daruweshi97
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 464
- 49
Hati ya muungano iliyotolewa magogoni ni fake,original ni hii hapa yenye saini moja tu ya nyerere.
Si ya A4,ni karatasi maalum
Karume hakuweka saini akisubiri BLM liridhie
Ina muhuri mwekundu kuufanya kuwa ni siri.
Hiyo original yake katumieni ukawa na mabwana zenu wanaowapa pesa za kuvuruga nchi.
Huwezi kupata umaarufu kwa kufukua makaburi ambayo ndani yake kuna masalia ya mifupa tu.
Kwani kaipata wapi hii document?umepata faida gani kuueneza uongo
Kwani kaipata wapi hii document?
Raisi wa sasa asaini chap chap, kutoa aibu
Mkuu, usihangaike kubishana na hawa mburulaTuwekee basi hiyo ya Ikulu ili tulinganishe na hii ya Kinondoni