Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Kwani hizo design unazohisi ni za kike zinabeba mimba? Mbona tunaendesha hatuoni papuchi mle.

Kwani gari kuwa na sense of bitchness ni lazima ibebe mimba mkuu? Gari jinsi ilivyo tu styling & design inaweza ikakukataa kidume.

Huwezi kumkuta mwanaume rijali mwenye mawe amekalia RAV 4 tena za previous generations 1999-2016 ni aibu sana. Vidume wanasukuma LX 76 series, Prado, Lexus 570 ama Land Cruiser 200 vx v8. Wale ambao hela ipo kidogo wanakaa kwenye V6 yoyote iwe Gx110,Brevis,Mark X ama Crown au Altezza. Hela za kuunga unga ni heri ukae kwenye Kluger mle ufiche aibu au Suzuki Escudo.

Kinyume na hapo lazma uwe kwenye gari ya kimama tu!
 
Sijakuelewa, inamaana anayesukuma Alteza ana hela kuliko wa Kluger?
 
Atakuwa hajaiona huyo, sahivi Toyota gari zao zinarudi into shape nzuri za kuvutia, Prado, Highlander, Rav4, Land Cruiser binafsi shape ya kilimo kwanza ni kama iliharibu muonekano wa cruiser ila facelifted ya 2017 imerudisha heshima.
Ongeza tako la nyani, napenda sana ile kitu
 
Basi nna miaka mitatu tangu nmeolewa na vits.
 
Basi nna miaka mitatu tangu nmeolewa na vits.
 
Huu ni ushamba wa kihaya kabisa
 
mtoa
mtoa mada ukute hata bodaboda huna hapo labda unaandika hii post huko kwenye DCM la Mbagala Posta
 
Sasa Mkuu ni kweli linaonekana muonekano Wa kiume ila huenda likawa shoga je ulishawahi kuliona Toyota stout pua ya ng'ombe?
 
Tafuta hela wewe usilalamike hovyo.
Unajuaje sina hela? We ungekuwa na hela ungekuwa unatolea macho magari mitandaoni? Inaonekana unatamani vitu ambavyo huna uwezo navyo. Una gari kali nenda maeneo ya bata kalingishiane na wakali wengine wenye ndinga kali siyo unakuja kutype type ushuzi wa kihaya humu unaonekana una machungu ya kukosa gari wewe. Wenye hela hawachungulii mitandaoni magari mapya wanatumiwa invitation na ma sales agents kununua kama huna taarifa. Nenda dt dobie kaulize wanavyouza magari
 
Sasa Mkuu ni kweli linaonekana muonekano Wa kiume ila huenda likawa shoga je ulishawahi kuliona Toyota stout pua ya ng'ombe?
Hio si old school sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…