babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Punguza povu... Kwani aliyesema unachama nani?Aged/bone head like you?
Sina chama mimi wewe dunce.
Ila namchukia dikteta uchwara
Unatafakari kutumia makamasi!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza povu... Kwani aliyesema unachama nani?Aged/bone head like you?
Sina chama mimi wewe dunce.
Ila namchukia dikteta uchwara
Sasa nitaanzaje kuwakumbusha.Punguza povu... Kwani aliyesema unachama nani?
Unatafakari kutumia makamasi!?
Halafu huyu Richard anawafanya wa Tanzania wa sasa na wale waliokuwa wanatishwa kwa uhujumi uchumu wakawa wanatupa PESA mitoni, kuna tofauti sasa, dunia ya sasa ni ya utandawazi huwezi kuzuia mawazo mmbadala ya watu hasa katika ulimwengu huu wa net. Kama umepewa kazi maalum kwa ajiri ya kutisha watu wenye mawazo tofauti na yenu, basi tubu mrudie Muumba wako, kwa kuwa hiyo kazi yako inawaletea mateso watu wenye mawazo mmbadala. achana na hizo issue nenda shamba kafungue miradi ya kilimo na ufugaji, na mungu atakubariki utapata kipata halali na cha kumpendaza mungu wako
Acha kujitoa ufahamu wewe tatizo maccm yakiambiwa ukweli mnasema uchochezi,, hapo uchochezi uko wapi
Unafiki wa Kisiasa Unaoendelea hapa Nchini, Utakuja Kuleta Majuto makuwa ama kwa baadhi ya watu na Mbaya zaidi kwa Taifa zima. Nianze kwa Kutoa mfano wa siku za miaka ya nyuma kidogo. Kuna Baadhi ya Wanasiasa Walisikitisha sana Hatima yao, Nitawataja wawili ambao Visa Vyao Nimevifuatilia Kwa Undani Hasa. Kuna Rais aliyefikia Mauti Kwa Njia ya Kinyama kabisa wa Taifa La Liberia aliyeitwa Samuel Doe, Huyu aliingia Madarakani Kwa Kupindua Serikali, Kisha siku chache akasindika Nguzo baharini na akawapiga Risasi Viongozi wa serikali iliyopinduliwa Akidai ni Mafisadi na walitawala kwa Kiimla.
Cha Kushangaza, Miaka chini ya sita baadaye na yeye akawa Fisadi wa Kutisha na akatawala kwa Mabavu zaidi ya waliomtangulia, Wahasimu wake wawili Charles Taylor na Prince Johnson Lendawazimu sana, Wakaanzisha Vita vya Uasi na Mwishowe kwa Kusalitiwa na Mkuu wa Majeshi wa UN, Samuel Doe akatekwa, na akafikiwa na Mauti ya fedheha Kuliko alivyowaua wapinzani wake. Hakuna haja ya Kueleza ila Dunia Nzima inajua yaliyomfika.
Aliwapiga risasi Viongozi wa Serikali Mbele ya Halaiki.
Hapa Doe Akiwa Metekwa Kutoka Kambi ya UN na Kuletwa Kambi ya Prince Johnson, Hapa wanamvua Nguo, Kumchoma Visu na Kumkata Masikio! (Alistahili kwa Kuwa hakujali wengine)
Hapa Johnson Ameshamkata Masikio, amemkabidhi kwa askari wake Waendelee Kumtesa na Kumwagia Mikojo huku wakimhoji na Kumtusi, (Doe alistahili kwa Kuwa alifurahia mateso ya wengine)
Hapa Wakiwa wameshamuua Wakianza Safari ya Kumzungusha Mji Mzima wa Monrovia
![]()
Na Yeye akauawa na Kuburuzwa Kwenye Kitoroli Mji Mzima wa Monrovia.
