongo/Dunia ni mke halali wa ndoa ati!! hata pasu kwa pasu hataki tena!

Ni either yeye mwenyewe ke afanye la kufanya km wafanyavyo weengi!! hasa ukiona umependwa sana kuzidi mwanzo richa ya uma pepe wako, jua zako zinahesabika km huamini Nenda Machame Ukae tu utaliona ri picha!

au yeye huyo mkeo ang'atwe sikio na wajanja! hasa mashoga/ndg zake! kuhusu hizo mali zenu hilo laaazima likutokee tu! hasa pale mwanao mkubwa akifika chuo jipimie mwenyewe hapo Baba!

amini nakwambia hapo ndo hatari hutokea hasa hasa mkiwa na mafanikio ya maisha ama zako ama zake! hapo ni either uhame mji weye au ufe kabisa uzikwe abaki na mali..

.chunguza uone weeengi walio oa mapema wake wa umri wao walipoteaje?? hapa napoongea kuna jamaa ka-paralyse Mwili mwaka wa nne huu anauguzwa na ndg zake!

na Mke wa ujana yuko kwenye Jumba la ghorofa safiii na wanae sasa kwanini asiugulie kwake??!

Matajiri weeeengi siwataji humu mnawajua kabisaaa!! walikimbia nyumba zao nzuri kwa hiari yao wenyewe na waka fia huko mbali pasi kuuguzwa na hao wake zao wa ujana!!

Matajiri wako tayari waachie Mali zoote wakimbilie mbali au wakomae wafe vizuri na kimya kimya unadhani nani atamuuliza??! .. Matajiri wengi mjini hapo japo wanaishi nyumba moja na wake wa ujana lkn hawaongei!!

Labda itokee mshikirie Mungu sana!! tena yuleee wa Sabato mkeshe na kuomba/na kuombeana sana mtafika lkn kiulimwengu tu!! ...Ohooo!! yajayo yanafurahisha!! me wengi waliofanikiwa wanakoswa koswa kuuawa!

tena bila wao kujua sababu ni nini?? sasa weye dogo subiri uone unta-ntafuta!! usinione!

Shida itakuja palee Mapesa yatakapo anza ku flow! halafu ke akipiga mahesabu hayaoni wala hajui yanapo kwenda!! sometimes unachelewa kuja nyumbani mara huli home!!...mapenzi yanaenda chini... weee!!

Miaka 29-4=25(-2)=23 (-5)=18(-7)=... yaani Hapo mzazi anajiweza sana tu na weye uwe vizuri up stairs!! hapo hakuna supp! umenyooka mpaka kazini faster ... weee!

na kazi za ivo hizo ni enzi za Mchonga/Mwinyi kidogo!! wakti vyuo ni vichache na mnalipwa kichere huko vyuoni acha utani bana. kazi za siku hizi mpaka usote kwanza..hata kudanganya hujui!!

Lbda kama una miaka km Themanini hivi!! hapo ntakukubalia! lkn siyo enzi za Nkapa kuja huku tuliko!! Mawee upate kazi faster ivo?? uoe?
 
umemaliza kila kitu mifano uraiani ni mingi sana
 
Achana na habari za kijima. Mtu hata akiwa na miaka 50 anaweza kuoa na kuolewa. Usiige watu wanaishije.
 
Maisha hayako hivo

Hii ndio ile tunasema jamii inapangia mtiririko wa maisha ya vijana.
Watu wanataka uishi kutokana na wanavoishi wengi wao.

Hatari sana
 
Daaah ni kweli aisee nakumbuka kuna ambao nilipanga kuwaoa tukaachana ila nikiwaangalia leo hii wameshakua wamama,yaani wanaonekana wakubwa kuliko mimi.

Hatari sana.
Ndio maana kuna jamaa wangu anasema kashamchoka mkewe alioa akiwa na 27.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…