Hati imetolewa ya kumkamaata gavana Waititu na mkewe kwa tuhuma za ufisadi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Tunakokwenda kunafaa, mifumo na taasisi zinafanya kazi zenyewe kwa mujibu wa katiba bila kuingiliwa na yeyote. Mawaziri wanaburuzwa mahakamani, magavana na familia zao hamna aliye salama, imefikia hatua watu wataogopa sana hela za umma.

Juzi kuna mradi fulani tuliwasilisha ili tuufanye kwa kaunti/gatuzi fulani nchini, gavana wa pale alipenda sana wazo letu la mradi na akashawishika kiasi cha kuwa tayari kutoa maagizo kwamba manunuzi waupokee moja kwa moja, ila ghafla akatuambia hilo litamletea matatizo makubwa maana nchi hii kila mradi unafuatiliwa kwa makini kuhakikisha taratibu za manunuzi zilizingatiwa, akaamrisha itangazwe zabuni tuingie kwenye ushindani dhidi ya watoa huduma wengine.

Nilifurahi sana kujua nchi yetu tumefika huku, kwamba hamna tena cha upendeleo, taratbu na vigezo vya manunuzi vinazingatiwa kwa mujibu wa sheria.
Tulikua tumezoea kutamaushwa, yaani unaandaa proposal yako kitaalam, unawasilisha kwa mbwembwe hadi kila mtu anashawishika, kisha baada ya siku chache unaona kwenye habari wazo lako linatekelezwa na kampuni nyingine ambayo inaishia kufanya magumashi maana hawakua na utashi, ni ile tu makajanja wa mjini walikuwahi, hili liliwahi kunitendekea hata kule Bongo.
--------------------

DPP Noordin Haji has ordered the arrest of Kiambu Governor Ferdinand Waititu and 12 others over the illegal award of a roads upgrade tender and embezzlement of county funds.

Others to be charged are Kiambu county chief roads officer, Lucas Wahinya, evaluation committee members Zakary Mbugua, Joyce Musyoka, Simon Kang'ethe, Anselm Wanjiku and Samuel Mugo.

In a statement on Friday, Haji said the award of the Sh588 million contract was done irregularly.

The contract was awarded to Testimony Enterprises during the 2017-18 financial year. It was for the upgrade of gravel roads to bituminous surface in Thika, Limuru, Gatundu North, Juja and Ruiru subcounties.

Testimony Enterprise directors are also to be charged. They are Charles Mbuthia and Beth Mburu.

EACC forwarded an inquiry file to the DPP's office on July 9 and evidence showed the tender award was skewed in favour of Testimony Enterprises.

The directors of Testimony are close associates of Waititu's.

It was found that a total of Sh147.2 million had so far been irregularly paid to the firm.

Furthermore, Testimony Enterprises was awarded other contracts for the provision of goods to Kiambu county by request for proposal. A total of Sh74.2 million was paid in respect of these contracts.

In total, the firm was paid Sh221.4 million.

Once the funds were paid, Sh25.6 million was remitted to entities associated with Waititu.
Part of the funds were used by Saika Two Estate Developers, a company owned by Waititu, to buy Bienvenue Delta Hotel, which is owned by the governor and his wife Wangari.
Wangari is also to be charged.
EACC had recommended the prosecution of Waititu's daughter, Monica Njeri Ndung'u, a co-director with Waititu in Saika, but later found that she was not an active director.
Waititu is to be charged with conflict of interest, dealing with suspect property, abuse of office and wilful failure to comply with procurement laws.
Other charges to be preferred include fraudulent acquisition of public property and money laundering.
On July 25, Waititu withdrew his application seeking an extension of anticipatory bail orders barring his arrest over alleged graft pending hearing.
This was after the EACC filed its affidavit to show the court how Waititu, Wangari and Njeri allegedly received, through their three companies, kickbacks for the irregularly awarded road tenders.

But I have not seen the likes of Rasanga ,Ojamong etc being arrested? Ama only those opposed to the hand cheque wanakua arrested?.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Personally I don't care as long as there are arrests related to corruption, I've muted politics, not giving a dime about those handshakes.
Tired of seeing buffoons gloating on TV after fleecing our coffers dry, so if they're fighting each other and in the process a few of them are taken down, that'd be good enough for me.
 