Wakati wakimzungusha Mitaani Baadhi wakaamua Wamnyoe Nywele zake na Kisha Kumkata Uume wake. Akawa Kioja mbele za watu wote (Kipimo Unachopimia Wengine ndicho utakachopimiwa)
Ukiwa Unadhambi Jipime sana Kabla Hujarushia Mawe, Kuhukumu wadhambi wengine. (Not sitetei Mafisadi, I don't care, Naonya Tu Juu ya UNAFIKI)
Hapo Jirani Na Tanzania Kulikuwepo Na Mbunge na Waziri Mmoja Miaka ya 70, Mbunge huyu wa Nchini Kenya alijulikana kwa Jina Maarufu kama JM. Kariuki, au Josiah Mwangi Kariuki. Huyu alikuwa akifanya siasa za Kujihusisha sana na Wanyonge, akitetea Masikini, akiwashutumu Viongozi wengine Kuwa Ni Mafisadi, akamshutumu mpaka Rais wake Mzee Jomo Kenyatta. Lakini ambacho Wakenya wengi walikuwa hawajui, JM Kariuki alikuwa Mwenyewe Ni Mwizi, Fisadi, Mbadhilifu na Mshiriki katika Uporaji wa Ardhi na Mashamba. Sasa Kwa Kuwa Viongozi Wenzake walimjua, kuwapaka matope alikowapaka matope bila yeye kuwa Msafi Kuliwapa kinyaa na Hasira Kubwa sana dhidi yake, Basi Siku Moja wakamwita Katika Ofisi Kuu ya Upelelezi wakampiga sana na Kumpiga risasi na hatimaye wakaenda Kutupa Mwili wake Katika Msitu wa Kishetani, Msitu wa Ngong, Msitu wa Ngong Kenya Ni Msitu wanakotupwa watu wanaouawa Kinyama Kama Ilivyo Msitu wa Mwabepande Tanzania.
![]()
Utajiri wa Kariuki huu hapa!
JM Kariuki’s widows agree on sharing wealth
Naeleza Haya Yote Nikitoa Wito Kwa Viongozi wetu Kuwa, Wajiepushe Kuwa Wanafiki na Wachafu, Kama Wameamua Kujitolea Kusafisha Uchafu wa Nchi! Na wafanye haki Katika yote, sio Ujanja Ujanja, Kwani Kuiba haki na Uhuru wa watu Pia Ni sawa na Fisadi anayeiba fedha za watu hao hao, wote ni Waovu! FISADI NA MWONEVU, FISADI NA MNAFIKI, FISADI NA DICTATOR Wote Ni Sawa, WAOVU!
Dah pole sana aiseee kwa kuunguliwa nyumba na magari, kikubwa roho. Nimeona mada yako imeondoshwa pia hebu iache tuisomee huku huku haina shidaKariuki alikuwa Mwizi, na Fisadi Mkubwa sana, Nitakupa Ref. Hapo chini, Lakini Nikuulize, Je Unaweza Kunionyesha Nikimtaja Magufuli? Kumbe wewe mwenyewe Umechora Picha Ukamwona! kwenye Mada yangu basi Hongera Lisemwalo lipo!
Ufisadi wa JM Kariuki
Tafuta Kitabu Hiki, Ni Bei Mbaya Lakini $ 300 hivi
![]()
Ningekupa Copy yangu, Lakini, Vitabu vyangu Viliungulia Kwenye Nyumba yangu Iliyoungua 2012 Dec. 22 na Kuunguza Kila Kitu Ikiwa ni Pamoja na Magari yangu Mawili. Ila sasa Kila Kitu Kiko Vizuri.
Mbona kama vile umepaniki BroKUNA SIKU UTACHOMOLEWA TU HUKO UNAKOJIFICHA. UNAJIFANYA KUANDIKA HAPA NCHINI WAKATI UMEJIFICHA KWA SHEMEJI YAKO MAREKANI NA UMECHUKUA URAIA WA KIKARATASI!!
Kama mawazo mbadala ni hayo ya hapo juu, basi tuna safari ndefu sana.
