Hatima ya Fei Toto kujulikana Jumatatu tarehe 9 Januari 2023

Sasa jamaa kaamua tu kumtia mimba mke wako halafu anakurudishia mahari yake... Na mke anaonekana kumpenda jamaa.....🤣🤣🤣🤣
Hiyo mimba aliyopewa Fei ipo wapi, mbona unacho ongea havi relate.
 
Tunachoomba wamlizane vizuri tu, kama Feisal hataki kuichezea Yanga tena. Yanga wakubaliane naye na kuona njia ya kumsaidia kuuvunja huo mkataba.
Feisal katusaidia sana kwenye timu, tukumbuke fadhila zake na yeye tumuonyeshe fadhila kwenye hili.
Ni kweli mkuu na fadhira zinatakiwa kuwa mutually yaani kila upande ujishushe waangalie nini kifanyike kwa masilahi ya pamoja sasa mmoja akijaribu kufanya umafia italeta shida.. feisal akiona sasa ni wakati muafaka wa yeye kutafuta changamoto mpya akae na uongozi waongee wakubaliane kwa pamoja na yanga kama timu yenye mikakati na ukizingatia wapo katikati ya msimu ivyo wanahitaji wachezaji wao muhimu wakiona kwa sasa sio wakati mzuri wa feisal kuondoka wakakataa ombi la mchezaji kuondoka basi uamuzi wao uheshimiwe.

Cristiano ronaldo alikua na shauku kubwa ya kwenda real madrid ila mzee fagason akamfata akiwa mapumziko akamwambia siwezi kukuruhusu kuondoka kwa sasa maana sio wakati sahihi na ikabidi ronaldo aendelee kuheshinu mkataba wake mpaka msinu uliofata ndipo akaruhusiwa kuondoka akapewa go ahead ya kumalizana na real madrid biashara ikafanyika
 
Tangu hapo inafahamika kuwa Feisal ni mali halali ya Yanga....kesi ya msingi ya Feisal na Yanga ni uhalali wa kuuvunja huo mkataba.......tunataka kamati ituambie baada ya kuwa yeye ni mali Yanga je ni halali kwake kuvunja mkataba vile alivyovunja.......
Mbn swali lako jepesi sana ndugu? Toto kashafuata hizo njia za kuvunja mkataba kaandika barua ya kuvunja mkataba, kaweka pesa ya kuvunja mkataba tsh.112 millions na kaondoka kwenye timu.

Majibu ya kamati ni kwamba hizo njia ulizotumia siyo halali so wewe Toto bado ni mchezaji wa Yanga mpaka hapo ukifuata taratibu zingine zinazokubaliwa na taratibu za FiFa. Full stop!
 
Kuna watu humu wame kasirika, ila ndio mpira haijalishi mchezaji ana mkataba wa miaka mingapi, mkataba wake unaweza kuvunjwa cha msingi taratibu za usajili zifuatwe.

Makolo walilishupalia hili swala,mpaka msemaji wao akawa ripota wa kuitegemea wa habari za Fei,wakasahahu brother Kibu bado yupo yupo sana na yupo zake Dubai, huko wao wapo bongo wakimlaumu na wamesahau kwamba Chama kupitia Insta live alisema kabakisha miezi sita.
Ndugu taratibu kidogo unajua kwann kamat imesema itatoa uamzi huo kamili j3 tar9? Maana yake huo mda fei kama nia yake ya kuvunja mkataba bado inayo maana yake anaweza kufanya hivo mda huu wa siku hizi 2 ndio maana wamesema hivo kwaiyo usifurahi sana haimamishi kwamba fei atabaki yanga na kuitumikia no maana anaweza fanya lolote ktk hizo siku 3 akifuata utaratibu wa kuvunja mkataba mbele ya kamati hiyo si mlirudisha hera yake sasa kwa sasa anaweza kuwapa mbele za hii kamati na mambo yakaisha kabisa so tujiandae lolote lonaweza kutokea

Lakini ukiwaza tu kikawaida hata kama fei atabaki yanga kwa namna alivokiwisha onyesha nia yake ya kuondoka unazani atakuwa fei yule wa siku zote!?? Atacheza kwa hamasa, molali na kujituma kama mwanzo???

