daruweshi97
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 464
- 49
Hati ya muungano iliyotolewa magogoni ni fake,original ni hii hapa yenye saini moja tu ya nyerere.
Si ya A4,ni karatasi maalum
Karume hakuweka saini akisubiri BLM liridhie
Ina muhuri mwekundu kuufanya kuwa ni siri.
Karatasi lake la mitiyani katowa huko alafu anatuwambiya hati ya muungano
Lisu anawachanganya ukawa kama viroba