ni kumeza ....na watu wengi wanaosema hivi hawanagata hata baskeli....sasa kati ya kuendesha toyota,kia,mazda,hyundai ipi haiaminiki au ni umaskini ?? mazda demio unaeza agiza kwa bei ndogo kama ya passo ....mkuu kuendesha Toyota ni umaskini?[emoji24][emoji24]
Maisha hayako sawa......
pili kila mtu anaenda kwa anavovitaka ...mfano landcruiser LX huwez ikuta popote hamna kampuni.inatengeneza gari ya offroad kali vile ...kama unavyojua serikal yetu wakiamua fanya manunuzi hela kwao sio shida sasa ask your self kwann wamenunua LX ?? vxr v8 je utapata wap gari ka hiyo zaidi ya yale ma range rover luxury ila vxr gari ya kiume.....kwa vile toyota gari ndogo za diesel hawana sana kama unataka diesel kwa ajil ya mafuta na vinginenvyo ndo unaamia sasa kwa hizi kampuni nyngne mfano audi kina bmw VW nk