Tena nilisikia hata kocha na baadhi ya viongozi wakisema kuwa eti fei akijichanganya akarudi anaoigwa bench mpaka akili imkae sawa kwamba yanga ndo wamemtengeneza sasa analete dharau sasa embu fikiria kama mambo yenyewe ndo haya si ni bora tu aende??? Na yy hiki ndo kinacho mpa hofu kuwa amesha wakwanza ma kuwakera watu wa yanga vya kutosha bora akomae tu na nia yake ya kusepa ni hayo tu.
 
Ila ikibidi Uongozi wa Timu ya wananchi kama nia yao sio kumkomoa basi wakae chini waelewane huyo Fei asepe anakotaka sababu mtu akishaonyesha nia ya kutaka kuondoka kumlazimisha kubakia ni kama inakuwa kazi bure saa ingine.
 
Kamati imeamua kuwa Fei ni mchezaji wa Yanga.

Ila Uamuzi kamili utatolewa j3? Mie ndo sielewi au taarifa haijakaa sawaa.
Walitakiwa kusema taarifa kamili ya uamuzi huo itatolewa j3😁

Uamuzi umeshafanyika sema taarifa kamili ni j3.
 
Feisal kukubali kuchezea hiyo team na kuanza kutema mate akikuona ni mimba. Hujaona ka bwana mdogo kwa sasa kana dharau sana?
Fei ana mimba ya Yanga ,wanaomtaka wasubirie baada ya mwaka mmoja na nusu au wasubirie mpaka baada ya mwaka na nusu.

Au ushawahi kuona mwanamke aliyepewa mimba na wanaume wawili.
 
Sipingi Feisal kuondoka, Ila nilichotaka taratibu zifuatwe.

Wakae Chini wayaongee wayamalize Fei asepe atuachie YANGA yetu bila yeye timu itasonga Tu.
 
Watu wameshamlipia mpaka mahari umerudisha... Wamemla....yaan alishakutema.... So huyo hana mapenzi nawe unaachana naye. Yeye siyo Mungu wako
Moira biashara kwahiyo lazima maridhiano ya pande zote yaafikiwe, hajang'ang'aniwa lakini afuate sheria ili Yanga wapate chao kinachostahili na yeye akapate chake huko (yaani utaratibu ufuatwe)
 
Fei ana mimba ya Yanga ,wanaomtaka wasubirie baada ya mwaka mmoja na nusu au wasubirie mpaka baada ya mwaka na nusu.

Au ushawahi kuona mwanamke aliyepewa mimba na wanaume wawili.
Ameshasema hakutaki achana naye....
 
Ndugu taratibu kidogo unajua kwann kamat imesema itatoa uamzi huo kamili j3 tar9? Maana yake huo mda fei kama nia yake ya kuvunja mkataba bado inayo maana yake anaweza kufanya hivo mda huu wa siku hizi 2 ndio maana wamesema hivo kwaiyo usifurahi sana haimamishi kwamba fei atabaki yanga na kuitumikia no maana anaweza fanya lolote ktk hizo siku 3 akifuata utaratibu wa kuvunja mkataba mbele ya kamati hiyo si mlirudisha hera yake sasa kwa sasa anaweza kuwapa mbele za hii kamati na mambo yakaisha kabisa so tujiandae lolote lonaweza kutokea

Lakini ukiwaza tu kikawaida hata kama fei atabaki yanga kwa namna alivokiwisha onyesha nia yake ya kuondoka unazani atakuwa fei yule wa siku zote!?? Atacheza kwa hamasa, molali na kujituma kama mwanzo???

Tena nilisikia hata kocha na baadhi ya viongozi wakisema kuwa eti fei akijichanganya akarudi anaoigwa bench mpaka akili imkae sawa kwamba yanga ndo wamemtengeneza sasa analete dharau sasa embu fikiria kama mambo yenyewe ndo haya si ni bora tu aende??? Na yy hiki ndo kinacho mpa hofu kuwa amesha wakwanza ma kuwakera watu wa yanga vya kutosha bora akomae tu na nia yake ya kusepa ni hayo tu.
Hivi wewe umemaliza hata Primary school angalau?

Halafu cha kusikitisha huyu naye utaambiwa ni mchaaa mbuzi wa mpira, upstairs empty kabisa.

Shughuri ya Feisal ndio imeisha hiyo, aongee na mwajili wake anayemtaka akaongee na waajili wake wamnunuwe.