Kwetu huwa hatushukuru mtu binafsi, hatuna mungu mtu, kwetu katiba mpya na bora Afrika ndio hutumika.
Hata rais hana uwezo kwa hili, yupo pembeni anajionea mambo.
Mkuu utashi wa Rais ni muhimu sana,acha maneno yako hiyo
Mbona hatuyaona hayo kwa Kibaki au awamu ya kwanza ya UK?
 
JPM amekua na anaendelea kuwa role model wa nchi nyingi [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mkuu utashi wa Rais ni muhimu sana,acha maneno yako hiyo
Mbona hatuyaona hayo kwa Kibaki au awamu ya kwanza ya UK?

Hamna rais hupenda kuona mawaziri wake wakiburuzwa mahakamani, hususan waziri wa fedha, mambo kama haya husababisha mpasuko ndani ya utawala wake. Kwa hivyo sio furaha sana kwa rais Uhuru kuona watu wake wanayumbishwa na kunyakuliwa kihivi, lakini kwa nchi inayozingatia utawala wa katiba, anabaki kushuhudia pembeni.
Hebu angalia kwenu, JPM alipoingia kwa uongozi, alijaribu kufyatuka na mikwara mingi dhidi ya mafisadi, akaanza kushtukiza shtukiza kote, kisha baadaye akagundua mbwembwe zote hizo zilikua zinaharibu utawala wake, tangu kipindi hicho akanywea kabisa, hatujamsikia tena.

Angalia kinachotendeka leo ndani ya CCM, jamaa wanaanikana juzi nimetazama video ya Musiba akieleza ufisadi wote wa Makamba, yote hayo Makamba ameyafanya kwenye awamu hii ya tano, leo mnayaanika kisa wamegombana kwa ajili audio yake ilipatikana, isingekua kwa hiyo audio, Makamba na wenzake wangeendelea kula bata huku wakilindwa, yaani siri ni kutokupigiana simu za kumkashifu rais na kama ukiweza uimbe mapambio ya kumsifu kila siku, hapo madudu yako yatalindwa.

Hayo ndio mapungufu ya kutokua na katiba nzuri, mkiwa na katiba njema, yaani ufisadi na mafisadi watapigwa vita hata kama kama wako na ukaribu gani na kiongozi wa nchi, maana taasisi zinakua na mamlaka ya kufanya shughuli zake bila kutegemea baraka za kiongozi wa nchi.
Mambo mnayoyaona Tanzania yalikua sana enzi za Moi kwetu hapa, miaka zaidi ya ishirini imepita, enzi hizo ilikua ni mwendo wa mapambio ya kumsifia rais wa nch, ukikiuka tu yaani madudu yako yanaanikwa, usalama wa taifa wanakua wamesheni taarifa zako na kutulia wanakusklizia tu, siku umseme vibaya rais, au akihutubia halafu aseme kitu watu wampigie makofi ila wewe uonekane kwenye TV umenuna badala ya kumshangilia kama wenzako, kuanzia hapo utayaanza kuyaskia.
 
Tunakokwenda kunafaa, mifumo na taasisi zinafanya kazi zenyewe kwa mujibu wa katiba bila kuingiliwa na yeyote. Mawaziri wanaburuzwa mahakamani, magavana na familia zao hamna aliye salama, imefikia hatua watu wataogopa sana hela za umma.

Juzi kuna mradi fulani tuliwasilisha ili tuufanye kwa kaunti/gatuzi fulani nchini, gavana wa pale alipenda sana wazo letu la mradi na akashawishika kiasi cha kuwa tayari kutoa maagizo kwamba manunuzi waupokee moja kwa moja, ila ghafla akatuambia hilo litamletea matatizo makubwa maana nchi hii kila mradi unafuatiliwa kwa makini kuhakikisha taratibu za manunuzi zilizingatiwa, akaamrisha itangazwe zabuni tuingie kwenye ushindani dhidi ya watoa huduma wengine.

Nilifurahi sana kujua nchi yetu tumefika huku, kwamba hamna tena cha upendeleo, taratbu na vigezo vya manunuzi vinazingatiwa kwa mujibu wa sheria.
Tulikua tumezoea kutamaushwa, yaani unaandaa proposal yako kitaalam, unawasilisha kwa mbwembwe hadi kila mtu anashawishika, kisha baada ya siku chache unaona kwenye habari wazo lako linatekelezwa na kampuni nyingine ambayo inaishia kufanya magumashi maana hawakua na utashi, ni ile tu makajanja wa mjini walikuwahi, hili liliwahi kunitendekea hata kule Bongo.
--------------------

DPP Noordin Haji has ordered the arrest of Kiambu Governor Ferdinand Waititu and 12 others over the illegal award of a roads upgrade tender and embezzlement of county funds.

