Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Wakati wenzetu wanaumiza vichwa sisi uku tumekalia tu kuponda.Umiza kichwa nawewe uleta chakwako tukuone.
 
Dah nachoka kabisa Rav 4 gari ya kike, kruger nayo..haki ya mungu 80% wanaendesha gari za kike maana humu barabaran gani tunazoziona zimejazana ni RAV 4, passo, ist, Raum, spacio, premio, allion..ukiwa na pesa ya uhakika ndio utakuwa na nafasi ya kuchagua gari ya kike au ya kiume ila sisi wenye vipato vya laki 7 hatuna option..Rav 4 ya 2008 yenyewe inakwenda hadi 30 milion sasa hiyo ya 2019 wangapi wataiweza bora wabaki huko huko kwenye gari zenye Vagina
 
Kwenye Kluger ndo sikai kabisa, ni afadhali niendeshe Kirikuu.Una kuta mtoto wa kiume amejaa kwenye Ist,sehemu zake za siri zimejikunyata utadhani mtoto wa Dar katupwa sehemu za baridi Mufindi.Mtoto wa kiume unanenepeana kwenye Nadia,Noah,Passo,na vigari vingine vya aina hiyo kisa?!!! Eti ulaji wa mafuta ni mdogo kwenye misele... Mtoto wa kiume unaendesha gari linalo kunywa mafuta kwa kutumia kijiko cha chai?
Siwezi kuendesha gari linalo sababisha tumbo linapakatwa na mapaja,kwani ndo chanzo cha nguvu za kiume(uume na mapumb...muda wote yanapikwa kwa joto) kupungua.
Comments nyingine mtu inabidi ucheke tu.
 
Jamani, unavyoo ongea kuwa ponda wanaume wenzio utafkiri una bugati au ferari!! Gari gari bwana ilimradi unafika kule utakapo kwenda!! Na chamsingi kila mmoja anapato lake usiwalazimeshe wooote wawe na miprado!
 
Tunaendesha Toyota kwasababu ya umaskini tu. Gari ni BMW, period.
kika hitaji humfaa muhitaji kuna wenzio hiyo bmw wanaona ni uchafu kwao wanatumia choper na unapo ongelea toyota kuwa ya kimaskin fafanua toyota gani maana kuna toyota ni ghali zaid ya bmw
 
Hizi gari naona zote zitafanana sasa hapo inafananishwa na renge lover kiaina
Ni kweli, naona SUV nyingi zinazotoka sasa hivi zitafanana, Rav 4 hybrid, Harrier Hybrid, Subaru foresta 2019, na nyingine kibao, naona kwa sasa huo mwonekano umekuwa na mvuto sana kwenye SUV ndo maana watengenezaji wameanza kujikita huko.
 
Back
Top Bottom