Jamhuri ya Zanzibar
Senior Member
- Jul 17, 2012
- 126
- 195
* Nakala halisi ya Mapatano ya Muungano hii hapa.
* Ni ya size ya A4, tofauti na ile ya ikulu ya Magogoni.
* Ina muhuri wa SIRI, kama inavyotakiwa mikataba ya kinchi ya kimataifa inayosainiwa na wakuu wa nchi husika, tofauti na ile ya ikulu ya Magogoni.
* Ni kongwe zaidi inayoakisi umri wa miaka 50, tofauti na ile inayong'ara ya ikulu ya Magogoni.
* Haina saini ya Mzee Karume bali ya Nyerere peke yake, inathibitisha sahihi ya kughushi ya Mzee Karume katika nakala ya ikulu ya Magogoni.
* Mzee Karume alikataa kuharakia kusaini na kumtaka Nyerere avute subira mpaka Baraza la Mapinduzi liukubali Muungano. Baraza la Mapinduzi halikuridhia kisiasa wala kisheria suala la Muungano.
* Mzee Karume alifariki akiwa hakusaini hati za Mapatano ya Muungano.