Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Unaijua unaisikia? Waulize wafanyakazi akikopa milion 10 anarudisha shilling ngap?Bank hii inariba kiduchu sana pengine ndio maana inatamba sana hapa Africa mash
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaijua unaisikia? Waulize wafanyakazi akikopa milion 10 anarudisha shilling ngap?Bank hii inariba kiduchu sana pengine ndio maana inatamba sana hapa Africa mash
Lakini nadhani inategemea na kiasi anachokopa, na muda wa marejeshoUnaijua unaisikia? Waulize wafanyakazi akikopa milion 10 anarudisha shilling ngap?
Hata mimi naona kama watunwanasifia vitu wasivyovijua hivi!!!!!.Ngoja tuone walioweka hela huko kama yaliyomo yamo kweli!
Kule kwenye Fixed NMB ni kichefuchefu.
True..ila mwishobwa siku the idea ya Riba nafuu ni just a trick..kopa ndio utajua maana yake nin!! Riba ni kandamiz mnoo. Na katika mikopo ya kibiashara % asilimia kubwa ni Long term loans.Lakini nadhani inategemea na kiasi anachokopa, na muda wa marejesho
Sio kweli kwamba hawana pesa no,Hata mimi naona kama watunwanasifia vitu wasivyovijua hivi!!!!!.
Fund rising through sales ninkitu obvious kabisaaa kwa financial institutions especially kwa bank kama nmb, Nothing extra ordinary done there, sana sana ni kama vile mfanya biashara yeyote yule anapouza zaid kuliko siku nyingine. Ni vitu vya kawaida tu ambavyo una haki ya kufurahia but nothing to be praised. Hiyo ni biashara na biashara ina mambo mengi katika kuhakikisha unakua a step ahead your peers ili ku add more value kwa malengo unayolenga wewe.
Tuje sasa kwenye hayo madhumun ya hizo sales: mirad sijui ya kubotesha mazingira and other bla blah, infact it doesnt make any sense, hizo pesa za watu na watu wana expect return zao na faida juu so regardless wanaeleza nini kwemye public ukwel ni kwamba ukiona ma bank yanatangaza uuzaji wa hati fungani basi kua tu kuna LIQUIDITY ISSUE they intend to solve.
===
Historia imeandikwa katika Masoko ya Mitaji Afrika Mashariki leo baada ya Hati fungani ya NMB Jamii kukusanya Tsh Bilioni 400 ikiwa ni zaidi ya mara tatu ya lengo lililokusudiwa ambapo ni Tsh Bilioni 212.9 kwa fungu la shilingi za kitanzania na dola za kimarekani milioni 73 kwa fungu la dola.
Matokeo haya yametangazwa rasmi wakati wa hafla ya kuiorodhesha Hati Fungani ya NMB Jamii katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) mapema leo ambapo fedha zote zilizopatikana kupitia Hati Fungani ya Jamii zitaelekezwa katika kutoa mikopo nafuu kwenye miradi endelevu ikiwemo miradi ya nishati mbadala, miradi ya kuzuia na kudhibiti uchafuzi wa mazingira, miradi ya maji, miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, miradi ya wanawake, vijana, elimu, afya, nyumba nafuu na mingine inayoendana na hiyo.
NMB Jamii Bond ilizinduliwa na kuanza kuuzwa Septemba 25 hadi Oktoba 27 mwaka huu ambapo Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna akizungumza leo amesema NMB Jamii Bond ilikuwa imegawanyika katika mafungu mawili, fungu la kwanza likihusisha shilingi za kitanzania na fungu la pili la dola za kimarekani ambako kote wamevuka lengo la makusanyo kwa kupata shilingi bilioni 212.9 kutoka bilioni 100 za lengo na upande wa dola wakikusanya milioni 73 badala ya milioni 15 walizolenga.