Others to be charged are Kiambu county chief roads officer, Lucas Wahinya, evaluation committee members Zakary Mbugua, Joyce Musyoka, Simon Kang'ethe, Anselm Wanjiku and Samuel Mugo.

In a statement on Friday, Haji said the award of the Sh588 million contract was done irregularly.

The contract was awarded to Testimony Enterprises during the 2017-18 financial year. It was for the upgrade of gravel roads to bituminous surface in Thika, Limuru, Gatundu North, Juja and Ruiru subcounties.

Testimony Enterprise directors are also to be charged. They are Charles Mbuthia and Beth Mburu.

EACC forwarded an inquiry file to the DPP's office on July 9 and evidence showed the tender award was skewed in favour of Testimony Enterprises.

The directors of Testimony are close associates of Waititu's.

It was found that a total of Sh147.2 million had so far been irregularly paid to the firm.

Furthermore, Testimony Enterprises was awarded other contracts for the provision of goods to Kiambu county by request for proposal. A total of Sh74.2 million was paid in respect of these contracts.

In total, the firm was paid Sh221.4 million.

Once the funds were paid, Sh25.6 million was remitted to entities associated with Waititu.
Part of the funds were used by Saika Two Estate Developers, a company owned by Waititu, to buy Bienvenue Delta Hotel, which is owned by the governor and his wife Wangari.
Wangari is also to be charged.
EACC had recommended the prosecution of Waititu's daughter, Monica Njeri Ndung'u, a co-director with Waititu in Saika, but later found that she was not an active director.
Waititu is to be charged with conflict of interest, dealing with suspect property, abuse of office and wilful failure to comply with procurement laws.
Other charges to be preferred include fraudulent acquisition of public property and money laundering.
On July 25, Waititu withdrew his application seeking an extension of anticipatory bail orders barring his arrest over alleged graft pending hearing.
This was after the EACC filed its affidavit to show the court how Waititu, Wangari and Njeri allegedly received, through their three companies, kickbacks for the irregularly awarded road tenders.

Uhuru kaamua!

Uhuru is the best head of state in this shithole forsaken continent,by far!

Kenya mnanifurahisha sana!

Ni hatua baada ya hatua,no jokes!

Mwisho wa siku fisadi papa lenyewe Ruto litashikwa!

Watch this space!

Uhuru is for real!
 
Kwenye katiba mzee mlimaliza kabisa!

Sisi bado,tena mkuu wa nchi wetu akisikia Katiba Mpya ana-shit on his pants mercilessly!

Ndio maana mna mafanikio!

Mafanikio mnayapata sio kutokana na huruma ya mtu,mmejenga system na government machinery bora kabisa kutokana na katiba yenu!

I wish tu-copy and paste hiyo katiba,tutoe neno Kenya tuweke neno Tanzania!

I wish!
 
Tunakokwenda kunafaa, mifumo na taasisi zinafanya kazi zenyewe kwa mujibu wa katiba bila kuingiliwa na yeyote. Mawaziri wanaburuzwa mahakamani, magavana na familia zao hamna aliye salama, imefikia hatua watu wataogopa sana hela za umma.

Juzi kuna mradi fulani tuliwasilisha ili tuufanye kwa kaunti/gatuzi fulani nchini, gavana wa pale alipenda sana wazo letu la mradi na akashawishika kiasi cha kuwa tayari kutoa maagizo kwamba manunuzi waupokee moja kwa moja, ila ghafla akatuambia hilo litamletea matatizo makubwa maana nchi hii kila mradi unafuatiliwa kwa makini kuhakikisha taratibu za manunuzi zilizingatiwa, akaamrisha itangazwe zabuni tuingie kwenye ushindani dhidi ya watoa huduma wengine.

