Pole mkuu! Nn sababu ya divorce? Usaliti?I was married at 30 got divorced at 35,game ya ndoa nimewaachia wenyewe. Naendelea kula mema ya nchi huku natafuta pesa kama kawaida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu! Nn sababu ya divorce? Usaliti?I was married at 30 got divorced at 35,game ya ndoa nimewaachia wenyewe. Naendelea kula mema ya nchi huku natafuta pesa kama kawaida.
Chelewachelewa utakuta mwana si wako2. Kuoa Wake za Watu, wapenzi wa watu
Hii itakufanya uwe na migogoro ya kila mara na Mkeo.
Mara nyingi wanaooa Kwa kuchelewa ndio husumbuliwa Kwa kiasi kikubwa na Wake zao, na hii ni kutokana na kuwa wameoa wake za watu.
Taifa bora linajengwa na ndoa imara. Kama huoni umuhimu wa ndoa zenye afya manake huoni umuhimu wa taifa lenye watu wazalendo.acha vitisho mkuu!!
Ndoa ni ndoa na watoto ni watoto hivi ulishajiuliza wewe binafsi una umuhimu gani kwenye ndoa ya wazazi wako tofauti ya kuwamalizia pesa za kukulea na kukusomesha..
Ningekuona una akili ungesema watu watafute hela ziwasaidie uzeeni
Alichokiandika hata sijaelewa..!!Liverpool VPN njoo huku kuna jamaa anavunja katiba ya chama
Mi sijaelewa chochote alichoandika.Liverpool VPN upitie Mkuu
""Yess money is not everything, but make sure you have a lot of them before saying this shit"" Warren BuffetTaifa bora linajengwa na ndoa imara. Kama huoni umuhimu wa ndoa zenye afya manake huoni umuhimu wa taifa lenye watu wazalendo.
Pesa kitu gani mkuu, utaitafuta pesa na haitoshi hadi unakufa na hicho kidogo utawaachia wenzako watumbue. Refer mengi na utajiri wake, wanapigania wengine huku yeye ameshaenda zake.
Ndoa bado ni personal choice, hiyo serikali inatoa vyeti vya ndoa lakini haina hata tax exemption kwa wana ndoa.Sijui elimu yako lakini kama ungekuwa umesoma ungeelewa suala la Ndoa sio ishu personal, ni ishu Socially, economically na political.
Kesho kutwa kwenye Sensa utaona kipengele cha Ndoa,
Ukiomba kazi lazima kwenye CV uweke Hali yako ya ndoa.
Ndoa ndio inaleta Family sijui Kama unajua hilo labda kama mwenzetu wewe ni Mnyama.
Unasema ndoa ni ishu ya Personal wakati serikali ndio inatoa vyeti vya ndoa😀😀
Faizafoxy anakuambia, huko shuleni mlienda kusomea ujinga?
Haha, ni kweli mkuu. Ila taifa imara linajengwa na familia bora. Ukizaa ovyo tu kuna hatari ya kuleta vizazi vya hovyo huko badae.""Yess money is not everything, but make sure you have a lot of them before saying this shit"" Warren Buffet
#YNWA
Jay z alimuoa beyonce akiwa na kaka 40+ na beyonce hakuwa hata kafikisha 30 na ndoa yao ipo mpaka leoHATARI ZA KUCHELEWA KUOA!
Anaandika, Robert Heriel
Hakuna umri specific wa mwanaume kuoa lakini inashauri angalau umri kuanzia miaka 25-35 ni umri sahihi Kwa kijana kupata jiko. Lakini inapendekezwa zaidi umri mzuri zaidi ni 28-31.
Ndoa itaanza kukosa umuhimu ikiwa mtu atachelewa au kuwahi kuoa.
Yaani mtu aoe anamiaka 40+ Kwa kweli hapo ni kutafuta kisukari.
Mzee mmoja mwenye Busara ninayemheshimu na ambaye ameshawahi kushika Nyadhifa kubwa mbalimbali serikalini aliwahi kuniambia; Ukiona kijana amefikisha zaidi ya miaka 33 na hajaoa basi ujue anatafuta Kuolewa"
Nilipomuuliza maana ya maneno hayo akaniambia nisubiri nitakapofikisha umri huo nitamuelewa. Kauli hiyo nimeikumbuka hivi leo baada ya kukutana na tukio lililompata moja ya marafiki zangu,
Kutupisha andiko, zifuatazo ni hatari mbaya za mwanaume kuchelewa kuoa!
1. Kumpata mwenza mwenye watoto (single mother)
Ili Jambo hili lisitokee basi itakupasa uwe umechelewa kuoa Kwa sababu ya kutafuta pesa na umezipata. Hii itakufanya uoe hata binti kigoli mwenye Bikra
Lakini unamiaka sijui 37 sijui 40 alafu pesa huna alafu unatafuta kuoa. My friend hakuna atakayekuonea huruma, iwe ukweni au wanawake, zingatia wanawake hawanaga huruma na wanaume walioshiwa Step, walioishiwa mawazo, wasio na pesa.
