Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikatiba, baada ya Katiba mpya ofisi ya DPP ilifanywa iwe ofisi huru
Ofisi ya DPP haina jukumu la kuomba idhini wala kumjulisha mtu yeyote (akiwemo rais) kuhusu kesi yoyote na hatua ambazo watachukua...... Hata kama rais angepata fununu kinyume na sheria kwamba huyo gavana atashikwa, hangekua na mamlaaka yoyote kikatiba kuzulia kushikwa kwake..
(10) The Director of Public Prosecutions shall not require the consent of any person or authority for the commencement of criminal proceedings and in the exercise of his or her powers or functions, shall not be under the direction or control of any person or authority.
![]()
Who we are
Who we are The Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) is the National Prosecuting Authority in Kenya which has been mandated by the Constitution to prosecute all criminal cases in the country. The Director of Public Prosecutions (DPP) is the head of the ODPP and operates...www.odpp.go.ke
Mkuu upo less informed!Hamna rais hupenda kuona mawaziri wake wakiburuzwa mahakamani, hususan waziri wa fedha, mambo kama haya husababisha mpasuko ndani ya utawala wake. Kwa hivyo sio furaha sana kwa rais Uhuru kuona watu wake wanayumbishwa na kunyakuliwa kihivi, lakini kwa nchi inayozingatia utawala wa katiba, anabaki kushuhudia pembeni.
Hebu angalia kwenu, JPM alipoingia kwa uongozi, alijaribu kufyatuka na mikwara mingi dhidi ya mafisadi, akaanza kushtukiza shtukiza kote, kisha baadaye akagundua mbwembwe zote hizo zilikua zinaharibu utawala wake, tangu kipindi hicho akanywea kabisa, hatujamsikia tena.
Angalia kinachotendeka leo ndani ya CCM, jamaa wanaanikana juzi nimetazama video ya Musiba akieleza ufisadi wote wa Makamba, yote hayo Makamba ameyafanya kwenye awamu hii ya tano, leo mnayaanika kisa wamegombana kwa ajili audio yake ilipatikana, isingekua kwa hiyo audio, Makamba na wenzake wangeendelea kula bata huku wakilindwa, yaani siri ni kutokupigiana simu za kumkashifu rais na kama ukiweza uimbe mapambio ya kumsifu kila siku, hapo madudu yako yatalindwa.
Hayo ndio mapungufu ya kutokua na katiba nzuri, mkiwa na katiba njema, yaani ufisadi na mafisadi watapigwa vita hata kama kama wako na ukaribu gani na kiongozi wa nchi, maana taasisi zinakua na mamlaka ya kufanya shughuli zake bila kutegemea baraka za kiongozi wa nchi.
Mambo mnayoyaona Tanzania yalikua sana enzi za Moi kwetu hapa, miaka zaidi ya ishirini imepita, enzi hizo ilikua ni mwendo wa mapambio ya kumsifia rais wa nch, ukikiuka tu yaani madudu yako yanaanikwa, usalama wa taifa wanakua wamesheni taarifa zako na kutulia wanakusklizia tu, siku umseme vibaya rais, au akihutubia halafu aseme kitu watu wampigie makofi ila wewe uonekane kwenye TV umenuna badala ya kumshangilia kama wenzako, kuanzia hapo utayaanza kuyaskia.
Njoo bongo nikupe idea za vitabu unaweza andika hadithi kama za enzi hizo sani mambo ya samvu la kopoSitaki kuuliwa. Acha nimalize masomo nianze kuandika vitabu MUNGU AKIPENDA.
Hii Tanzania ya Koroshow, Bagamoyo, SGR imekwama, ATCL kuenda Mumbai Mara moja, Kupika takwimu za ukuaji kutoka 4% hadi 7%?? Kweli ni Tanzania Mpya na role model wa Kanu ya 80s na 90s. Hapo upo sahihi kabisa.Tanzania mpya
[emoji23][emoji23][emoji23] msiempenda anazidi kuwa role model wenu japo hamtaki kuonesha wazi Wazi
mkuu sio kwamba napenda sana kenya iwe juu yetu ila unatupa kweli tupu hata pa kukupingia hakunaHamna rais hupenda kuona mawaziri wake wakiburuzwa mahakamani, hususan waziri wa fedha, mambo kama haya husababisha mpasuko ndani ya utawala wake. Kwa hivyo sio furaha sana kwa rais Uhuru kuona watu wake wanayumbishwa na kunyakuliwa kihivi, lakini kwa nchi inayozingatia utawala wa katiba, anabaki kushuhudia pembeni.