Hata hivyo nimejadiliana kwa kirefu na mleta mada huko PM na kila mtu anafahamu msimamo wa mwenzie.
Ila msimamo wangu ni kwamba Videos alizoweka hapa hazilingani na hali ya kisiasa ya sasa Tanzania kama alivyodai (naona amefanya edit sehemu hiyo) alitumia neno la kiingereza akasema "the current political situation in Tanzania." ndiyo nikamuuliza yeye ni mwerevu sana?
Pia Samuel Doe Prince Johnson na Charles Taylor walikuwa ni majambazi tu yaani "war lords"
Huwezi kuwafananisha watu hao na mwanasiasa yoyote yule aliepo Tanzania achilia mbali hali ya kisiasa ya nchi hizo mbili na ya Tanzania.
Kuna Baadhi ya Wanasiasa Walisikitisha sana Hatima yao, Nitawataja wawili ambao Visa Vyao Nimevifuatilia Kwa Undani Hasa. Kuna Rais aliyefikia Mauti Kwa Njia ya Kinyama kabisa wa Taifa La Liberia aliyeitwa Samuel Doe, Huyu aliingia Madarakani Kwa Kupindua Serikali, Kisha siku chache akasindika Nguzo baharini na akawapiga Risasi Viongozi wa serikali iliyopinduliwa Akidai ni Mafisadi na walitawala kwa Kiimla.
Cha Kushangaza, Miaka chini ya sita baadaye na yeye akawa Fisadi wa Kutisha na akatawala kwa Mabavu zaidi ya waliomtangulia, Wahasimu wake wawili Charles Taylor na Prince Johnson Lendawazimu sana, Wakaanzisha Vita vya Uasi na Mwishowe kwa Kusalitiwa na Mkuu wa Majeshi wa UN, Samuel Doe akatekwa, na akafikiwa na Mauti ya fedheha Kuliko alivyowaua wapinzani wake. Hakuna haja ya Kueleza ila Dunia Nzima inajua yaliyomfika.
Aliwapiga risasi Viongozi wa Serikali Mbele ya Halaiki.
Hapa Doe Akiwa Metekwa Kutoka Kambi ya UN na Kuletwa Kambi ya Prince Johnson, Hapa wanamvua Nguo, Kumchoma Visu na Kumkata Masikio! (Alistahili kwa Kuwa hakujali wengine)
Hapa Johnson Ameshamkata Masikio, amemkabidhi kwa askari wake Waendelee Kumtesa na Kumwagia Mikojo huku wakimhoji na Kumtusi, (Doe alistahili kwa Kuwa alifurahia mateso ya wengine)
Hapa Wakiwa wameshamuua Wakianza Safari ya Kumzungusha Mji Mzima wa Monrovia
![]()
Na Yeye akauawa na Kuburuzwa Kwenye Kitoroli Mji Mzima wa Monrovia.
Wakati wakimzungusha Mitaani Baadhi wakaamua Wamnyoe Nywele zake na Kisha Kumkata Uume wake. Akawa Kioja mbele za watu wote (Kipimo Unachopimia Wengine ndicho utakachopimiwa)
Ukiwa Unadhambi Jipime sana Kabla Hujarushia Mawe, Kuhukumu wadhambi wengine. (Not sitetei Mafisadi, I don't care, Naonya Tu Juu ya UNAFIKI)
Hapo Jirani Na Tanzania Kulikuwepo Na Mbunge na Waziri Mmoja Miaka ya 70, Mbunge huyu wa Nchini Kenya alijulikana kwa Jina Maarufu kama JM. Kariuki, au Josiah Mwangi Kariuki. Huyu alikuwa akifanya siasa za Kujihusisha sana na Wanyonge, akitetea Masikini, akiwashutumu Viongozi wengine Kuwa Ni Mafisadi, akamshutumu mpaka Rais wake Mzee Jomo Kenyatta. Lakini ambacho Wakenya wengi walikuwa hawajui, JM Kariuki alikuwa Mwenyewe Ni Mwizi, Fisadi, Mbadhilifu na Mshiriki katika Uporaji wa Ardhi na Mashamba. Sasa Kwa Kuwa Viongozi Wenzake walimjua, kuwapaka matope alikowapaka matope bila yeye kuwa Msafi Kuliwapa kinyaa na Hasira Kubwa sana dhidi yake, Basi Siku Moja wakamwita Katika Ofisi Kuu ya Upelelezi wakampiga sana na Kumpiga risasi na hatimaye wakaenda Kutupa Mwili wake Katika Msitu wa Kishetani, Msitu wa Ngong, Msitu wa Ngong Kenya Ni Msitu wanakotupwa watu wanaouawa Kinyama Kama Ilivyo Msitu wa Mwabepande Tanzania.
