Hati imetolewa ya kumkamaata gavana Waititu na mkewe kwa tuhuma za ufisadi


In principle yes, but practically not. Head of the state is regularly consulted to comment whether the process will have a detrimental effect to the public.
 
Mkuu upo less informed!
Fanya upya utafiti ili uwe updated accordingly!
 
Tanzania mpya
[emoji23][emoji23][emoji23] msiempenda anazidi kuwa role model wenu japo hamtaki kuonesha wazi Wazi
Hii Tanzania ya Koroshow, Bagamoyo, SGR imekwama, ATCL kuenda Mumbai Mara moja, Kupika takwimu za ukuaji kutoka 4% hadi 7%?? Kweli ni Tanzania Mpya na role model wa Kanu ya 80s na 90s. Hapo upo sahihi kabisa.
 
mkuu sio kwamba napenda sana kenya iwe juu yetu ila unatupa kweli tupu hata pa kukupingia hakuna

ukweli Tz kwa Kenya mmetuacha mbali sana karibu sekta zote ila uchawi, mapambio kwa mkuu na ujinga tumewazidi mbali sana
 
Arrest that is one sided is the worst ever , corruption cases have been reported from allover the country, but when you look at the arrests they are done strategically to run a narrative.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Nae anaenda matembezini na kurudi kama yule waziri wa fedha?
 
Punguza kula sukuma [emoji23][emoji23][emoji23] au unadhani upo insta hapa unatafuta followers
Hii Tanzania ya Koroshow, Bagamoyo, SGR imekwama, ATCL kuenda Mumbai Mara moja, Kupika takwimu za ukuaji kutoka 4% hadi 7%?? Kweli ni Tanzania Mpya na role model wa Kanu ya 80s na 90s. Hapo upo sahihi kabisa.
 
In principle yes, but practically not. Head of the state is regularly consulted to comment whether the process will have a detrimental effect to the public.
That can happen if the president personally requests to be updated... But rais alisema mwenyewe kwamba DDP afanye kazi bila kusumbuliwa na mwanasiasa na hata kama ni ndugu ya Uhuru ndo anashukiwa DPP asiogope kufanya kazi yake.
 
Hio ndo shida ya nchi zinazoendeshwa kwa udikteta, unaaminia mtu badala ya kuaminia ofisi!

Hivi hebu nikuulize, walioiba Mali ya Tz wako jela? Watz waliowezesha acacia kuiba $190B wako jela? wale walikua wanapokea hongo na kuiba mali pale bandarini wako jela?
Hio Mali walioiba iliregeshwa? No!!!! JPM kazi yake kufuta watu kazi bila uchunguzi, biggest fear kwa waizi no kwamba eti watafutwa kazi !!!
Sasa JPM akishapiga mihula yake miwili, ni nini kinawazulia Hawa watu waliofutwa kazi kurudi serekalini???? Gadafi alikua hivyo hivyo kwa Libya, lakini punde alipoondolewa madarakani Mali yote ya Lybia ikaporwa.

Hiuu ndo muhula wa kwanza ofisi ya DPP inafanya kazi chini ya katiba mpya , tunaanza kujenga msingi mizuri ya nchi ili Mambo kama haya yatakua yanachukua mkondo wake wa kisheria bila kuingiza siasa ndani... Mimi nataka nchi ambayo inaongozwa na institutions na wala sio personality... Nataka nchi ambayo hata rais akipotea kwa mwaka mzima nchi bado inaeza ikajiendesha yenyewe kwasababu kila institution inaweza kufanya kazi yake kulingana na Sheria, na hata wanapovunja Sheria, ofisi nyengine iliopewa jukumu inachukua hatua bila kuhitaji idhini ya rais. ...
Sio nchi ambayo inategemea mtu mmoja kwa kila kitu!!!! Kwahivyo hii inamaanisha kukiingia rais mwengine was Tz ambaye hafwatilii ufisadi au utendakazi kama JPM basi nchi nzima itasimama kwasababu mtu mmoja ndo amezubaa!!!!!!??? Hizo ndo tunaita 3rd world problems
 
That can happen if the president personally requests to be updated... But rais alisema mwenyewe kwamba DDP afanye kazi bila kusumbuliwa na mwanasiasa na hata kama ni ndugu ya Uhuru ndo anashukiwa DPP asiogope kufanya kazi yake.
It sounds good if at all that is what the president meant.
 
The head of the institution is everything, if the head is rotten the whole system is dead, huwezi kuniambia tokea hiyo katiba ya mwaka 2009 itungwe leo 2019 miaka 10 baadae ndio imepata meno ya kuuma watu walioiba mali ya umma wakati hiyo katiba ikiwa tayari inafanya kazi, where was it's mechanism while all mess happens?

Rais ndio supreme leader akiwa legelege nchi yote ipo hovyo no matter how pretty constitutionalised government is.
 
Kwa vile hamjawahi kugeuza katiba nitakusamehe kwa kutojua vile katiba hugeuzwa .... Si eti siku moja baada ya katiba mpya kuanza kutumika eti kila kitu kinageuka..... Katiba mpya hua ni kama koko/shell inayo taja vitu muhimu tu.... ikipitishwa ndo sheria husika zinaanza kutengenezwa na bunge.... Hua inachukua hadi miaka kumi kukamilisha sheria mpya za katiba mpya. Kwa mfano kuna sheria inayosema hakutakua na zaidi ya 2/3 ya jinsia moja kwa serekali au ofisi yyote, lakini sheria husika za kuhakikisha hilo jamboo linatekelezwa ni jukumu la bunge kutunga sheria, mpaka bunge itengeneze sheria husika ndo ndo kipenge hiho ha katiba kianze kutumika kisheria....
Katiba ikisema kutakua na ofisi huru ya DDP, Bunge ndo linatunga sheria za DDP kulingana na matakwa ya katiba, Bado tuko mbali sana kukamilisha katiba mpya na sheria zake. Lakini tayari tumeanzakuona matunda yake,



Hatahivyo, I agree that the head of an institution matters, but si kama vile unavyofikiria kwamba the head of the instituition ni rais, Rais should be just another politician, lakini watu kama Jajii mkuu, Kiongozi wa mashataka, Kiongozi wa kupeleleza policy (Independent Police over-site Authority), Kenya Human rights Commision... Hizi ndo institution zinazohitaji nguvu na CEO wajasiri, ili hata kuingie rais mwenye wazimu kiasi ghani, kutakua na imani kwamba nchi bado itabaki pale pale manake tuko na strong institutuion....

Yani kwa mfano Rais mpya akiingia madarakani na aamue watu wote maskini wauliwe!!!! au mali yote ya umma ni mali ya Rais...... bado kutakua na institution ambazo zinaweza zikamzulia rais kufanya jambo kama hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…