Hebu angalia kwenu, JPM alipoingia kwa uongozi, alijaribu kufyatuka na mikwara mingi dhidi ya mafisadi, akaanza kushtukiza shtukiza kote, kisha baadaye akagundua mbwembwe zote hizo zilikua zinaharibu utawala wake, tangu kipindi hicho akanywea kabisa, hatujamsikia tena.
Angalia kinachotendeka leo ndani ya CCM, jamaa wanaanikana juzi nimetazama video ya Musiba akieleza ufisadi wote wa Makamba, yote hayo Makamba ameyafanya kwenye awamu hii ya tano, leo mnayaanika kisa wamegombana kwa ajili audio yake ilipatikana, isingekua kwa hiyo audio, Makamba na wenzake wangeendelea kula bata huku wakilindwa, yaani siri ni kutokupigiana simu za kumkashifu rais na kama ukiweza uimbe mapambio ya kumsifu kila siku, hapo madudu yako yatalindwa.
Hayo ndio mapungufu ya kutokua na katiba nzuri, mkiwa na katiba njema, yaani ufisadi na mafisadi watapigwa vita hata kama kama wako na ukaribu gani na kiongozi wa nchi, maana taasisi zinakua na mamlaka ya kufanya shughuli zake bila kutegemea baraka za kiongozi wa nchi.
Mambo mnayoyaona Tanzania yalikua sana enzi za Moi kwetu hapa, miaka zaidi ya ishirini imepita, enzi hizo ilikua ni mwendo wa mapambio ya kumsifia rais wa nch, ukikiuka tu yaani madudu yako yanaanikwa, usalama wa taifa wanakua wamesheni taarifa zako na kutulia wanakusklizia tu, siku umseme vibaya rais, au akihutubia halafu aseme kitu watu wampigie makofi ila wewe uonekane kwenye TV umenuna badala ya kumshangilia kama wenzako, kuanzia hapo utayaanza kuyaskia.
Personally I don't care as long as there are arrests related to corruption, I've muted politics, not giving a dime about those handshakes.
Tired of seeing buffoons gloating on TV after fleecing our coffers dry, so if they're fighting each other and in the process a few of them are taken down, that'd be good enough for me.
Hii Tanzania ya Koroshow, Bagamoyo, SGR imekwama, ATCL kuenda Mumbai Mara moja, Kupika takwimu za ukuaji kutoka 4% hadi 7%?? Kweli ni Tanzania Mpya na role model wa Kanu ya 80s na 90s. Hapo upo sahihi kabisa.
Punguza kula sukuma [emoji23][emoji23][emoji23] au unadhani upo insta hapa unatafuta followers
Tayari unanifollow.
Mbona unanuka kinyesi ama umekula for supper Kama kawaida.Siwezi follow watu wasiochamba wakitoka maliwato
Mbona unanuka kinyesi ama umekula for supper Kama kawaida.
Kenya mmefunga wangapi Au ni story za kuwafikisha tu mahakamani,kina Waiguru na Nys wako wapi ?Ni waziri yupi ama RC amekamwatwa Tz kwa tuhma za ufisadi juu naona wilson255 akimsifia JPM?
Hapa Kenya ni kazi sio mdomo tu Kama kwa JPM.
That can happen if the president personally requests to be updated... But rais alisema mwenyewe kwamba DDP afanye kazi bila kusumbuliwa na mwanasiasa na hata kama ni ndugu ya Uhuru ndo anashukiwa DPP asiogope kufanya kazi yake.In principle yes, but practically not. Head of the state is regularly consulted to comment whether the process will have a detrimental effect to the public.