Yusuf Bakhresa ni Mwarabu na GSM ni Mwarabu aende akaongee na tajili mwenzake wayamalize.

Serikali inajitahidi Kujenga nyumba vya madarasa halafu cha kushangaza wajinga ndio wanaongezeka.
 
Moira biashara kwahiyo lazima maridhiano ya pande zote yaafikiwe, hajang'ang'aniwa lakini afuate sheria ili Yanga wapate chao kinachostahili na yeye akapate chake huko (yaani utaratibu ufuatwe)
Si tulishapewa tukarudisha?
 
Wale wa No Fei No problem mbona kama wamegeuzia kibao upande wa pili
 
Ndugu taratibu kidogo unajua kwann kamat imesema itatoa uamzi huo kamili j3 tar9? Maana yake huo mda fei kama nia yake ya kuvunja mkataba bado inayo maana yake anaweza kufanya hivo mda huu wa siku hizi 2 ndio maana wamesema hivo kwaiyo usifurahi sana haimamishi kwamba fei atabaki yanga na kuitumikia no maana anaweza fanya lolote ktk hizo siku 3 akifuata utaratibu wa kuvunja mkataba mbele ya kamati hiyo si mlirudisha hera yake sasa kwa sasa anaweza kuwapa mbele za hii kamati na mambo yakaisha kabisa so tujiandae lolote lonaweza kutokea

Lakini ukiwaza tu kikawaida hata kama fei atabaki yanga kwa namna alivokiwisha onyesha nia yake ya kuondoka unazani atakuwa fei yule wa siku zote!?? Atacheza kwa hamasa, molali na kujituma kama mwanzo???

Tena nilisikia hata kocha na baadhi ya viongozi wakisema kuwa eti fei akijichanganya akarudi anaoigwa bench mpaka akili imkae sawa kwamba yanga ndo wamemtengeneza sasa analete dharau sasa embu fikiria kama mambo yenyewe ndo haya si ni bora tu aende??? Na yy hiki ndo kinacho mpa hofu kuwa amesha wakwanza ma kuwakera watu wa yanga vya kutosha bora akomae tu na nia yake ya kusepa ni hayo tu.
Taratibu zozote atakazofanya lazima Yanga itashirikishwa.Yanga walikuwa wanataka wanaomtaka Feitoto wafuate taratibu simple.

Okay anaweza fanya lolote kama lipi? Manake ndivyo atazidi kujimaliza kumbuka FIFA wana sheria za kumlinda mchezaji na vile vile wana sheria za kuilinda club endapo mchezaji hasipofuata taratibu.

Mnapenda habari za uzushi "........tena nilisikia.......",mbona habari za kusikia kwenye soka zipo nyingi.

Mimi nimesikia kupitia insta live Chama mwenyewe kasema kabakisha miezi sita,je Simba husha wasikia wakiongelea swala la Chama?
 
Safi sasa akili itamkaa sawa hao mambumbumbu wanaomdanganya wampe nafasi ya kucheza maana hatapewa nafasi hiyo jangwani
Sasa mnashangilia nini kupata mchezaji wenu au kumyima namba.Kiranga anahangaisha watu waprove uwepe wa uchawi kila siku kumbe mpo huku.Unataka mchezaji wako au unataka umnyime namba.
 
Hapo mambumbumbu ya utopolo yanazevezwa na kusetiwa ili wakija kustuka hakuna wa kumlaumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unachezea akili wewe,nyimwa vyote lakini upewe akili hata ya kuvukia barabara tu....

Subiri tarehe 9 sasa.
Wakili msomi naona unapambana
 
Taratibu zozote atakazofanya lazima Yanga itashirikishwa.Yanga walikuwa wanataka wanaomtaka Feitoto wafuate taratibu simple.

Okay anaweza fanya lolote kama lipi? Manake ndivyo atazidi kujimaliza kumbuka FIFA wana sheria za kumlinda mchezaji na vile vile wana sheria za kuilinda club endapo mchezaji hasipofuata taratibu.

Mnapenda habari za uzushi "........tena nilisikia.......",mbona habari za kusikia kwenye soka zipo nyingi.

Mimi nimesikia kupitia insta live Chama mwenyewe kasema kabakisha miezi sita,je Simba husha wasikia wakiongelea swala la Chama?
Chama ndo kaongelea umeona simba wakimzuia?
 
Back
Top Bottom