2. Kuoa Wake za Watu, wapenzi wa watu
Hii itakufanya uwe na migogoro ya kila mara na Mkeo.
Mara nyingi wanaooa Kwa kuchelewa ndio husumbuliwa Kwa kiasi kikubwa na Wake zao, na hii ni kutokana na kuwa wameoa wake za watu.
Kikawaida, mwanaume akioa akiwa Kati ya umri ya miaka 25-33 yeye ndiye humsumbua Mke wake, lakini kama ataoa akiwa na umri kuanzia miaka 36-50+ wanawake ndio huwasumbua.
Angalia ndoa nyingi ndio zipo hivyo.
3. Kuwahi Kufa mapema.
Kuchelewa kuoa mara nyingi hukivuta kifo karibu zaidi.
Hii inatokana na Migogoro mipya utakayoipata Kwa Mke.
Sio ajabu mwanaume ameoa mwaka huu alafu ndani ya miaka kumi akafa.
Kwenye ndoa wanandoa wanaume waliooa muda sahihi wana-survive miaka mingi ukilinganisha na Wale wanaochelewa.
4. Kufilisika
Wanaume wengi waliochelewa kuoa wakapata maisha Fulani wengi wao hufilisika au maisha Yao kuingia katika taabu mara baada ya kuoa. Hii ni tofauti na wanaooa Kwa Wakati ambao wengi huanza Kwa maisha ya kawaida au yachini lakini kadiri siku zinavyoenda ndivyo uchumi wao unapanda.
Wengi wenye maisha mazuri hivi sasa walioa katika umri sahihi Kati ya 28-33.
Sababu ya kufilisika ni kutokana na fikra za mke aliyemuoa
Kikawaida mwanamke akiolewa na Mwanaume wanaoendana kiumri katika umri wa kuoana/kuolewa, mwanamke umri wa miaka 18- 27 na Mwanaume umri wa miaka 28-33.
Mwanamke anamfikiria Mumewe Kama mwenzake, rafiki yake, na humuombea baraka Kwa Mungu.
Lakini mwanamke mwenye umri wa miaka 18-27 hawezi kuwa na fikra za kuwa Mwanaume mwenye miaka 40+ kuwa mwenzake, rafikiake, na ni ngumu kumuombea Kwa moyo wote mtu asiyemuona mwenza.
Hata mwanaume akioa mwanamke WA miaka 36 naye akiwa 40+ bado hakuna uhusiano wa kiroho hivyo masuala ya kiuchumi yataanza kuparangika.
5. Malezi ya watoto kuwa mabaya au Duni
Umri wa miaka arobaini sio wa Kulea watoto wachanga, hapo Firstborn anatakiwa awe na miaka 7-13.
Fikiria unamiaka 36 ndio unapata mtoto wa Kwanza, akili tayari imeanza kupinduka na kuwa ya utu uzima, mtoto anapaswa alelewa na Baba kijana, mtoto akishafika umri wa Balehe mzazi ndio anatakiwa awe kwenye 40+ hapo anatumia busara za utu uzima na sio ujana tena.
Baba kijana mtoto anakuwa amechangamka, bakora na ukali upo waziwazi, mtoto anajifunza Uanaume Kwa Baba kijana na sio Baba Mzee.
Wakati ambao Mkeo anakuheshimu zaidi kuliko wakati wote ni umri ukiwa kijana kuanzia miaka 28-40.
Na mtoto anatakiwa aone heshima hiyo ya mama yake kwako wewe Kama Baba katika umri huo.
Kumbuka umri wa utu uzima wanawake wanakuchukulia Kama Babu Yao[emoji3][emoji3]
Anauwezo WA kukutingisha.
Unajua Kwa nini wanawake wanakuheshimu na kukuogopa katika umri huu miaka 27-40? Sababu ni hizi:
I/ Una nguvu ya kutafuta maisha na pesa.
Hivyo bado wanatumaini kuwa huenda siku moja ukawa na maisha mazuri. Huko Baadaye. Ndio maana wanakustahi na kusubiri. Lakini hawezi kukuheshimu Sana katika umri wa miaka 40+ ilhali kila kitu ni dhahiri, muelekeo wa maisha yako wameshaujua, yaani umeshafika nusu ya Safari. Nguvu za mwili na Akili zimepungua, yaani Kama ullishindwa kujenga Jumba kubwa ukiwa na miaka 35 utaweza ukiwa na miaka 45?
II/ Bado unavutia na akikuacha unaweza pata mwanamke mwingine.