Hio ndo shida ya nchi zinazoendeshwa kwa udikteta, unaaminia mtu badala ya kuaminia ofisi!HALAFU wenzio wanapiga kelele za katiba bora Africa nzima 😁😁😁😁
Katiba nzuri Africa nzima isiyoweza kuprevent ufisadi bali unasubiri siku DPP aamke vizuri ndio atoe hati ya mashtaka, huu ni upumbavu mtupu
Kwa Magufuli haturuhusu watu waibe matrilioni kwanza wale wayamalize then ndio tushtuke after the decade na kuanza drama
JPM does not entertain that foolishness, you will be screwed unknowingly while thinking about looting, not even dare to do it.
It sounds good if at all that is what the president meant.That can happen if the president personally requests to be updated... But rais alisema mwenyewe kwamba DDP afanye kazi bila kusumbuliwa na mwanasiasa na hata kama ni ndugu ya Uhuru ndo anashukiwa DPP asiogope kufanya kazi yake.
The head of the institution is everything, if the head is rotten the whole system is dead, huwezi kuniambia tokea hiyo katiba ya mwaka 2009 itungwe leo 2019 miaka 10 baadae ndio imepata meno ya kuuma watu walioiba mali ya umma wakati hiyo katiba ikiwa tayari inafanya kazi, where was it's mechanism while all mess happens?Hio ndo shida ya nchi zinazoendeshwa kwa udikteta, unaaminia mtu badala ya kuaminia ofisi!
Hivi hebu nikuulize, walioiba Mali ya Tz wako jela? Watz waliowezesha acacia kuiba $190B wako jela? wale walikua wanapokea hongo na kuiba mali pale bandarini wako jela?
Hio Mali walioiba iliregeshwa? No!!!! JPM kazi yake kufuta watu kazi bila uchunguzi, biggest fear kwa waizi no kwamba eti watafutwa kazi !!!
Sasa JPM akishapiga mihula yake miwili, ni nini kinawazulia Hawa watu waliofutwa kazi kurudi serekalini???? Gadafi alikua hivyo hivyo kwa Libya, lakini punde alipoondolewa madarakani Mali yote ya Lybia ikaporwa.
Hiuu ndo muhula wa kwanza ofisi ya DPP inafanya kazi chini ya katiba mpya , tunaanza kujenga msingi mizuri ya nchi ili Mambo kama haya yatakua yanachukua mkondo wake wa kisheria bila kuingiza siasa ndani... Mimi nataka nchi ambayo inaongozwa na institutions na wala sio personality... Nataka nchi ambayo hata rais akipotea kwa mwaka mzima nchi bado inaeza ikajiendesha yenyewe kwasababu kila institution inaweza kufanya kazi yake kulingana na Sheria, na hata wanapovunja Sheria, ofisi nyengine iliopewa jukumu inachukua hatua bila kuhitaji idhini ya rais. ...
Sio nchi ambayo inategemea mtu mmoja kwa kila kitu!!!! Kwahivyo hii inamaanisha kukiingia rais mwengine was Tz ambaye hafwatilii ufisadi au utendakazi kama JPM basi nchi nzima itasimama kwasababu mtu mmoja ndo amezubaa!!!!!!??? Hizo ndo tunaita 3rd world problems
Kwa vile hamjawahi kugeuza katiba nitakusamehe kwa kutojua vile katiba hugeuzwa .... Si eti siku moja baada ya katiba mpya kuanza kutumika eti kila kitu kinageuka..... Katiba mpya hua ni kama koko/shell inayo taja vitu muhimu tu.... ikipitishwa ndo sheria husika zinaanza kutengenezwa na bunge.... Hua inachukua hadi miaka kumi kukamilisha sheria mpya za katiba mpya. Kwa mfano kuna sheria inayosema hakutakua na zaidi ya 2/3 ya jinsia moja kwa serekali au ofisi yyote, lakini sheria husika za kuhakikisha hilo jamboo linatekelezwa ni jukumu la bunge kutunga sheria, mpaka bunge itengeneze sheria husika ndo ndo kipenge hiho ha katiba kianze kutumika kisheria....The head of the institution is everything, if the head is rotten the whole system is dead, huwezi kuniambia tokea hiyo katiba ya mwaka 2009 itungwe leo 2019 miaka 10 baadae ndio imepata meno ya kuuma watu walioiba mali ya umma wakati hiyo katiba ikiwa tayari inafanya kazi, where was it's mechanism while all mess happens?
Rais ndio supreme leader akiwa legelege nchi yote ipo hovyo no matter how pretty constitutionalised government is.