Nikifufukammekwisha
JF-Expert Member
- Aug 17, 2007
- 260
- 6
Mkuu Mnyoofu
Tungekuwa na usalama wenye mawazo safi kama yako, miaka kumi ingekuwa mingi kuwamaliza wahujumu uchumi.
Tatizo hawa jamaa wanadhani DNA ni ya kupima watu wanaokata watoto tu. Hawajui kuwa hiyo mashine ni moja ya nyara za taifa
Jamani wanaJf huko aliko Manji any news? Maana kuna watu hata hujui uombe Mungu wafe ama waishi! As we know sala must be specific ili ijibu
Ebu tuwe realistic kidogo, tujiulize maswali mawili:
(1) Ni taasisi gani inashughulika na mambo ya kufanya DNA analysis hapa nchini kwetu Tanzania - JIBU ni Mkemia Mkuu wa Serikali.
(2) Tujiulize swali la nyongeza kwamba - Je tuna Imani na taasisi hii kwamba inafanya kazi kisayansi? JIBU ni kwamba HATUNA IMANI na taasisi hii kiasilimia 100. Reasoning ni kwamba ukitumia references kadhaa, mfano reference ya what happened with unga "tata" wa Mwakyembe bungeni Dodoma basi we don't have confidence with this government body kabisa.
Mkemia mkuu wa serikali ni taasisi ambayo iko kivyakevyake. Ni taasisi ambayo iko biased, politicized na haiko pale ku-produce scientific results, bali kuendeleza propaganda zisizofuata misingi ya sayansi. Ni taasisi ambayo inapaswa kuheshimika kama zinavyoheshimika taasisi nyingine duniani zinazofanya mambo nyeti kama yafanywayo na Mkemia Mkuu wa Serikali, ila cha ajabu ni kwamba an average Joe can accurately predict the outcome of investigation ambayo ingefanywa na taasisi hii, kitu ambacho ni kinyume kabisa cha professional ethics za kushughulikia masuala nyeti kama haya.
Hivyo basi tusitegemee Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali kutuletea majibu ya kueleweka juu ya DNA ya Manji maana their reasoning (decision making) is COMPLETELY not based on science.