Wivu wa mwanamke huwa mkali kipindi hiko, wakati ukivaa nguo inakukaa, ukinyoa nywele unapendeza,
Lakini umefikisha miaka 40+ upara umechachamaa kila siku kunyoa vipara, nywele zinamvi kazi kupaka Kokoto au kunyoa kipara nani akuonee wivu. Tujiulize wanaume?
Nguo hazikai mwilini kutokana na Mabadiliko ya miili yetu, iwe kitambi au nguvu za kiume alafu utegemee heshima itabaki palepale[emoji3] embu Acha kujidanganya.
Ni lazima uoe mwanamke ukiwa katika Enzi yako, ukiwa na nguvu, ukiwa unavaa unapendeza, ukiwa unanyoa unapendeza, ukiwa unapiga show show! Sio uoe mwanamke wakati umri umeenda wakati ambao yeye ndiye yupo kwenye Enzi yake
Zingati, saikolojia ya mtoto wa umri chini ya miaka 10 inapaswa ijengwe na Baba kijana mwenye umri chini ya 40. Zaidi ya yote unatafuta kudharauliwa na watoto wako mwenyewe. Na Dharau ya mtoto ipo miaka 2-10, umri huo mtoto huwa very Sensitive na kuwatambua wazazi au walezi wake.
Mtoto akikuheshimu katika umri huo kamwe hatakuja kukudharau akiwa mtu mzima,
Ipo heshima ya Baba na heshima ya Babu. Na hii yote huamuliwa na vile utakavyokuwa unaonekana na unavyo-act ukiwa nyumbani. Action za Baba kijana ni tofauti na Action za Baba mtu mzima. Sijui Kama naeleweka.
Zingatia, Malezi ya mtoto hutegemea zaidi vile Mkeo anavyokuchukulia,
Na heshima ya Mkeo kwako Inategemea na Umri na Hali yako ya kiuchumi.
Wito, Vijana mkifika umri wa kuoa Oeni, msiogope kesho msioijua, na kamwe msiisubiri na kuitumainia kesho.
Muhimu hakikisha unapata mwenza sahihi, msisubiri uchumi au kipato sahihi mungali tayari mnamwenza sahihi.
Nipumzike sasa!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Ndoa bado ni personal choice, hiyo serikali inatoa vyeti vya ndoa lakini haina hata tax exemption kwa wana ndoa.
Sema kimasikini unazaa watoto wa kuja kukutunza uzeeni lakini ukiwa na pesa zako unaajiri mwanasheria na mhasibu atakae shughulikia malipo na mikataba yako yote uzeeni.
Jay z alimuoa beyonce akiwa na kaka 40+ na beyonce hakuwa hata kafikisha 30 na ndoa yao ipo mpaka leo
Mi sijaelewa chochote alichoandika.
Mhe ROBERT HERIEL tafadhali tuache na movement yetu ""USIOE USIOE USIOE""
#YNWA
Mnatuchanganya banaView attachment 2269051
Dini zote unazijua? Au unadhani ukristo na uislam ndio umemaliza? Kuna wasio na dini. Kuishi na mwanamke sio lazima iwe kuoa, unaweza ikawa temporary, na yakaisha. Mating ni process ya kibinadamu na sio lazima kuoa.
acha vitisho mkuu!!
Ndoa ni ndoa na watoto ni watoto hivi ulishajiuliza wewe binafsi una umuhimu gani kwenye ndoa ya wazazi wako tofauti ya kuwamalizia pesa za kukulea na kukusomesha..
Ningekuona una akili ungesema watu watafute hela ziwasaidie uzeeni
100/ 💯. Code accepted ✅✔Nimesema Dini kuu, hizo zingine ndogo ndogo sipo Kwa ajili ya mambo madogo au vitu vidogo.
Binadamu ni mnyama akiwa na mtazamo Kama wako.
Binadamu anakuwa MTU pale anapokuwa na Imani na Mungu.
Sio lazima kuoa ukitumia mfumo wa wanyama, yaani humuamini Mungu(huna utashi)
Sio lazima kuoa Kama unamatatizo ya Afya,
Sio lazima kuoa Kama unaweza kujizuia usifanya zinaaa.
Ndio maana kuna kitu kinaitwa "Civilization"
Usije ukadhani kila binadamu yupo Civilized kisa anaishi Duniani sijui Uingereza au huko unakokutolea mifano.
Mtu Civilized lazima "Aoe"
Moja ya Dalili ya mtu kuwa Civilized ni Kumuua Mungu.
Usidhani sijui unachokizungumzia, Ila najaribu kukueleza kuwa wapo binadamu ambao wao na wanyama ni the same Kwa Asilimia 100.
100/ 💯. Code accepted ✅✔
Tujenge hoja kama civilized persons bhana
inakua ndo basi tena 🤣😅Mara paap huko chuoni unasikia kametoa koneksheni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]