“Kwa mantiki hiyo, thamani ya jumla ya fedha zilizopatikana kutokana na NMB Jamii Bond ni Sh. Bilioni 400, ambazo ni mara tatu zaidi ya lengo tulilokuwa nalo” amebainisha Ruth Zaipuna huku akiwahakikishia Wateja zaidi ya 5,600 walionunua Hati Fungani hizo kuwa pesa zao ziko mikono salama.
Kwa upande wake, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ambaye alikuwa Mgeni rasmi wa hafla hiyo aliipongeza NMB kwa kuweka rekodi ya bilioni 400 za mauzo ya Hati Fungani hiyo “Hati Fungani ni fursa muhimu kwa jamii kunufaika kwa njia mbili za kuweka akiba lakini pia kufanya uwekezaji wenye faida kubwa, bond ni mkopo ambao Taasisi ya fedha inakopa kwa Wananchi, NMB ingeweza kwenda kukopa BoT au Benki za nje lakini ikachagua kukopa kwa Wananchi kupitia mdhamana wao ambaye ni CMSA na inarejesha kwa riba kubwa ya asilimia 9.5”
Nunua Sasa Jamii Bond kuanzia TZS 500,000 upate mpaka 9.5%
Kosa ni nini hapo, Siasa iko wapi hapo, mbona kama unalalamika,Unapochanganya SERIKALI ns ksmpuni binafsi ni politicization tunaita
Sisi watu wa Austrian economic theories ni kwamba kuwe na total separation kati ya State na Business
Citizens do not take seriously businesses zinazokua backed na govt au politicians wazi wazi namna hii
Yaani serikali na politicitians wamegeuka ni marketing officers wa kuitangaza NMB
Serikali this serikali that,what a messy of hot sh1t
Fanyeni biashara na serikali ifanye kazi yake ya kufanya siasa
Business zipo desperate kutumia govt coercive power kujipa advantage kwenye market,but hawajui tu market hua ina resent govt na politicians sababu ya uonevu
Serious , Hata Mimi naona Yuko makini sana ndio maana hii bank inakua kwa mwendo wa kukimbia kimbia,Binafsi namkubali sana Bi Ruth Zaipuna,
Huyu Mama ni wa mipango sana,
Hii program anayokuja nayo italinufaisha sana Taifa hili,
Nadhani kama Taifa lazima tuvilee hivi vipaji vinavyochipukia namna hii,
Sio mbaya na NBC wakaiga hili linalofanywa na mtoto wake
Siasa haikwepeki everywhere kwa sababu siasa ni maisha,Unapochanganya SERIKALI ns ksmpuni binafsi ni politicization tunaita
Sisi watu wa Austrian economic theories ni kwamba kuwe na total separation kati ya State na Business
Citizens do not take seriously businesses zinazokua backed na govt au politicians wazi wazi namna hii
Yaani serikali na politicitians wamegeuka ni marketing officers wa kuitangaza NMB
Serikali this serikali that,what a messy of hot sh1t
Fanyeni biashara na serikali ifanye kazi yake ya kufanya siasa
Business zipo desperate kutumia govt coercive power kujipa advantage kwenye market,but hawajui tu market hua ina resent govt na politicians sababu ya uonevu
Si ndio liquidity problem hiyo.Sio kweli kwamba hawana pesa no,
Kwasasa hitaji la miraji Tanzania ni kubwa kuliko kiasi cha Fedha mabank yanaweza kutoa,
hao nbc ni kama hawana tena msisimko. Bank imelala sana uzingiz wa pono.Sio mbaya na NBC wakaiga hili linalofanywa na mtoto wake
Umeongea sense mkubwa. In real sense ubavu wa hiz taasis nying unategemea sana government backup. Sio kusimama independent. Ndio maana kwenye hayo ma board utakuta wamejaza ma goverment seniors wa kutosha for easy lobbying na ku influence decisions za kiserikal zitakazo wa favour..Unapochanganya SERIKALI ns ksmpuni binafsi ni politicization tunaita
Sisi watu wa Austrian economic theories ni kwamba kuwe na total separation kati ya State na Business
Citizens do not take seriously businesses zinazokua backed na govt au politicians wazi wazi namna hii
Yaani serikali na politicitians wamegeuka ni marketing officers wa kuitangaza NMB
Serikali this serikali that,what a messy of hot sh1t
Fanyeni biashara na serikali ifanye kazi yake ya kufanya siasa
Business zipo desperate kutumia govt coercive power kujipa advantage kwenye market,but hawajui tu market hua ina resent govt na politicians sababu ya uonevu
Wao wanakopesha, kikubwa wakopeshe watu wanaoweza kulipa,Huyu CEO yuko vizuri ila kwa fedha zitakapoelekezwa panatia shaka. Nanukuu:
"....ambapo fedha zote zilizopatikana kupitia Hati Fungani ya Jamii zitaelekezwa katika kutoa mikopo nafuu kwenye miradi endelevu ikiwemo miradi ya nishati mbadala, miradi ya kuzuia na kudhibiti uchafuzi wa mazingira, miradi ya maji, miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, miradi ya wanawake, vijana, elimu, afya, nyumba nafuu na mingine inayoendana na hiyo...."
