Hatima Diamond Kathibitisha ndoa yake na Zari

Wealth maximization na gold digging ni vtu viwili tofauti... Know the difference
Zari yuko kwny maximization wkt wadada wengine walikua kwny gold digging
 
seduce me ilisindikiza party hiyo kwa habari za ndani nilizopenyeshewa
 
Wanaingiza hela lakini. Hata Dai alivunja kwenye ile 'Marry you' ilikuwa fireeee
 
Hahahahaha! Nipo mtani!
Binti mrembo anafanya mambo ya ajabu,sahihi kabisa diamond kumuita malaya mtafuta kiki.
Akalee sasa mwenyewe.Bahati mbaya kiki yote imezimwa,hatajwi tajwi sasa hivi.
 
Unaambiwa mange kule alipo anaazima simu,pc,na kila kifaa kinachowezesha internet kwa kila amuonae njian kuingia you tube kujaza views kwa ali kiba
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata kuna mtu Leo nilimsikia anasema kua anaangalia video na source tofauti kuongeza views
 
Yaani bado anataka kuanzisha kiki nyingine aongelewe yeye tu watu waache kufuatilia [HASHTAG]#seduceme[/HASHTAG] hahaaa aisee huyu jamaa atakufa kwa presha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani bado anataka kuanzisha kiki nyingine aongelewe yeye tu watu waache kufuatilia [HASHTAG]#seduceme[/HASHTAG] hahaaa aisee huyu jamaa atakufa kwa presha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mtu asifanye ratiba zake za kila siku Kisa kibakuli. Nyie hampo serious [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…