Hatima ya Fei Toto kujulikana Jumatatu tarehe 9 Januari 2023

Kwa hiyo hapawezekani kuwepo na matumaini kwenye hayo maelezo ya kina......???

Je wakisema kuwa japokuwa wana mkataba lakini nafasi ya kuvunja anayo kulingana na aina ya mkatab.....???
Nope, wanaweza kusema nafasi ya KUVUNJA mkataba ipo (na hii ni fact, kila mkataba una option hii) kwa kuzingatia mahitaji ya mkataba. Sasa mkataba una pande mbili, mwajiri na mwajiriwa. HAIWEZEKANI mwajiriwa akajifungia chumbani tu akavunja mkataba pasipo maridhiano ya pande zote, HUU NI UHUNI. TFF hawana mamlaka ya kuingilia mkataba na kumwacha huru Fei, hapo lazima kijana akae mezani na mwajiri wake.

Kumbuka vilabu husajili kwa malengo, sasa upande unaotaka kusitisha mkataba ni lazima wajadili. Kama mwajiri ataona hawezi kufikia "terms" za mwajiriwa hapo ndipo kusudio la kuvunja mkataba litatazamwa.

Ingawa leo hii tunafurahia kwamba Yanga wanaumizwa, lakini ukweli ni kuwa tutatengeneza utaratibu mbovu ambao utasumbua sana mbeleni, hasa kwa vilabu vidogo. Mfano Yanga ikimtaka mchezaji wa Ruvu Shooting hawatahitaji kutumia gharama kubwa kumnunua, badala yake watataka anunue tu mkataba wake afu wanajitwalia. Tutsumiza soka letu wenyewe
 
Utaratibu aliotakiwa kuufuata ni upi?
Kwa klabu inayo mtaka,waiandikie barua Yanga simple,kwamba tunamtaka Fei. Yanga juzi si waliwandikia Azam then Azam akasema wakiwataka Akamiko na mwezake waweke mezani mil 900.

Kwenye mpira mkataba wowote unaweza kuvunja haijalishi huyo mchezaji amebakisha miaka mingapi as long umefuata taratibu na pande mbili zimekubaliana.
 
Tangu hapo inafahamika kuwa Feisal ni mali halali ya Yanga....kesi ya msingi ya Feisal na Yanga ni uhalali wa kuuvunja huo mkataba.......tunataka kamati ituambie baada ya kuwa yeye ni mali Yanga je ni halali kwake kuvunja mkataba vile alivyovunja.......

Kama mnakiri Fei bado mali ya YANGA huo mkataba itakuwa umevunjika vipi?
Short and clear ni kwamba mkataba haujavunjika. Kulikuwa na majaribu ya kuuvunja wavunjaji wakavunjika wao.
 
Nope, wanaweza kusema nafasi ya KUVUNJA mkataba ipo (na hii ni fact, kila mkataba una option hii) kwa kuzingatia mahitaji ya mkataba. Sasa mkataba una pande mbili, mwajiri na mwajiriwa. HAIWEZEKANI mwajiriwa akajifungia chumbani tu akavunja mkataba pasipo maridhiano ya pande zote, HUU NI UHUNI. TFF hawana mamlaka ya kuingilia mkataba na kumwacha huru Fei, hapo lazima kijana akae mezani na mwajiri wake.

Kumbuka vilabu husajili kwa malengo, sasa upande unaotaka kusitisha mkataba ni lazima wajadili. Kama mwajiri ataona hawezi kufikia "terms" za mwajiriwa hapo ndipo kusudio la kuvunja mkataba litatazamwa.

Ingawa leo hii tunafurahia kwamba Yanga wanaumizwa, lakini ukweli ni kuwa tutatengeneza utaratibu mbovu ambao utasumbua sana mbeleni, hasa kwa vilabu vidogo. Mfano Yanga ikimtaka mchezaji wa Ruvu Shooting hawatahitaji kutumia gharama kubwa kumnunua, badala yake watataka anunue tu mkataba wake afu wanajitwalia. Tutsumiza soka letu wenyewe
Hivi unajua maana ya mkataba?
Unajua kwa nini yanga waliweka kipengele cha kuununua mkataba kwa milioni 100?
Ukishaununua kuna nini cha kuongea tena?Kimesemwa kwenye mkataba? Kama hakijasemwa,ninyi mnatoa wapi kipengele cha "wakae mezani?" Kama si uswahili tu?

Kama kulikuwa na hitaji la kukaa mezani kwa nini waliandika milioni 100?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kabla haujachangia unapaswa kufuatilia mambo kwa undani
Fei hajanunua mkataba bali ametaka kuvunja mkataba na kwa sheria za fifa ili uvunje mkataba unapaswa kuwe na mambo matatu=
1) haujalipwa mshahara miez 3 mfululizo.
2) haujacheza mechi 10 mfululizo.
3) klabu haijatimiza makubaliano yaliyopo kwenye mkataba.
Tofaut na hivyo unapaswa kuuzwa au kuununua mkataba wako.
Na kipengele cha kununua mkataba kipo kwenye mkataba wa fei ni yeye tuu kuamua nadhan ni kama Dollar laki 2 hiv kama sikosei.
Na pia inakupasa kufahamu mikataba yote kwa mujibu wa fifa lazima iwe na kipengele cha kuvunja lakin kwa masharti maalum..
 
Back
Top Bottom