Hatima ya Fei Toto kujulikana Jumatatu tarehe 9 Januari 2023

Hatima ya Fei Toto kujulikana Jumatatu tarehe 9 Januari 2023

Nadhan yanga wangeongea na timu inayomtaka fei,,,wakubaliane ada ya uhamisho aende zake ,,,,

Kitendo Cha kufosi kuondoka alafu aje arudi Tena kundini binafsi nadhan hata sie Mashabiki hatukukipenda, hata huko dressing room kunaweza kuwa na mpasuko! Fei alikuwa mwanetu wa nyumbani kabisa pale jangwani, tamaa zilimpoza sikio likazidi kichwa, !

Yes alihitaji kuboreshewa mkataba, lakini njia liyotumia sio nzuri ! Nadhan hapa uongozi umekomalia hili swala ili iaminike Sheria zipo na hakuna mchezaji mkubwa kuliko club,,,,

Bravo Eng Said, Tff !
 
Mke akilazimisha ralaka ukamnyoma usiku hupewi mzigo
 
Tangu hapo inafahamika kuwa Feisal ni mali halali ya Yanga....kesi ya msingi ya Feisal na Yanga ni uhalali wa kuuvunja huo mkataba.......tunataka kamati ituambie baada ya kuwa yeye ni mali Yanga je ni halali kwake kuvunja mkataba vile alivyovunja.......
 
Taarifa Iliyo Toka Ni Kidhazi tegrmezi
ukianza Kupima Vigezo vya Habari
Unaona Kama Kuna Mkanganyiko Wa Mantiki

Nahisi kuimbe Aliye Andaa Hii Press Release Some Extents
Atakuwa
Khaaaaah sasa wangekaa nayo kmya tyuuh had j3, au wanapima upepo ili waone nn kipo nje, ili j3 wajue wanatoa maamuzi gan kulingana na mapokeo ya hii taarifa ya awali.

Kazi ipo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhan yanga wangeongea na timu inayomtaka fei,,,wakubaliane ada ya uhamisho aende zake ,,,,

Kitendo Cha kufosi kuondoka alafu aje arudi Tena kundini binafsi nadhan hata sie Mashabiki hatukukipenda, hata huko dressing room kunaweza kuwa na mpasuko! Fei alikuwa mwanetu wa nyumbani kabisa pale jangwani, tamaa zilimpoza sikio likazidi kichwa, !

Yes alihitaji kuboreshewa mkataba, lakini njia liyotumia sio nzuri ! Nadhan hapa uongozi umekomalia hili swala ili iaminike Sheria zipo na hakuna mchezaji mkubwa kuliko club,,,,

Bravo Eng Said, Tff !
Mchezaji haitaki team, fei sio mjinga had kuamua kufanya hivi, mumuache aondokeee.
 
Kwa hiyo anakabiliwa na adhabu gani kwa kutaka kuvunja mkataba?
 
Tangu hapo inafahamika kuwa Feisal ni mali halali ya Yanga....kesi ya msingi ya Feisal na Yanga ni uhalali wa kuuvunja huo mkataba.......tunataka kamati ituambie baada ya kuwa yeye ni mali Yanga je ni halali kwake kuvunja mkataba vile alivyovunja.......
Kuvunja ana ruhusiwa mchezaji yoyote yule haijalishi amebakisha miaka mingapi as long sheria na taratibu zifuatwe na pande mbili zikubaliane.
 
Mchezaji haitaki team, fei sio mjinga had kuamua kufanya hivi, mumuache aondokeee.
Aende lakini kwa utaratibu,,,, ! Alikutana na makanjanja hayajui Sheria yakamdanganya , akavimba kichwa ! Now hatumuhitaji, timu inayomtaka ije tukae mezani , aondoke kwa right price ili pande zote zifaidike (mchezaji na club )
 
Taarifa Iliyo Toka Ni Kidhazi tegrmezi
ukianza Kupima Vigezo vya Habari
Unaona Kama Kuna Mkanganyiko Wa Mantiki

Nahisi kuimbe Aliye Andaa Hii Press Release Some Extents
Atakuwa
Tunaita dependent variables yaani inahitaji variables zingine ikamilikeee
 
Kamati imeamua kuwa Fei ni mchezaji wa Yanga.

Ila Uamuzi kamili utatolewa j3? Mie ndo sielewi au taarifa haijakaa sawaa.
Hapo mambumbumbu ya utopolo yanazevezwa na kusetiwa ili wakija kustuka hakuna wa kumlaumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unachezea akili wewe,nyimwa vyote lakini upewe akili hata ya kuvukia barabara tu....

Subiri tarehe 9 sasa.
 
Back
Top Bottom