Comrade 01
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 601
- 626
110 ni gari ya kuaminika sana.Land Rover yoyote ni gari ya uhakika sana.Gari ya mzungu ni imara,hata kwa upande wa teknolojia.Mfano,SAAB Scania,BMW,Volvo,VW,Audi,Benz,Ford,Peugot n.k.Hio gari imebakia jina tu, reliability 0 na mi injini yao ya puma!
Kuna gari na usafiri katika mashine kurahisisha safari.Jamani, unavyoo ongea kuwa ponda wanaume wenzio utafkiri una bugati au ferari!! Gari gari bwana ilimradi unafika kule utakapo kwenda!! Na chamsingi kila mmoja anapato lake usiwalazimeshe wooote wawe na miprado!
Ndio kwanza ndio anayoendesha bibi yanguDuh, so ile nayo ya kimama kumbe
Sasa hivi hawaangalii invoice za manunuzi,ushuru wanaanza kutoza kwa thamani ya kuanzia mil.10.Kwa hiyo hata ukinunua gari kwa dola 100,wao wanalithaminisha kuanzia dola 4,400 na kuendelea.Mkuu wengine ndio ndoto zetu hizo leo nimepitia beforwad site nimekuta gari inauzwa dola 21 nafikilia gharama zake tu pale bandalini
Huo uimara ulikuwa enzi hizo kaka, ukitaka kuamini hizo gari si lolote si chochote nunua mpya ya kisasa utumie katika mazingira yetu ya Tanzania uone hio teknolojia unayosifia kama haitakutoa nishai.110 ni gari ya kuaminika sana.Land Rover yoyote ni gari ya uhakika sana.Gari ya mzungu ni imara,hata kwa upande wa teknolojia.Mfano,SAAB Scania,BMW,Volvo,VW,Audi,Benz,Ford,Peugot n.k.
Ni gari imara sana.Engine inayosumbua kwenye mfumo wa umeme ni Td5.Ila ni engine yenye performance nzuri sana kuliko Tdi300 na Tdi200 na ulaji wa mafuta mzuri sana.Huo uimara ulikuwa enzi hizo kaka, ukitaka kuamini hizo gari si lolote si chochote nunua mpya ya kisasa utumie katika mazingira yetu ya Tanzania uone hio teknolojia unayosifia kama haitakutoa nishai.
Chukua gari unazoita za uhakika Landrover mpya latest technology kazitie off-road ziloane na maji ya madimbwi na matope ya wilayani huko halafu uone kama mna gari mle. Utabadili sensor baada ya sensor mpaka akili ikukae sawa na yet bei ya vipuri sio rafiki ni million baada ya million.
Enzi za carburetor ilikuwa rahisi kutengeneza gari yako mwenyewe bila hata kumshirikisha fundi sana. Tatizo likiwa kubwa ni kubadili plug, fuel pump, oil filter, kumwaga oil, brakes,springs na bush. Ziada ni labda radiator inavuja ama kuziba pancha na kubadili matairi yakiisha.
Na ndio kipindi ambacho kulikuwa na gari imara hamna mfano ila kwa sasa ambapo kila kitu ni umeme kwenye gari mfumo umekuwa complex na sio reliable kabisa hasa kwa hizo makes za ulaya. Usidanganye watu mzee baba.
Huwezi kusema gari ni imara kama utatumia karibia au zaidi 50% ya bei ulionunulia kwa maintainance ndani ya miaka michache ya matumizi. Hizo gari uhakika wake ni wa mashaka, labda utoke nalo masaki-posta miaka yote utayolitumia which is never the sole purpose of an off-road vehicle.
Hujiulizi kwanini baadhi ya wizara wamezi ditch na kuhamia kwenye ma Land cruiser hardtop na LX. Hizi ndio gari pekee ambazo hazijawa na mabadiliko makubwa ya kupelekea complexity katika maintainance. Engine ni zile zile na mfumo ni ule ule miaka yote hamna umeme mwingi. Mabadiliko ni kwenye shape ya body tu
Sasa hizo gari mbona zote za ki longtime kiongozi. Lazma ziwe imara ila huwezi nishawishi kuwa discovery sport ama range rover sport ni imara kuliko Range Rover Classic ile ya miaka ya 80 ama discovery 1 ya late 80's.Ni gari imara sana.Engine inayosumbua kwenye mfumo wa umeme ni Td5.Ila ni engine yenye performance nzuri sana kuliko Tdi300 na Tdi200 na ulaji wa mafuta mzuri sana.
Duu poa bhana kwa ushauri wako ni aina gani ya rav 4 ambayo maintenance costs ni ya kawaida napenda SUV modelNunua vanguard iko kiume, achana na hilo
Tena ni zile new model ya mwaka 2010 taa zake za nyuma ziko tofauti na sterling ipo kama box hiviHahahah dah sio mchezo kaka, bibi ndani Van G!
Nmeicheki ipo powa na bei yake imependeza kidogo, ila hamna noticeable changes kwenye styling naona iko vilevile tu. Maybe taa za nyuma tu ila grilles na shape mule mule tu. Ila Vanguard naikubali kama moja ya kazi nzuri za mjapani.Tena ni zile new model ya mwaka 2010 taa zake za nyuma ziko tofauti na sterling ipo kama box hivi
Siyo zoteToyota walipo chemka ni kwenye Prado
[emoji23] hasira au nini ?Kwani hizo design unazohisi ni za kike zinabeba mimba? Mbona tunaendesha hatuoni papuchi mle.
Uko sayari gani wewe?Me kampuni ya gari ikishaitwa Toyota naona kama nyanya, bodi zake ni nyepesi sana.
Duu poa bhana kwa ushauri wako ni aina gani ya rav 4 ambayo maintenance costs ni ya kawaida napenda SUV model
Ni imara sana.Kibiashara kwa kampuni zote za magari hawatengenezi gari imara kama za zamani hata hao Toyota.Sasa hizo gari mbona zote za ki longtime kiongozi. Lazma ziwe imara ila huwezi nishawishi kuwa discovery sport ama range rover sport ni imara kuliko Range Rover Classic ile ya miaka ya 80 ama discovery 1 ya late 80's.
Gari ambazo ni nadra sana kukuta mama anaendesha.
Sterling iko tofauti mkuu,kuanzia 2007 mpaka 2009 sterling ni kubwa na round!! Ila hii kuanzia 2010 na kuendelea sterling ni ndogo na chini sio round imekaa kama box ngoja likirud nitalipiga pichaNmeicheki ipo powa na bei yake imependeza kidogo, ila hamna noticeable changes kwenye styling naona iko vilevile tu. Maybe taa za nyuma tu ila grilles na shape mule mule tu. Ila Vanguard naikubali kama moja ya kazi nzuri za mjapani.