Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,115
- 2,231
Mkuu hii ndo Tanzania yetu siunaijua lakini au mmeisahau tunaendesha mambo kitofauti sana wa inavotakiwa kuwa sie tuna dunia yetu aisee tumo humo kwa taarifa hii kila mwanamichezo anayo kuwa fei ni mali ya yanga sasa wao wanazani kuwa sie hatujui hilo??Khaaaaah sasa wangekaa nayo kmya tyuuh had j3, au wanapima upepo ili waone nn kipo nje, ili j3 wajue wanatoa maamuzi gan kulingana na mapokeo ya hii taarifa ya awali.
Kazi ipo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunataka kujua fei awaletee yanga hera hapohapo mbele ya kamati aondoke iwe imeisha au vip sasa wao wanakuja na porojo zao sasa walishindwa nini kusubiri hiyo j3 ndo watutangazie au wanapima upepo wetu nje ya ili waone watakuja na lipi hiyo j3 Tanzania buana kila kitu ni siasa tu hata visivohitaji siasa