kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Nadhan yanga wangeongea na timu inayomtaka fei,,,wakubaliane ada ya uhamisho aende zake ,,,,
Kitendo Cha kufosi kuondoka alafu aje arudi Tena kundini binafsi nadhan hata sie Mashabiki hatukukipenda, hata huko dressing room kunaweza kuwa na mpasuko! Fei alikuwa mwanetu wa nyumbani kabisa pale jangwani, tamaa zilimpoza sikio likazidi kichwa, !
Yes alihitaji kuboreshewa mkataba, lakini njia liyotumia sio nzuri ! Nadhan hapa uongozi umekomalia hili swala ili iaminike Sheria zipo na hakuna mchezaji mkubwa kuliko club,,,,
Bravo Eng Said, Tff !