Hiyo miradi niliyobold ni migumu kuleta faida kubwa kwa benki, kwa mazingira ya kibongo. Wamefanya kuenda na beat la WEF kuhusu global warming na green energy wakati ni mambo ya kina Wells Fargo na JP Morgan Chase.
Upo sahihiUmeongea sense mkubwa. In real sense ubavu wa hiz taasis nying unategemea sana government backup. Sio kusimama independent. Ndio maana kwenye hayo ma board utakuta wamejaza ma goverment seniors wa kutosha for easy lobbying na ku influence decisions za kiserikal zitakazo wa favour..
Na hii ni asilimia kubwa sana katika biashara za kibongo bongo.Upo sahihi
Kwenye mabodi yao wamejaza miwanasiasa mitupu as if ina akili yeyote ya biashara
Kugawiana maposho ya vikao vya bodi tu
Wafanyabiashara wenye "akili ndogo" hua wanawafata wanasiasa matakoni na kuwalamba miguu wawasaidie biashara kwa ku-abuse govt powers on their favour!
Yaani practice ya hovyo sana
Yaani inabidi tujifunze sana kua independent,tufanye biashara kwa akili zote tulizonazo,ndio tutakua na everlasting success na hadi unaweza rithisha watoto maana una product na misingi imara ya biashara sio kutegemea mwanasiasa au serikali ikusaidie
Hizo inatakiwa kuwa sera za serikali sio sera za benki. Wakienda na malengo haya wanayotaja hawaleti faida kubwa. Serikali ikiweka sera ndio financial institutions zitashika fursa.Kwenye green energy wanaweza wakafanikiwa vizuri lakini serikali nayo isaidie especially kupunguza au kuondoa taxes maeneo hayo, watu wamechoka na u meme wa ovyo wa TANESCO, magari ya umeme, solar na battery technology yanaweza sana kufanikiwa TZ na itasaidia kupunguza inflation kutokana na mafuta ya waarabu tunayoagiza Kwa billions Kila mwaka, Tanzania Kuna jua kuliko mahitaji sijui kwanini solar isiwe kipaumbele, sio kwenye nyumba tuu hata viwanda vya kuzalisha panels, battery etc tujenge vyetu sio kuagiza China
Kwani Sera za Serikali zinaanzia wapi kama sio kwenye hayo mabenki?Hizo inatakiwa kuwa sera za serikali sio sera za benki. Wakienda na malengo haya wanayotaja hawaleti faida kubwa. Serikali ikiweka sera ndio financial institutions zitashika fursa.
Hebu tusaidie mkuu wewe ulitaka hiyo PPP iweje?Na hii ni asilimia kubwa sana katika biashara za kibongo bongo.
Ondoa hiyo, biashara inakufa kifo cha mende fastaa.