![]()
Utajiri wa Kariuki huu hapa!
JM Kariuki’s widows agree on sharing wealth
Naeleza Haya Yote Nikitoa Wito Kwa Viongozi wetu Kuwa, Wajiepushe Kuwa Wanafiki na Wachafu, Kama Wameamua Kujitolea Kusafisha Uchafu wa Nchi! Na wafanye haki Katika yote, sio Ujanja Ujanja, Kwani Kuiba haki na Uhuru wa watu Pia Ni sawa na Fisadi anayeiba fedha za watu hao hao, wote ni Waovu! FISADI NA MWONEVU, FISADI NA MNAFIKI, FISADI NA DICTATOR Wote Ni Sawa, WAOVU!
Sio Tu Elimu Bure Samuel Doe alikuwa akiingia Mashambani Kulima Pamoja na Wakulima, Huwezi Kufanya Mema Nusu na Maovu ya Makusudi nusu halafu Ukijumlisha Unakuta Jibu kuwa wewe Ni Kiongozi Bora!Wewe ni Mchochezi zaidi ya wachochezi wenyewe! Unayajua yaliyokuwa yanafanyika huko>
1. Walikuwa wanahamasisha elimu bure?
2. Walikuwa wanahamasisha kubnoresha huduma ikiwa pamoja na afya, maji umeme nk?
3. Walikuwa wanahamashihsa ukusanyaji wa kodi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi.
Hebu acheni ujinga kufananisha vitu viwili vilivyo tofauti! Nlizoea ulaji wa bila kumwah=ga jasho hapana imetosha kila mtu apate mali kwa haki poleni sana!
Hayo mabaya ni yapi kwa mfano?!?!?!Sio Tu Elimu Bure Samuel Doe alikuwa akiingia Mashambani Kulima Pamoja na Wakulima, Huwezi Kufanya Mema Nusu na Maovu ya Makusudi nusu halafu Ukijumlisha Unakuta Jibu kuwa wewe Ni Kiongozi Bora!
Kama we ni mwalimu basi wanafunzi wanahasara. Uelewa wako ni duni sana.Sasa nitaanzaje kuwakumbusha.
Empty vessels makes more noise.
Wewe ni Numbskull maana unasema niwakumbushe wakati mimi sio mwanachama.
Wewe kweli ni dolt.Usiwasahau wale wahamasishaji wa maandamano,siku nyumbu wakijitambua....
Kama we ni mwalimu basi wanafunzi wanahasara. Uelewa wako ni duni sana.
Nikusaidie,hakuna sehemu nimekuomba umkumbushe mtu chochote.
Kama ni mwalimu basi unafundisha ujinga
Wewe kweli ni dolt.
Nani ameandika hizi post.
A dull and blockhead person.
Umenianza halafu unakataa.
Ungepita kimya kwenye post yangu,wewe ni empty headed.
Soma vizuri post za mwanzo wewe insolent person.Kama we ni mwalimu basi wanafunzi wanahasara. Uelewa wako ni duni sana.
Nikusaidie,hakuna sehemu nimekuomba umkumbushe mtu chochote.
Kama ni mwalimu basi unafundisha ujinga