LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Wealth maximization na gold digging ni vtu viwili tofauti... Know the differenceUnafahamu "wealth maximization concept" mfano Tajiri Kama Bahkresa pamoja na mambo ya uzalishaji na kufanya biashara kubwakubwa lakini haachi kutengeneza Ice creams Za shs 50 na kuuzia watu unajua ni Kwa nini? Si angeachana na hizo biashara ndogondogo Za kuuza ice creams na chock sticks akabaki na biashara kubwa kubwa ? Kama anaweza kupambana akamwambia jamaa ajenge jumba Kwa kila mtoto mfano amekosa nini?! Ngoja nisieleze mengi! Wanasema alolala usimwamshe , ukimwamsha utalala Wewe ! Alamsiki!
Zari yuko kwny maximization wkt wadada wengine walikua kwny gold digging