Kote huko kwenye ma social security funds kiuhalisia hakuna biashara za maana zinazofanywa na pesa za wanufaika. Ndio maana kutwa kucha kufanye unrealistic projects woote kukimbilia kujenga majengo..miradi ya ujenzi..
FUatilia hawa watu wana experience au history yoyote katika ku build succesful buznes before? Hakuna!!! Then why are they so much entrusted with so heavy responsibilities like these?? Unakuja kugindua ni "buznes aa usual" cabal. Yan ukichunguza utakuja kugundua serikal nchi hii ndio inafanya kilaaaa kituu!.
Hata hii concept ya PPP kiundani haiko efficient kama ambavyo ilipaswa kuwa kwasababu unajikuta serikal ndio main controller main influencer kwenye almoat everything..
Ndio maana si ajab katika nchi hii Rais anaweza akawa anaamua kila kitu hata namna gani pesa itumikaje (mfano magufuli) , why??.
NAni mwenye akil zake anakuja kuwekeza kwenye taasis za mifumo ya kijinga jinga namna hii?
===
Historia imeandikwa katika Masoko ya Mitaji Afrika Mashariki leo baada ya Hati fungani ya NMB Jamii kukusanya Tsh Bilioni 400 ikiwa ni zaidi ya mara tatu ya lengo lililokusudiwa ambapo ni Tsh Bilioni 212.9 kwa fungu la shilingi za kitanzania na dola za kimarekani milioni 73 kwa fungu la dola.
Matokeo haya yametangazwa rasmi wakati wa hafla ya kuiorodhesha Hati Fungani ya NMB Jamii katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) mapema leo ambapo fedha zote zilizopatikana kupitia Hati Fungani ya Jamii zitaelekezwa katika kutoa mikopo nafuu kwenye miradi endelevu ikiwemo miradi ya nishati mbadala, miradi ya kuzuia na kudhibiti uchafuzi wa mazingira, miradi ya maji, miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, miradi ya wanawake, vijana, elimu, afya, nyumba nafuu na mingine inayoendana na hiyo.
NMB Jamii Bond ilizinduliwa na kuanza kuuzwa Septemba 25 hadi Oktoba 27 mwaka huu ambapo Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna akizungumza leo amesema NMB Jamii Bond ilikuwa imegawanyika katika mafungu mawili, fungu la kwanza likihusisha shilingi za kitanzania na fungu la pili la dola za kimarekani ambako kote wamevuka lengo la makusanyo kwa kupata shilingi bilioni 212.9 kutoka bilioni 100 za lengo na upande wa dola wakikusanya milioni 73 badala ya milioni 15 walizolenga.
“Kwa mantiki hiyo, thamani ya jumla ya fedha zilizopatikana kutokana na NMB Jamii Bond ni Sh. Bilioni 400, ambazo ni mara tatu zaidi ya lengo tulilokuwa nalo” amebainisha Ruth Zaipuna huku akiwahakikishia Wateja zaidi ya 5,600 walionunua Hati Fungani hizo kuwa pesa zao ziko mikono salama.
Kwa upande wake, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ambaye alikuwa Mgeni rasmi wa hafla hiyo aliipongeza NMB kwa kuweka rekodi ya bilioni 400 za mauzo ya Hati Fungani hiyo “Hati Fungani ni fursa muhimu kwa jamii kunufaika kwa njia mbili za kuweka akiba lakini pia kufanya uwekezaji wenye faida kubwa, bond ni mkopo ambao Taasisi ya fedha inakopa kwa Wananchi, NMB ingeweza kwenda kukopa BoT au Benki za nje lakini ikachagua kukopa kwa Wananchi kupitia mdhamana wao ambaye ni CMSA na inarejesha kwa riba kubwa ya asilimia 9.5”
Nunua Sasa Jamii Bond kuanzia TZS 500,000 upate mpaka 9.5%
Nakubaliana na wewe na hivyo ndivyo ilivyo,Bi Ruth Zaipuna anachapa kazi sana