Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Safi sasa akili itamkaa sawa hao mambumbumbu wanaomdanganya wampe nafasi ya kucheza maana hatapewa nafasi hiyo jangwaniHaya.. kamati imeishaamua hukoView attachment 2471971
Dogo walimjaza nae akakaza fuvuSafi sasa akili itamkaa sawa hao mambumbumbu wanaomdanganya wampe nafasi ya kucheza maana hatapewa nafasi hiyo jangwani
Taarifa Iliyo Toka Ni Kidhazi tegrmeziKamati imeamua kuwa Fei ni mchezaji wa Yanga.
Ila Uamuzi kamili utatolewa j3? Mie ndo sielewi au taarifa haijakaa sawaa.
Nenda Milembe ukacheki afya yako ya akili, tatizo lako liko nje ya uwezo wangu.Tanzania yangu daah kwani nani asiyejua Feisal ni mchezaji wa Yanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikubwa tunataka maamuzi juu ya feisal kuvunja mkataba wake asepe
Ndo tunachohitaji kujua je anaruhusiwa kuvunja au laaah hayo maamuzi kamili ndo tunataka bhana
C juzi semaji lilisema bado anamwaka na nusu kwenye mkataba imekuaje tena ikawa miezi sita mkuu?Kuna watu humu wame kasirika, ila ndio mpira haijalishi mchezaji ana mkataba wa miaka mingapi, mkataba wake unaweza kuvunjwa cha msingi taratibu za usajili zifuatwe.
Makolo walilishupalia hili swala,mpaka msemaji wao akawa ripota wa kuitegemea wa habari za Fei,wakasahahu brother Kibu bado yupo yupo sana na yupo zake Dubai, huko wao wapo bongo wakimlaumu na wamesahau kwamba Chama kupitia Insta live alisema kabakisha miezi sita.
Atasugua bench mpaka atachinaDogo walimjaza nae akakaza fuvu
Chama aliongea juzi instalive kabakisha miezi sita na Simba. Kuna mtu anaitwa Yusuph Bakheresa anasajili mwenyewe hatumii dalali na ndiye aliye mzuzua Fei,makolo wasishangae Yusuph akahamia kwa Chama.C juzi semaji lilisema bado anamwaka na nusu kwenye mkataba imekuaje tena ikawa miezi sita mkuu?
Mbumbumbu kwenye ubora wakoUtopolo kweli hsmnazo, Kwani kuna aliyebisha fei sio mali ya utopolo? TFF walipaswa kutoa ufafanuzi kama mkataba unamruhusu fei kuvunja mkataba kwa 112ml au la, na hayo ndio malalamiko waliyopeleka yanga kwa tff kwamba fei hajafuata utaratibu na ndio mana wakarudisha ile pesa.
Au ndio hiyo jumatatu tutaambiwa kuhusu utaratibu?
Afadhali msagiane kunguni wenyewe kwa wenyeweYanga mwenzangu una ubwege mkubwa sana. Yaani unafurahia hili? Yaani mke hakutaki anaondoka na anaenda kutiwa na mwanaume mwingine. Mahakama inamrudisha kwako kuwa hakuondoka na talaka unafurahia? 🤣🤣🤣🤣🤣 WE SI BWEGE SANA? UTAKUWA NA AKILI KWELI? USITUAIBISHE SISI WENYE AKILI.