Nilifurahi sana kujua nchi yetu tumefika huku, kwamba hamna tena cha upendeleo, taratbu na vigezo vya manunuzi vinazingatiwa kwa mujibu wa sheria.
Tulikua tumezoea kutamaushwa, yaani unaandaa proposal yako kitaalam, unawasilisha kwa mbwembwe hadi kila mtu anashawishika, kisha baada ya siku chache unaona kwenye habari wazo lako linatekelezwa na kampuni nyingine ambayo inaishia kufanya magumashi maana hawakua na utashi, ni ile tu makajanja wa mjini walikuwahi, hili liliwahi kunitendekea hata kule Bongo.
--------------------

DPP Noordin Haji has ordered the arrest of Kiambu Governor Ferdinand Waititu and 12 others over the illegal award of a roads upgrade tender and embezzlement of county funds.

Others to be charged are Kiambu county chief roads officer, Lucas Wahinya, evaluation committee members Zakary Mbugua, Joyce Musyoka, Simon Kang'ethe, Anselm Wanjiku and Samuel Mugo.

In a statement on Friday, Haji said the award of the Sh588 million contract was done irregularly.

The contract was awarded to Testimony Enterprises during the 2017-18 financial year. It was for the upgrade of gravel roads to bituminous surface in Thika, Limuru, Gatundu North, Juja and Ruiru subcounties.

Testimony Enterprise directors are also to be charged. They are Charles Mbuthia and Beth Mburu.

EACC forwarded an inquiry file to the DPP's office on July 9 and evidence showed the tender award was skewed in favour of Testimony Enterprises.

The directors of Testimony are close associates of Waititu's.

It was found that a total of Sh147.2 million had so far been irregularly paid to the firm.

Furthermore, Testimony Enterprises was awarded other contracts for the provision of goods to Kiambu county by request for proposal. A total of Sh74.2 million was paid in respect of these contracts.

In total, the firm was paid Sh221.4 million.

Once the funds were paid, Sh25.6 million was remitted to entities associated with Waititu.
Part of the funds were used by Saika Two Estate Developers, a company owned by Waititu, to buy Bienvenue Delta Hotel, which is owned by the governor and his wife Wangari.
Wangari is also to be charged.
EACC had recommended the prosecution of Waititu's daughter, Monica Njeri Ndung'u, a co-director with Waititu in Saika, but later found that she was not an active director.
Waititu is to be charged with conflict of interest, dealing with suspect property, abuse of office and wilful failure to comply with procurement laws.
Other charges to be preferred include fraudulent acquisition of public property and money laundering.
On July 25, Waititu withdrew his application seeking an extension of anticipatory bail orders barring his arrest over alleged graft pending hearing.
This was after the EACC filed its affidavit to show the court how Waititu, Wangari and Njeri allegedly received, through their three companies, kickbacks for the irregularly awarded road tenders.

Bilq kuitaja bongo kwenye rushwa zenu huoni kama unaifaidi jf
 
Personally I don't care as long as there are arrests related to corruption, I've muted politics, not giving a dime about those handshakes.
Tired of seeing buffoons gloating on TV after fleecing our coffers dry, so if they're fighting each other and in the process a few of them are taken down, that'd be good enough for me.
Imagine in Thursday-25th wiki hii, Gavanda wa Kiambu alikua anampokea Rais na kumsaidia Kufungua kiwanda kipya cha bidco pale TatuCity, kumaanisha hata Rais mwenyewe hakua anajua Waititu atakamatwa kwa tuhuma za Ufisadi manake kama angejua, hangemualika wala kukubali kupigwa picha akiwa karibu na mtu ambae ameiba mali ya umma.

Waititu 2nd from right
67365275_2839281326087373_2076991651145842688_o.jpg

67599202_2839281602754012_3605392592772005888_o.jpg

Waititu was only 3 chairs from the presidents right side
66976885_2839282469420592_1321865490598985728_o.jpg

Cheki hilo tumbo la waititu, tena alikua hajatosheka!!!!
67427017_2839282699420569_9047881799149027328_o.jpg

67303681_2839282859420553_7477958887526629376_o.jpg
 
Ndio huu utawala wa sheria, yaani leo unakaa pembezoni mwa rais, mnacheka naye, kesho unaburuzwa hadi jela.
Umuhimu wa katiba nzuri huondoa yale matamko ya mikwara ambayo tulikua tumezoea na kuyaogopa "unajua mimi nani", "unajua naweza kupiga simu moja tu na unaisha".
Kuna kipindi ilikua, yaani ukifaulu kupiga picha na rais wa nchi inakua kama mtaji, utapiga hela kwa kutumia hiyo picha na kubabaisha nchi yote.
 
Back
Top Bottom