Hati fungani ya NMB (NMB Jamii bond) kukusanya zaidi Tsh Bilioni 400

Ngoja tuone walioweka hela huko kama yaliyomo yamo kweli!

Kule kwenye Fixed NMB ni kichefuchefu.
Hata mimi naona kama watunwanasifia vitu wasivyovijua hivi!!!!!.

Fund rising through sales ninkitu obvious kabisaaa kwa financial institutions especially kwa bank kama nmb, Nothing extra ordinary done there, sana sana ni kama vile mfanya biashara yeyote yule anapouza zaid kuliko siku nyingine. Ni vitu vya kawaida tu ambavyo una haki ya kufurahia but nothing to be praised. Hiyo ni biashara na biashara ina mambo mengi katika kuhakikisha unakua a step ahead your peers ili ku add more value kwa malengo unayolenga wewe.

Tuje sasa kwenye hayo madhumun ya hizo sales: mirad sijui ya kubotesha mazingira and other bla blah, infact it doesnt make any sense, hizo pesa za watu na watu wana expect return zao na faida juu so regardless wanaeleza nini kwemye public ukwel ni kwamba ukiona ma bank yanatangaza uuzaji wa hati fungani basi kua tu kuna LIQUIDITY ISSUE they intend to solve.
 
Lakini nadhani inategemea na kiasi anachokopa, na muda wa marejesho
True..ila mwishobwa siku the idea ya Riba nafuu ni just a trick..kopa ndio utajua maana yake nin!! Riba ni kandamiz mnoo. Na katika mikopo ya kibiashara % asilimia kubwa ni Long term loans.
 
Sio kweli kwamba hawana pesa no,

Kwasasa hitaji la miraji Tanzania ni kubwa kuliko kiasi cha Fedha mabank yanaweza kutoa,

Hili litaongeza mitaji zaidi ya bank kwa haraka,

Kama watakulioa 9.5% wa wakakopesha kwa 19% bado mtapata faida by 50% each.
 
Unapochanganya SERIKALI ns ksmpuni binafsi ni politicization tunaita

Sisi watu wa Austrian economic theories ni kwamba kuwe na total separation kati ya State na Business

Citizens do not take seriously businesses zinazokua backed na govt au politicians wazi wazi namna hii

Yaani serikali na politicitians wamegeuka ni marketing officers wa kuitangaza NMB

Serikali this serikali that,what a messy of hot sh1t

Fanyeni biashara na serikali ifanye kazi yake ya kufanya siasa

Business zipo desperate kutumia govt coercive power kujipa advantage kwenye market,but hawajui tu market hua ina resent govt na politicians sababu ya uonevu
 
Kosa ni nini hapo, Siasa iko wapi hapo, mbona kama unalalamika,

NMB ni kampuni ya Wazungu lakini wanapofanya vizuri Serikali lazima kupongeza
 
Serious , Hata Mimi naona Yuko makini sana ndio maana hii bank inakua kwa mwendo wa kukimbia kimbia,

Bodi pia iko makini nadhani,


hii ni nzuri sana kwa Taifa,
 
Siasa haikwepeki everywhere kwa sababu siasa ni maisha,

Ni ngumu kuitengenisha Serikali na taasisi kama bank,

Mafanikio makubwa ya Serikali yanasukumwa kwa kiasi kikubwa na haya Mabank,
 
Umeongea sense mkubwa. In real sense ubavu wa hiz taasis nying unategemea sana government backup. Sio kusimama independent. Ndio maana kwenye hayo ma board utakuta wamejaza ma goverment seniors wa kutosha for easy lobbying na ku influence decisions za kiserikal zitakazo wa favour..
 
Wao wanakopesha, kikubwa wakopeshe watu wanaoweza kulipa,
Na zaidi hayo ni maneno tu, hapo pesa hizo zitapelekwa kwa wafanyabiashara labda na hio mikopo ya nyumba + babalao watumishi wa Umma
 
Upo sahihi

Kwenye mabodi yao wamejaza miwanasiasa mitupu as if ina akili yeyote ya biashara

Kugawiana maposho ya vikao vya bodi tu

Wafanyabiashara wenye "akili ndogo" hua wanawafata wanasiasa matakoni na kuwalamba miguu wawasaidie biashara kwa ku-abuse govt powers on their favour!

Yaani practice ya hovyo sana

Yaani inabidi tujifunze sana kua independent,tufanye biashara kwa akili zote tulizonazo,ndio tutakua na everlasting success na hadi unaweza rithisha watoto maana una product na misingi imara ya biashara sio kutegemea mwanasiasa au serikali ikusaidie
 
Na hii ni asilimia kubwa sana katika biashara za kibongo bongo.
Ondoa hiyo, biashara inakufa kifo cha mende fastaa.

Kote huko kwenye ma social security funds kiuhalisia hakuna biashara za maana zinazofanywa na pesa za wanufaika. Ndio maana kutwa kucha kufanye unrealistic projects woote kukimbilia kujenga majengo..miradi ya ujenzi..

FUatilia hawa watu wana experience au history yoyote katika ku build succesful buznes before? Hakuna!!! Then why are they so much entrusted with so heavy responsibilities like these?? Unakuja kugindua ni "buznes aa usual" cabal. Yan ukichunguza utakuja kugundua serikal nchi hii ndio inafanya kilaaaa kituu!.

Hata hii concept ya PPP kiundani haiko efficient kama ambavyo ilipaswa kuwa kwasababu unajikuta serikal ndio main controller main influencer kwenye almoat everything..

Ndio maana si ajab katika nchi hii Rais anaweza akawa anaamua kila kitu hata namna gani pesa itumikaje (mfano magufuli) , why??.

NAni mwenye akil zake anakuja kuwekeza kwenye taasis za mifumo ya kijinga jinga namna hii?
 
Hizo inatakiwa kuwa sera za serikali sio sera za benki. Wakienda na malengo haya wanayotaja hawaleti faida kubwa. Serikali ikiweka sera ndio financial institutions zitashika fursa.
 
Hizo inatakiwa kuwa sera za serikali sio sera za benki. Wakienda na malengo haya wanayotaja hawaleti faida kubwa. Serikali ikiweka sera ndio financial institutions zitashika fursa.
Kwani Sera za Serikali zinaanzia wapi kama sio kwenye hayo mabenki?
 
Hebu tusaidie mkuu wewe ulitaka hiyo PPP iweje?
 
Hongera sana NMB mnafanya vizuri sana,

Asiyekubali Cha kwao ni mtumwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…