Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #21
Kwani hizo design unazohisi ni za kike zinabeba mimba? Mbona tunaendesha hatuoni papuchi mle.
Kwani gari kuwa na sense of bitchness ni lazima ibebe mimba mkuu? Gari jinsi ilivyo tu styling & design inaweza ikakukataa kidume.
Huwezi kumkuta mwanaume rijali mwenye mawe amekalia RAV 4 tena za previous generations 1999-2016 ni aibu sana. Vidume wanasukuma LX 76 series, Prado, Lexus 570 ama Land Cruiser 200 vx v8. Wale ambao hela ipo kidogo wanakaa kwenye V6 yoyote iwe Gx110,Brevis,Mark X ama Crown au Altezza. Hela za kuunga unga ni heri ukae kwenye Kluger mle ufiche aibu au Suzuki Escudo.
Kinyume na hapo lazma uwe kwenye gari ya kimama tu!