Uchaguzi 2020 Hatima ya CCM Babati Mjini

Naona mnavyoanza kuhofia CDM kabla hata hawajaanza siasa wakati mlikuwa kwenye kampeni kwa miaka yote mitano.
 
SIONI HOJA YAKO KAMA INA MAANA KWANI NCHI INAENDA KIDIKTETA KWA IYO ATA AKIWEKWA KICHWAPANZI ATAKUWA MBUNGE WENU TU,
MATOKEO ANATANGAZA MKURUNGENZI AMBAYE AMEONYWA KUWA KAMA ANALIPWA MSHAHARA NA KUPEWA GARI NA JIWE BASI HATAKWENDA KINYUME KATU NDUGU YANGU ATAWATANGAZIA KICHWAPANZI KUWA MBUNGE WENU MJIANDAE
 
Wananchi wanauwezo mkubwa kuliko unavyofikiria wa kuamua nani awe kiongozi wao. We subiri na usifikiri watanzania poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…