Hatima ya Jengo la kiuchumi la kanisa la Anglican(SAFINA HOUSE) mjini Dodoma, inaweza kuwa kama ya Jengo la TANESCO pale Ubungo, Dar-es-Salaam

Kupanua barabara za katikati ya DODOMA,ni jambo ambslo halitekelezeki kama ilivyo barabara za Postal na Kariakoo
 
Mbona hakuna picha hapa?
Huu ni uzushi mtupu unless mleta mada uweke picha nzuri na kueleweka.
 
Jengo hilo lipo katikati ya mji hivyo halina shida, bahati nzuti ni kuwa barabara kuu imeondolewa mjini na kujengwa nje ya mji, hii ni kulingana na kanuni za barabara kuu.
Exactly
 
Haiwezi kuwa kumbuka ipo barabara ya ring road ambayo itafanya msongamano wa magari katikati ya mji kuwa mdogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…