Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,299
Hivi UKAWA kama hawana hoja ya msingi kutokuingia bunge la katiba kwanini mnawaomba waje kwenye bunge la katiba?????:wacko:UKAWA wanaweweseka sana. Warudi tu bungeni waache kuwayawaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi UKAWA kama hawana hoja ya msingi kutokuingia bunge la katiba kwanini mnawaomba waje kwenye bunge la katiba?????:wacko:UKAWA wanaweweseka sana. Warudi tu bungeni waache kuwayawaya
Na picha inayoonyeshaNyerere na Karume wakiwa kwenye meza moja wakiadndika vitu huku wakishuhudiwana kina Kambona ilikuwa ya tukio lipi?
umepata faida gani kuueneza uongo
Unasemaje wewe kuhusu tofauti iliyopo kati ya hizi na zile zilizopelekwa dodoma? Ukisema tu uwongo bila justification, huwezi kuelewaka kwa sababu hata mwizi japo kakamatwa siku zote hukataa.
Kuudhihirisha uwongo wa huyu, wewe elezea hiki ni nini na kilichopelekwa dodoma ni nini na kama ni kitu kimoja justify. Habari za kubisha bila hoja, ni za watu kama weston songolo.
Wenzako sakata la hati washalimaliza kwa gharama kubwa tu.......Na kama ilivyo ada kwa watanzania tushahau now tuna deal na ukawa tu,c mda mrefu utasikia tukio la kufa mtu ili kufunika issue ya ukawa
umepata faida gani kuueneza uongo
Mkuu, usihangaike kubishana na hawa mburula
Vijana wa chadema uongo ni dhambi na dhambi ni jehanamu
umepata faida gani kuueneza uongo
atakuwa ameiandaa Kinondoni
na kama ipo kwa nini haiwekwi wanachi? kama nyerere na karume walimix udongo wa tanganyika na zanzibar kwa uwazi, kwa nini hati iwe siri?