Hatima ya Unafiki na Uwongo Katika siasa!

Weka link tena iyo video ya pili
Maana nimeangalia ya tatu jamaa balaa kakatwa masikio yote na bado ana nguvu ya kuongea
Sawa Nitaweka, Mii sina Madharau Mkuu! Niumefundishwa somo Kubwa sana Na wamarekani, Nina Marafiki ambao anaheshimu Kila mtu, anavaa Kirahisi, hana Majivuno, Lakini Bank ana $ 200,000,000 na Nyumba anayoishi utakuta ni kama $ 15,000,000. Matatizo ya Waafrika na Viongozi wao ni Kujiabudu! Halafu wanafikiri wao kwa Kuwa Ni Viongozi Basi ni Watu Maalumu wapaswao Kuabudiwa na Kuogopwa. Asee Mimi Siogopi Mwanadamu ambaye ni NYAMA tu!
 

Unafikiri wewe ni mwerevu sana siyo?

Kumbuka, ukinyanyua miguu wakti unatembea kuna watu wanakanyaga alama za viatu vyako.

Kumbuka umeanzisha nyuzi tofauti.
 
Unafikiri wewe ni mwerevu sana siyo?

Kumbuka, ukinyanyua miguu wakti unatembea kuna watu wanakanyaga alama za viatu vyako.

Kumbuka umeanzisha nyuzi tofauti.
Kabla sijakujibu labda Unisaidie nijue Unachotaka Kuniambia
 
Unafikiri wewe ni mwerevu sana siyo?

Kumbuka, ukinyanyua miguu wakti unatembea kuna watu wanakanyaga alama za viatu vyako.

Kumbuka umeanzisha nyuzi tofauti.

I don't Like your threats can you explain your claim that somepeople are following me? Is it you? The FBI can just put few key strokes and find out who you are, Let me know what You mean before I report you to the Law enforcement. I don't take such threats lightly! This is a record for you. Kutuma watu Kufuatilia Raia au Mkazi wa Nchi Nyingine Ni Ugaidi. Utawazulia Unaowatetea Zogo Utakalojutia Am an American who was Born in Tanzania and my Country has a sacred freedom of speech. I dare you to Threat me one more time! Mimi sio Kama Kadegeya aliyefuatwa na Kuuliwa Africa Kusini Hotelini. Mimi Nimeshakaa Meza Moja Na watu Kama Pedro Arupe Kabla hajafa, na Adolf Nicolas na wengine who is who Katika Intelligence ya Dunia hii ndio Unaleta Ujasusi Uchwara kwangu?
 


I'm not threating you and I don't have that time to do so, but I would like to understand the logic behind your entry regarding the videos and their relations to the current political situation in Tanzania as you said. rejea sehemu yako ya mwisho.

Ila nakuhakikishia kwamba hata ukiwa Marekani na uraia wao hio haikupi haki ya kuwa unapost derogatory comments from there.

If Tanzania's current situation affects you, so be it as you are just a coward using borrowed trumpets.
 
Kabla sijakujibu labda Unisaidie nijue Unachotaka Kuniambia

Sihitaji kukwambia chochote ila nakuuliza unafikiri huo uchochezi utakufikisha wapi? Hujajibu suali langu la msingi hapo juu.

Unahusisha hao jamaa wawili ambao ni war lords na huyo Kariuki kwa kama unavyosema current situation ya Tanzania unamaanisha nini?

Au unadhani kuna watu hawatakuelewa lengo lako?
 
Malumbano Sina Muda nayo Nimekuonyesha Kopi ya Kitabu Kilichoelezea Kwa Undani Jinsi JM. Kariuki alivyopata mali na Pesa zake. Alikuwa na Umri Mdogo sana na aulikwa Milionea aliyepata Utajiri huo kwa njia za haramu kama wale waliomuua. Sasa Mimi Niseme mara Ngapi? Halafu hii Tabia ya Kila Mtu akisema Kitu Mnasema Ni Uchochozi Ni Mbaya, Mimi Sijasema Mtu yeyote Amdhuru Mtu, Mungu Ni shahidi Kila Nikitazama Video na Picha za Doe natokwa Machozi, Mimi Sio Mtu Ninayefurahi mateso ya Mwingine hata kama sio mtu Mwema, Nimetumia Hizi Video na Picha Ili Kutumia Njia ya Kugusa Hisia sana, Na Pengine Wale Viongozi wetu wataona, na Watabadilisha baadhi ya Tabia ambazo zinaweza Kuleta Majuto kama haya. MUNGU WANGU NI SHAHIDI, I dont wish evil to any one! Si bora Nimwambie Mtu Ukweli Nimponye Kuliko Kumpigia Makofi halafu siku Moja aangamie, au acha Kuangamia akosee sana na ajute?
 

Hisia si jambo zuri unapokuwa na hoja ya msingi, na unapokuwa "confronted" unatakiwa uwe tayari kujibu, hapa umejibu suali langu ingawa umechukua muda mwingi.

Basi, ndugu endelea kutiririsha maoni.
 
Acha kujitoa ufahamu wewe tatizo maccm yakiambiwa ukweli mnasema uchochezi,, hapo uchochezi uko wapi
 
Hilo mahakama lao la mafisadi nahisi litapendelea upande mmoja! Kama watafanya hivyo wajiandae Mungu hata waacha atawaumbua hapa hapa chini ya jua!
 
Rafiki yangu umeshawahi kwenda Liberia?
 
Wewe ni Mchochezi zaidi ya wachochezi wenyewe! Unayajua yaliyokuwa yanafanyika huko>
1. Walikuwa wanahamasisha elimu bure?
2. Walikuwa wanahamasisha kubnoresha huduma ikiwa pamoja na afya, maji umeme nk?
3. Walikuwa wanahamashihsa ukusanyaji wa kodi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi.
Hebu acheni ujinga kufananisha vitu viwili vilivyo tofauti! Nlizoea ulaji wa bila kumwah=ga jasho hapana imetosha kila mtu apate mali kwa haki poleni sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…