Hatia 4 - Dizasta vina ni best story teller tangu hiphop ya bongo ianze mpaka sasa

Wewe ndo disaster mwenyewe kwa promo hii.
 
Labda me ntakua addicted wa Nikki Mbishi
Maana nimetamani hii idea angepita nayo yeye
Aisee Nikki anachana sana, namkubali na kumheshimu [emoji119]

Ila angetoa boko kwenye hii stori, hakuna namna angefanya vema zaidi ya Dizasta. Alichofanya Dizasta humo nd'o kilele chenyewe cha ubora wa hiyo story. Hakuna mtu angefanya zaidi ya hapo, huyo nikki ndo kabisa. Plus siku hizi alivyoshuka uwezo, sio nikki yule wa Kwenye Jogoo, Nyakati mpaka ile AKA. Ningekua karibu na Nikki ningemshauri astaafu kwa heshima.
 
M
1.siku mbaya
2.kijogoo


Hizi ngoma dizasta aliua sana. Ntajie story telling inayoifikia hizo? Nikupe laki
Mama Rose nae kila aliponiona alinikejeli kijo how how ngoma za kiboss utafeli, akaja nikampkia nguna la kisomi kwa mabao saba mpaka akataja jina la utotoni, heeh na utahisi nina sex certificate sex messenger nan hua afiki nimfikishe?
 
Mitihani ni story kali.. Story kama hiyo angepita nayo Dizasta leo hii tungeongea kitu kingine. Tofauti ya Dizasta na wachanaji wengine kwenye story telling, ukiacha ukali wa story zenyewe, ni ubunifu/ufundi katika uwasilishaji wake
Mzee hapa nimekupata sana

Dizastar ana skills na bars zake kama una kunywa kinywaj flani hivi amazing
 
Mzee hapa nimekupata sana

Dizastar ana skills na bars zake kama una kunywa kinywaj flani hivi amazing
Kabisa bro, ana skills mno na kwa hilo anawanyanyasa sana wachanaji wengine. Mimi ninapozungumzia wachanaji hapa bongo huwa namchukua Dizasta kwanza namuweka kabatini kisha nd'o nawazungumza hawa wengine.

Kuna ndugu yangu yeye sio msikilizaji wa Hip-Hop lakini kuna siku alikuja ngwea kwangu akakuta nasikiliza ngoma za Dizasta, kauli pekee aliyosema ni "Huyu jamaa atakua msomi sana" [emoji23] nikamjibu "anaweza kuwa, ila sio kila msomi anaweza kufanya hivyo, jamaa ni genius"
 
Huyu kijana anajua sana,huwa sina muda wa kufuatilia hawa vijana wapya,ila kuna siku nilisikia kwa rafiki akiplay ktk simu "kanisa ",nikaona huyu kijana yuko vizuri
 
Jamaa ni mkali haswaa,sidhani kama kuna msanii wa Hip Hop mwenye mistari yenye content za kutosha toka kwenye almost kila eneo(science,history,geography n.k)
 
Jamaa ni mkali haswaa,sidhani kama kuna msanii wa Hip Hop mwenye mistari yenye content za kutosha toka kwenye almost kila eneo(science,history,geography n.k)
Sikupingi

"Kama gravity I'm still balanced
Guaranteed punchlines na skills kama warranty
Twende!! Zama maktaba ufungue vitabu babu hizi hesabu zimetoka nje ya hii galaxy"
 
Imagine begi bila bega
Fegi bila mzuka
ama Mengi bila pesa
Mbegu bila udongo
ama bendi bila dancers
Ama arsenal (Arsenal kai pronounce kama Arsene) bila wenger
HIYO NI GAME BILA MIMI
 
Sijui kwanini nashindwa kumsikiliza...

Nimeutafuta wimbo nikaishia kuucheza hadi dakika 1 tu.

Nikaishia kuisikiliza King Kolla na Nyokaa. Nadhani Mbwa ndiye best storyteller kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…